Wakuu,
Wimbi la wanasiasa kutetea watekaji linaendelea!
================================================
Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida amebainisha kuwa sio kila mtu anayetekwa ametekwa na vyombo vya dola.
"Niendelee kusisitiza kwamba siyo kila anayetekwa, Siyo kila anayekufa ametekwa...
Wakuu,
Hivi karibuni nimeona watu wanalalamika kwamba tovuti ya Bunge inafuta CV za wabunge makusudi ili tusijue level zao za elimu.
Sasa kabla hawajafuta, ni vyema tujue nani ni nani. Mule bungeni kuna wabunge wengi ambao waliruka umande. Yani mtu alisoma hadi la 7 tu after that akajikuta...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu akishiriki Mkutano Mkuu Chama cha Mapinduzi CCM siku ya pili Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Dodoma, leo tarehe 30 Mei, 2025.
Soma hapa Ilani > Ilani ya CCM 2025-2030
https://www.youtube.com/watch?v=yXnzuEg-DLk...
Mwenyekiti wa UVCCM Ali Kawaida akiongea hivi karibuni kwenye mkutano mkuu wa CCM jijini Dodoma ameendelea kushikilia msimamo wake wa kufungia mtandao wa X ambao aliutoa miezi kadhaa iliyopita
"Nilishawahi kusema Mtandao wa X ufungwe ila watu walinibeza bila kujua nini nilichokuwa namaanisha...
Mbunge wa nzega vijijini Dr Kigwangala amechangiwa fedha za kuchukulia fomu za kugombea tena Ubunge
Fedha hizo zimechangwa na wapiga kupitia wakala wa M pesa na kila kitu kiko wazi Ukurasani instagram
Kigwangala ameandika
"Leo nimejikuta nikiwaza na kushukuru. Nimehemewa! Ubunge ni kazi ya...
Hawa Wahuni hamna asojua walichokua wanakifanya kuandikisha Watoto wa Sekondari !!.
Sasa leo mpenda Uongozi aloupata Uongozi Kwa Bahati, Kaja na Tangazo .
Iko hivi CCM wangekua na Wanachama hao Mil 13 ,wasingeogopa Mabadiliko !!.
CHADEMA ,hamna kushiriki uchaguzi wa kihuni ambao tayari Ma...
Taasisi ya Mama Samia Support, inazidi Kusongesha Gurudumu la Rais Samia Kwa Kauli Mbiu ya ’Kazi Na Utu, Tunasonga Mbele’
Taasisi Hii Leo May 29, 2025 wamefanya Maandamano ya amani yenye Lengo la Kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuonesha ukomavu wa kisiasa, huku ikimuomba kwa heshima asamehe kauli za matusi na udhalilishaji zinazotolewa na baadhi ya vijana kutoka nchini Kenya kupitia mitandao ya...
“Mimi ningekuwa ni wakili ningekiomba chama changu kwenda kumsaidia, Tundu Lissu ashinde kesi namtamani sana angekuja kugombea na Rais Samia Suluhu kwa sababu sio tishio kwa namna yoyote ile”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Ofisi ya Spika wa Bunge la Tanzania kuwajibika kwa kuwaita na kuwahoji wabunge katika Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, kufuatia kauli zilizotolewa na baadhi yao kutozingatia maadili ya uongozi, utu wala heshima ya chombo hicho muhimu cha kutunga...
Kuna taarifa zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan kupitia jukwaa maarufu la JamiiForums, zikidai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhanga Mpina, anapanga kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Maendeleo (CHAUMA)...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu kama "Boni Yai" akiwa Kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Chadema Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ameeleza kuwa Chama chake kinatambua mchango mkubwa wa Aliyekuwa Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, akimuomba asikae mbali na Chama...
Je, kutopewa kibali cha helicopter na uwanja kwa CHAUMA kule mwanza ni mwanzo wa figisu kwa chama hicho baada ya kuonekana kinaanza kutrend kuelekea uchaguzi ?
Je, unafikiri CCM watakubali chama hicho kitrend zaidi na kufanya mikutano yake bila figisu ?
Kama kutakuwa na figisu vipi na wale...
Wiki kadhaa zilizopita kuna watu walimmisi Mzee Wasira wakawa wanauliza Yuko wapi?
Leo kaibuka katika mkutano wa CCM huko Dodoma akiwa na nguvu zaidi, Ari zaidi na Kasi zaidi.
Ndugu zangu Watanzania,
Chama ni watu na watu ndio Ushindi wenyewe,chama ni wanachama na wanachama ndio nguvu ya chama ,chama ni uchumi na uwingi wa wanachama ndio uchumi wenyewe,chama ni Wafuasi na Wafuasi ndio nguvu ya ushawishi wa chama
Ukiona CCM inaweka na kusimamisha mgombea na wagombea...
Tujikumbushe kidogo ahadi 10 za wana CCM kwa chama chao. Zamani za Mwl. Nyerere kabla ya kupata kadi, wana CCM walitakiwa kuhitimu kwanza darasa la itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea. Siku ya kukabidhiwa kadi, ilihitimishwa kwa tamko la mwanachama mpya kuunga mkono ahadi 10 za mwana CCM. Hapa...
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Neema Lugangira, ametamani Ilani ijayo ya chama hicho izingatie kwa kina maendeleo ya kidijitali na matumizi sahihi ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence - AI) kwa manufaa ya taifa.
Akizungumza na wanahabari katika viwanja vya...
Mtumishi wa Mungu Phophet Clear Malisa ametoa wito kwa watanzania kuilinda amani kwa gharama yoyote hasa katika kupindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Prophet Malisa akifanya mahojiano nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma alipokuwa amealikwa kwenye Mkutano...