kuendesha kesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Busara za Idu: kwa nini pesa zinazotumika kuendesha kesi ya kipuuzi ya Lissu zisitengeneze madawati kwa ajili ya wanafunzi vijijini?

    Kwaza swali kubwa la msingi Lissu anashitakiwa kwa uhaini au kuchochea uchaguzi usifanyike? Kwamba alichochea vipi? Kwa watu kutazama video you tube na kuwafanya wakazuia uchaguzi kufanyika! Uhaini ni kosa kubwa kuliko yote hapa nchini. Alikuwa na majeshi ya kupindua nchi? Kama hakuwa na...
  2. R

    Mahakama ya Ubelgiji kuendesha kesi Mauaji ya Patrice Lumumba, familia yadai haki

    Familia ya kiongozi wa uhuru wa Congo, Patrice Lumumba, imesema kuwa bado ina matumaini ya kupata haki, wakati mahakama ya Ubelgiji ikizingatia uwezekano wa kumfikisha mahakamani mshukiwa pekee aliyesalia hai kuhusiana na mauaji ya mwaka 1961. Kwa takribani miaka 15, familia ya Lumumba imekuwa...
  3. ESCORT 1

    Kwanini hayati Magufuli alipenda kuendesha kesi akiwa njiani kwenye misafara yake?

    Wakuu salama… Enzi za uhai wake, Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli alikuwa ni mpenda drama sana. Angeweza kusafiri kwa gari kutoka Dodoma pengine kuelekea Chato. Angeweza kufika Singida na kusimama barabarani bila kujali anasababisha foleni kwa walipa kodi wanaotumia...
  4. L

    Wakili Peter Madeleka ashindwa kuhudhuria kesi ya 'Fatma Kigondo' kwa kuwa amekosa pesa ya kuendeshea kesi

    Wewe umejinasibu kuwa utafungua kesi kwa gharama zako hadi uhakikishe kesi ya Afande unashinda, watu wakakupongeza sana, leo kesi inatajwa huko Dodoma unapost kwenye page yako kuwa hujaenda kwa sababu huna hela. Uko serious kweli? Wewe na kiboko ya wachawi mna tofauti gani? ======= Soma...
Back
Top Bottom