kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    PreGE2025 Tandahimba: Serikali imekamilisha ujenzi wa kituo cha afya cha Maheha kilichogharimu milioni 400

    Baada ya miaka 16 ya kutembea kilomita 40 kutafuta huduma za afya, wananchi wa vijiji vitatu wilayani Tandahimba mkoani Mtwara hatimaye wamepata suluhisho. Kituo cha Afya cha Maheha kilichogharimu shilingi milioni 400 sasa kimeanza kutoa huduma na wananchi wengi hususan wanawake wamejitokeza...
  2. sonofobia

    PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Kaskazini: Nitawashughulikia wote wasiomkubali Lissu

    Mwenyekiti CHADEMA Kanda Kaskazini Wakili Welwel wakati akifungua kikao kazi kilichohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Kamanda John Heche kilichofanyika Siku ya jana Equator Hotel Arusha amesema kuna wanachadema bado wanaugulia maumivu kama vile wamefiwa. Anahoji ni maumivu gani ya...
  3. Just Pray

    PreGE2025 Tukemee kauli ya Ally Hapi, kuvitaka vyombo vya dola kushughulikia wapigania mabadiliko ya kikatiba ni tishio kwa demokrasia na uchaguzi huru na haki

    Salaam Kauli ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, inayoitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaodaiwa kutaka kuzuia uchaguzi mkuu ni ya kutia wasiwasi katika muktadha wa demokrasia na haki za raia. Tamko hili linaibua maswali kuhusu uhuru wa...
  4. upupu255

    PreGE2025 Katibu CHADEMA, Njombe: Hakuna Uchaguzi kama hakuna mabadiliko

    Katibu wa chama cha Chadema mkoa wa Njombe Baraka kivambe, amesema hawako tayari kushiriki uchaguzi ikiwa hakuna mabadiliko kwa baadhi ya mambo ambayo wamekuwa wakiyalalamikia kwa muda mrefu. Ameeleza hayo katika kipindi cha Vitamin Asubuhi hapa Elolama Fm. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Mama aliyevunjiwa Kibanda apewa mtaji wa TSh. 250,000 na Ally Hapi

    Fatuma Iddi (mama wa watoto wanne) mkazi wa Magugu Mapea, Babati amerejeshewa tabasamu na Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi CCM Ally Hapi baada ya kupewa mtaji wa kufanya biashara. Fatuma alivunjiwa kibanda (duka dogo) na banda la kuonyesha mpiria alilokuwa akimiliki na mumewe kwa madai ya kuwa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Condester: Msikubali kuhongwa pombe ili mkawapigie kura

    Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Sichalwe amewataka wananchi kutokushawishika na watu wanaotoa rushwa ikiwemo kuwanunulia pombe ili wakawapigie kura, bali wanapaswa kupima maendeleo yaliyofanyika katika kipindi chake cha miaka minne kulinganisha na miaka 15 iliyopita. Kupata matukio na...
  7. W

    PreGE2025 Bananga (Katibu wa siasa na uenezi CCM, DSM) asema No reform No election ni kauli ya kiwendawazimu

    Katibu wa siasa na uenezi wa CCM katika mkoa wa Dar es laam Ali Bananga amesema kuwa harakati zinazofanywa na chama cha Upinzani Chadema zinazoitwa no reform no election ni za kipuuzi, Bananga ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na kipindi cha Morning Bantu Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa ameupa Siku 7 Uongozi wa TLP kujibu madai ya ukiukwaji wa Katiba, Kanuni za Chama hicho

    Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, ameupa muda wa siku Saba Uongozi wa Chama cha Tanzania Labour Part (TLP), kutoa ufafanuzi wa madai ya ukiukwaji wa Katiba ,Kanuni za Chama hicho kikongwe cha Siasa Nchini kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa ofisini kwake na Wanachama wa Chama hicho Nchini...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Mch Msigwa: Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka mpaka alipofurumshwa, Uongozi wake ulikuwa wa magumashi

    Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na wapiga Kura kwenye Uchaguzi wa ndani ya Chama, na kuongeza kuwa Uongozi wake ulikuwa wa magumashi...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Esther Bulaya: Bado ninaongea lugha ya CHADEMA, ninakipenda hiki chama

    "Mimi bado ninaongea lugha ileile ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na bado ninaongea lugha ya demokrasia, sasa suala la uanachama au kutokuwa mwanachama ni la maamuzi ya vikao, sasa kwenye jambo hilo, tutaenda kuongea kwenye vikao, kwasababu sisi tulikwenda mahakamani na kudai...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Mch. Msigwa: CHADEMA wamekomaa, wameiga demokrasia kutoka CCM, Wasitake CCM iwe na demokrasia kama yao (CHADEMA)

    Mwanachama wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa akizungumzia mchakato wa kumteua Rais Samia kuwa mgombea wa Urais 2025 uliofanyika Dodoma. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  12. W

    PreGE2025 Bulaya asema CHADEMA inapopambania reform za uchaguzi siyo kwa ajili ya CHADEMA tu

    "Kwahiyo CHADEMA inapopambania reform za uchaguzi siyo tu kwa CHADEMA kushinda, reform za uchaguzi zitamuingiza yeyote yule aliyechaguliwa kwa kura za wananchi". Esther Bulaya, Mbunge wa viti malum Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  13. W

    PreGE2025 Bulaya: CCM hawajasema kama wananitaka, Sijaona CHADEMA ikinikataa kuwa mwanachama wao

    Ester Bulaya wakati akiulizwa maswali kwenye kipindi cha Power breakfast ameeleza kuwa hajaona mahali ambapo chama chake (CHADEMA) kikimkataa na pia alipoulizwa kuhusu CCM ameeleza kuwa CCM hawajamwambia bado kama wanamtaka na muda pia bado. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
  14. Just Pray

    PreGE2025 NIRC wasaini mkataba wa bilioni 17 ukarabati skimu za umwagiliaji bonde la mto wa Mbu Arusha

    SERIKALI ya Awamu ya Sita ,kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini Mkataba Wa kukarabati skimu zilizopo katika bonde la Mto wa Mbu Wilayani Monduli, kwa gharama ya shilingi bilioni 17. Mradi huo unajumuisha ukarabati wa mifereji yenye urefu wa jumla ya Mita 37,484.71, sawa na...
  15. W

    PreGE2025 Esther Bulaya asema anaunga mkono kauli ya chama chake ya "No reform no election"

    Wakati akafanya mahojiano na Clouds tv Esther Bulaya ameulizwa kuhusu msimamo wa CHADEMA wa No reform no election, ambapo amesema yeye kama mwanachadema anaunga mkono kauli hiyo kutokana na majeraha yaliyotokea kwenye uchaguzi Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
  16. Cute Wife

    PreGE2025 Ester Bulaya: Mimi sio CCM ni CHADEMA. Utaratibu wa kutupeleka bungeni ulifuatwa hakuna aliyefoji

    Wakuu, Akiwa anahojiwa katika kipindi cha Power Breakfast Clouds Ester Bulaya amesema: "Mimi ni CHADEMA, (kuhusu kufukuzwa) hayo ni mambo ya ndani ya chama na ndio maana sababu sisi tumesema ni wana CHADEMA tukaenda kutetea uana CHADEMA wetu, na ni njia ya kawaida. "…Kwanza hakuna mtu yeyote...
  17. Kinyungu

    PreGE2025 Ujerumani: Nchi ya watu Milioni 83 inasemekana wamemaliza kuhesabu kura ndani ya saa 8 baada ya kukamilisha kwa zoezi, Tanzania tuna la kujifunza

    Sisi kama Watanzania na tume yetu Huru ya uchaguzi kuna jambo la kujifunza. Ujerumani ni nchi ya watu mil 83, wamefanya uchaguzi mkuu jana uliokuwa na ushindani mkubwa sana na ukifuatiliwa ulimwenguni kote. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  18. K

    PreGE2025 Njia zimebaki mbili tu kuhusu Uchaguzi Mkuu 2025

    Nashukuru sana wanasiasa mahiri walio saidia kurahisisha ujumbe na inazidi kuwa ngumu kwa matapeli kudanfanya tena. Tuna chaguo mbili tu! Hakuna chaguo la tatu 1. Kama una amini chaguzi za 2019,2020 na 2024 zilikuwa na huru na haki. Wewe basi pigania kupiga kura 2. Kama una amini chaguzi za...
  19. Cute Wife

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Songwe: Nimeongea na viongozi vijana wa upinzani wamekataa "No Reforms No Election", waungana na Rais Samia

    Wakuu, Makubwa haya! Wameenda kumnong'oneza sikioni au? ==== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa qa Songwe Bi Fatuma Mnahwate amesema ameongea na Wenyeviti wa Vijana wa Vyama vyote Vya Upinzani nchini ikiwemo kutoka ACT na BAVICHA na wamepinga kauli iliyotolewa na viongozi wao wakuu wa Chama Hicho...
  20. Just Pray

    Handeni, Tanga: Wachinja ng'ombe 23 ziara ya Rais Samia

    Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wa kutoka dini mbalimbali, mapema hii leo wamefanya Dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuliombea Taifa. Akitoa salamu za Mkoa wa Tanga wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata leo Februari 23, 2025, mkuu wa...
Back
Top Bottom