kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuelekea 2025: Vyombo vya dola vitaruhusu kundi la mgombea Urais lililoamini katika utekaji, upotezaji,na kutupa watu baharini?

    Hili ni kundi ambalo halijatosheka na damu liliyokunywa, na tayari limeanza kujipanga kunywa damu zaidi ya watanzania, kutupa miili yao baharini, kupoteza raia kwa njia ya kuteka kwa magari aina ya Noah, kufukuza watumishi bila kufata taratibu, kuchukua kwa nguvu pesa za wafanyabiashara, mali...
  2. Mafanikio ya Rais Samia kuelekea 2025, Roma locuta, causa finita!

    KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria, lililokuwa likiongozwa na Mtakatifu Augustine. Mtafaruku huo umeacha alama na funzo kubwa kwa jamii yetu hata leo. Katika mafundisho ya Kanisa na kwa mtazamo wa Mt...
  3. F

    SoC01 Namna ya kufanikisha mapinduzi ya kilimo kuelekea 2025

    Nyanja: Kilimo Andiko hili linapendekeza kwmb ili kuleta mapinduzi makubwa ya sekta ya kilimo yatayoendana na muda waDira ya Taifa 2025; sekta ambayo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi ambao kw mantiki hiyo basi Dira hiyo inaitegemea ili kuliingiza taifa ktk pato la kati-la-juu. Kimsingi ni ukweli...
  4. PreGE2025 Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

    Wanabodi, Kati ya maeneo magumu sana kwenye tasnia ya habari ambayo kwa sisi Tanzania tumelikosa, tunaendelea kulikosa, na kama hawatajitokeza watu wenye uwezo wa kulifanya, tutaendelea kulikosa, ni eneo la "news analysis" uchambuzi wa habari. Kazi kuu za traditional media ni kuhabarisha...
  5. Kuelekea 2025: Kanda ya Ziwa Msibemendwe kwa hila

    Amani kwako. Tayari tumeanza kuliona jua la alfajiri kama bado umelala sikiliza sauti za ndege bila kuamka utafaham kuwa jua linachomoza Twende kwenye mada; ndugu zangu Watanzania hasa wa kanda ya ziwa mmesikia sauti zinaanza kusikika na si kwa bahati mbaya ni ishara kuelekea 2025. Kanda ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…