Mko poa humu?
Kuna jamaa yangu amesafiri kwenda majuu, atakaa almost miezi sita huko, sasa ana gari lake aina ya ist kaiacha hapa kwangu, kaniachia na ufunguo, kaniambia niwe naiwasha mara moja moja kuipiga resi ili injini sijui isiwaje anajua mwenyewe. Kaniambia pia niwe napigia misele if...