kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    PreGE2025 Sheikh Jabir ameuawa Zanzibar BAKWATA kimya! Mnasubiri Maaskofu wakemee mje kuwazodoa?

    Masheikh wa BAKWATA wamekuwa hawajali kwa kina maslahi ya waislamu nchini. Wao wamekuwa kama rear guards wa kulinda mfumo, kutetea serikali, kuwalaza waislamu usingizi pindi joto la haki nchini likipanda. Hivi karibuni Maaskofu wamekuwa msitari wa mbele kulaani matendo ya kitekaji na uuaji...
  2. Lissu aachiwe huru

    Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe. Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ. PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ...
  3. PreGE2025 Kuna maisha baada ya uchaguzi, linda amani, kataa chokochoko zao

    "Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." — Alloyce, P.R.
  4. PreGE2025 Chadema Zanzibar Sasa ni moto, baada ya Mamluki wa CCM Mwalimu na wenzake kusepa

    Leo Chadema Zanzibar imefanya press nzuri sana na unaonyesha matimaini makubwa sana. Wameongea issue za msingi sana na huu ni mwanzo mzuri. Miaka yote tumekuwa tunashangaa kwanini CHADEMA Zanzibar kama haipo vile, kumbe Mwalimu na yule jamaa makamu aliye fungua kesi dhidi ya chadema walikuwa...
  5. PreGE2025 Mpina: Mbunge aliyechaguliwa na kuapa analeta vigelegele kwa wezi! Kwa kumwogopa nani?

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya wananchi, badala ya kuwa jukwaa la lelemama. Akihutubia wananchi wa Mwandu Itinje, Jimbo la Kisesa...
  6. PreGE2025 Eng Ezra Chiwelesa: Rais Samia amefanikisha ujenzi wa shule za kisasa jimboni

    UJENZI WA MADARASA 9 YA KISASA SHULE YA SEKONDARI BIZIMYA. Ni kazi ya usimamizi wa kiwango cha juu kutoka kwa mbunge wa kudumu wa biharamulo Mh Eng Ezra Chilewesa ,serkali ngazi ya wilaya ya biharamulo, Halmashauri ya wilaya chini ya chama dume chama cha mapinduzi ndio unaona madarasa haya ya...
  7. PreGE2025 Ahadi Hewa za CCM: Barabara Nyingi zina hali mbaya, zimechakaa!

    ccm, Samia na machawa wenu iwafikie taarifa kuwa barabara nyingi za lami kuunganisha mikoa na wilaya zimechakaa! Mifano michache ni barabara za Arusha mjini! Ongezea barabara kuu inayounganisha mikoa ya Manyara, Singida na Ngeza! Kutoka Utegi kwenda Shirati kule Rorya ukirejea salama hujaumwaa...
  8. PreGE2025 Godwin Mollel: Mwanaume mzima analaumu Wanaume wenzake, hiyo ni kutojielewa

    Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati wa kazi na wakati wa Siasa. Namnukuu “Mwanaume mmzima unaamka umeshonewa suti nzuri, mkeo amepiga pasi wewe unaenda kulaumu wanaume wenzako asubuhi mpaka jioni.”
  9. M

    PreGE2025 Kura ya Mtanzania ikipewa heshima viongozi watamheshimu mpiga kura kuliko mtu yeyote

    Kama muonavyo wajumbe wanavyotetemekewa nyakati hizi na ma kada mbalimbali ambao wanahitaji kuja kugombea katika nafasi mbali mbali katika uchaguzi Mkuu unapokuja japo kuna swala la no reforms no election. Hivyo ndivyo itakavokuwa kwa mpiga kura endapo kura yake itarejeshewa heshima yake. Kwa...
  10. Bunge la Ulaya laionya Serikali ya CCM , Uchaguzi Mkuu bila Chama cha upinzan chenye Nguvu (CHADEMA) hautakua uchaguzi wa Harali na wa Kidemokrasia!

    Sasa ninawaonya CCM na Machawa wenu , Njia mnayoelekea mbeleni ni Giza kubwa. Warusi na Wachina na Wakorea wasiwadanganye !!. UKWELI NI KUA, UCHAGUZI 2025 BILA CHADEMA, HAUTATAMBULIWA NA BARA LA ULAYA, WALA MAREKANI !!. Nadhani Athari ya Jambo Hilo juuu mnaijua vizuri kabisa !!. Tunaenda na...
  11. D

    Wafuasi wa upinzani Tanzania hawana tofauti na Ngoma ya mdundiko, Hawaaminiki

    Hii Ngoma enzi hizo ilijaa vituko kama watanzania fulani wa Leo. Ilikuwa inatokea wapiga Ngoma wanapopita mtaani, watu wanawafuata kwa mapigo ya Ngoma, mwishowe wanajikuta wamefika mtaa mwingine kama sio mji mwingine. Hatimaye walikuwa wanapotezwa kwa kutojua walikotoka. Project ya kuchafua...
  12. PreGE2025 Muheza Nako wajiapiza na kuahidi Ushirikiano, Wasema No Reforms No Election

    Ushahidi Mwanana huu hapa Wadau wakifuatilia Nondo na Spana zinazopigwa bila kujali mvua Pichani ni Pedeshee Maranja Masese akiambiwa Waja leo waondoka mwakani
  13. B

    PreGE2025 Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisoma Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?

    Baada ya Mbunge Tarimba kutrend kutokama na elimu yake kuwa na mashaka, taarifa zake zimeeditiwa katika website ya Bunge, lakini bado maswali ni mengi. - Kwanza chuo kimebadilika kutoka UD mpaka Tumaini! - Ile masters imeyeyuka shwaa, tumerudi kwenye degree, diploma na cheti. - Tatizo...
  14. PreGE2025 Askofu Gwajima: Mimi nimetumwa na Mungu kwenye hii Nchi na safari hii ndio mtajua kwamba Mungu amenituma

    Askofu Gwajima amesema "Mimi nimetumwa na Mungu kwenye hii Nchi na safari hii ndio mtajua kwamba Mungu amenituma, Mungu huwa anatuama watu kwa kusudi maalumu, na Mungu akiwatumwa watu huwa anawalinda, anawatunza mpaka watimize kusudi. Yule anayenivamia hovyo hovyo hautaweza yeye anilindaye...
  15. PreGE2025 Askofu Gwajima: Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi huwezi kufungua Macho

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema "Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi, huwezi kufungua Macho"
  16. B

    PreGE2025 Gwajima: Kwa press inayofuata nitaanika watekaji hewani

    Gwajima anasema sasa hivi ameanza kuongelewa nchi nzima, badala ya watu kujibu kama wamechukua ushauri au lah. Anasema kwa press inayofuata atakuja na list ya wanaonaofanya vitendo hivyo.
  17. B

    PreGE2025 Gwajima: Kwenye suala la utekaji sitayumba mpaka waliotekwa wajulikane walipo

    Gwajina kasema kwenye hili swala hatayumba mpaka kila aliyetekwa ajulikane yuko wapi na anafanya nini. Lakini pia kila aliyepotea "missing person" wapatikana na kujulikana walipo, kwa msisitizo Gwajima kaongea na kizungu.
  18. B

    PreGE2025 Gwajima: Mtoto wa Jakaya Kikwete, Mwinyi, Majaliwa au Magufuli wakitekwa na kukutwa wametobolewa macho au wamekufa watajisikiaje?

    Gwajima anasema wiki iliyopita alitoa mfano wa mtoto wa Samia kutolewa macho leo kaongeza wengine kwenye mfano huo. Kasema vipi kama akichukuliwa mtoto wa Jakaya Kikwete, Mwinyi, Majaliwa au Magufuli wakaokotwa keaho yake wakiwa hawana macho au amekufa watajiskiaje? Sasa kwanini yasithamiwe...
  19. PreGE2025 Askofu Gwajima awaongoza waumini wake kuimba 'Tanzania Tanzania Nakupenda’

    Askofu Gwajima awaongoza waumini wake kuimba 'Tanzania Tanzania Nakupenda' kabla ya kuanza kuongea na Watanzania
  20. PreGE2025 Askofu Mwanamapinduzi: Msijaribu kumjibu Askofu Gwajima kwa pupa, wala kumbambikiza Kesi, sio wa mchezo

    Askofu Mwanamapinduzi ametoa tahadhari kali kwa wale wanaojaribu kumjibu au kumshambulia Askofu Josephat Gwajima kufuatia kauli na hoja alizozitoa hivi karibuni, akisema si mtu wa kubezwa wala wa kuchukuliwa kawaida. Katika kauli yake, Askofu Mwanamapinduzi amesema hoja alizotoa Gwajima ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…