kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Vikundi 150 Tunduma vyapokea bilioni 4.6 mikopo ya asilimia 10

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hatua ya Halmashauri ya Tunduma kutoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 4.6 kwa vikundi 150, ikiwa ni mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani kwa ajili ya vikundi...
  2. PreGE2025 Makonda anajishusha hadhi sana na kumdhalilisha Rais

    Kiukweli nilianza kuvutiwa na Paul Makonda ila hivi karibu hasa vita anavyompiga mbunge wa Arusha mjini kwa kweli naona ni ushambaa na pia hajakomaa. Makonda ajitafakari matendo yake kwani kiongozi aliyemteua ni mtu msikivu na asiyependa ugomvi kwa watendaji wake. Kupata taarifa na matukio ya...
  3. PreGE2025 Rais Mwinyi: Tuendelee kuiombea nchi Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema jamii ina Wàjibu wa Kujifunza Umuhimu wa Amani kupitia Mambo yanayojiri katika Nchi zilizokosa Amani Ulimwenguni. Akizungumza katika Dua Maalum ya Kuiombea Nchi pamoja na Viongozi Wakuu, Rais wa Zanzibar na...
  4. PreGE2025 Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amejibu mashambulizi yanayohusiana na wito ulioibuliwa na baadhi ya madiwani wa jiji la Arusha wakimuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo. Gambo amesema kuwa yeye anatekeleza majukumu yake kama...
  5. PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA wateta na Balozi wa Norway kuhusu mfumo wa uchaguzi na demokrasia. Waifikisha 'No Reform No Election'

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu, akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA, Mhe. John Heche, Mhe. Amani Golugwa, na Mhe. Godbless Lema, walikutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tine Tonnes, katika makazi ya balozi Oysterbay, Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo...
  6. PreGE2025 Tundu Lissu aendelea kusisitiza Wagombea CHADEMA, Unataka Ubunge ili iwaje? Watu wetu wanauawa kwa Risasi za Polisi!

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anasema kuwa uamuzi wa mtu kugombea Ubunge au nafasi nyingine ni wa Chama si wa mtu mmoja, na uamuzi wa Chama ni hakuna uchaguzi kama hakuna mabadiliko, hivyo yeyote anayekwenda CHADEMA ajue kwamba hakuna uchaguzi kwa...
  7. PreGE2025 Ally Mohamed Keissy: Rais Samia agombee tena Urais ikifika mwaka 2030, hii miaka 4 ilikuwa ya Magufuli

    Wakuu Aliyewahi kupendekeza Hayati Magufuli aongoza nchi zaidi ya awamu 2 amerudi tena na mapendekezo ya Rais Samia kuongoza nchi kwa miaka 14 akidai miaka hii 4 ilikuwa ya Magufuli. == Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020) amependeeza Rais Samia...
  8. Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  9. PreGE2025 Katibu Mwenezi, BAWACHA: Baraza la Madiwani la Chama kimoja ni hatari kuliko ugonjwa

    Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) taifa Sigrada Mligo amewataka watanzania kufanya mabadiliko kwa kuchagua madiwani toka vyama vya siasa tofauti tofauti ili waweze kunufaika na rasimali zilizopo kwa kuwa nchi ina mali ikiwemo madini ya kutosha...
  10. PreGE2025 Mkazi wa Korogwe atua mkutanoni na 'Kapu la Kura' kwa Rais Samia

    Mmoja ya wananchi wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga amejitokeza kwenye Mkutano wa hadhara unaofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe, ambako Rais Samia Suluhu Hassan anatazamiwa kuhutubia akiwa na kapu litakalojaa kura zake! Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi...
  11. PreGE2025 Kauli ya Ally Hapi ni ya kichochezi na uvunjifu wa amani, akemewe mara moja

    Wakuu, Juzi Ally Hapi alivitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua CHADEMA wanaotaka uchaguzi usifanyike bila ya mabadiliko kufanyika, akisema ni kisingizio kwa kuwa hawajajiandaa. Kauli hii inazidi kukandamiza wapinzani na wananchi kwa ujumla kwenye uhuru wa kutoa maoni yao pale wanapoona...
  12. PreGE2025 Makalla: Maamuzi yamefanywa na Mkutano Mkuu hata mi naogopa, Malisa kaondolewa kwa utovu wa nidhamu

    Wakuu, Kwahiyo Mkutano Mkuu upo kama jiwe, limeshakauka haliwezi kufinywangwa? Wenzetu kwenye Mkutano Mkuu ni malaika hawawezi kukosea? Ikisemwa ndio imetoka hiyo?😂😂. Mpaka Makalla anatetemeka ugali usije kukatishwa shughuli yake ikaisha? :BearLaugh: Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  13. PreGE2025 Uchaguzi 2025: Mzalendo wa Kweli Huchagua kwa Busara!

    Uchaguzi 2025: Mzalendo wa Kweli Huchagua kwa Busara! Ndugu wana JamiiForums, kama mashujaa wa fikra huru, tunakaribia tena msimu wa maamuzi. Mbele yetu kuna njia mbili—moja yenye nuru ya matumaini na nyingine yenye kivuli cha ahadi hewa. Historia inatufundisha kuwa si kila anayesimama...
  14. PreGE2025 Januari Makamba ampa maneno mazito Rais Samia, aapa kwenda nayo Kaburini

    Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwamini na kumpa nafasi ya kuhudumu katika baraza la mawaziri, akisema kuwa ni heshima kubwa isiyofutika katika maisha yake. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  15. PreGE2025 ACT Wazalendo: CCM siyo chama cha siasa tena. Zamani ilikuwa inatumia dola ili kuiba uchaguzi, sasa Dola inaitumia CCM kuiba uchaguzi

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, ndugu Ado Shaibu amejibu kauli ya Ally Hapi kuwa Dola iwashughulikie wanaotaka kuzuia uchaguzi, ambapo amesema kuwa CCM siyo chama cha siasa tena, kwasababu sifa ya chama cha siasa ni lazima kiwe na uwezo wa kuleta ushindani. CCM hii ya sasa siyo ile tuliyokuwa...
  16. W

    PreGE2025 Mhandisi James Jumbe Wiswa, amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mjini, Mhandisi James Jumbe Wiswa, amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga. Mhandisi Jumbe amekabidhi mifuko hiyo ya saruji wakati wa...
  17. PreGE2025 Rais Samia kamaliza kuwaadhibu Ummy na Makamba teuzi zinakuja. Nape yupo njiani kukamilisha genge la kukimbia na mabox ya kura

    Wakuu, Makamba na Ummy washamaliza kutumikia vifungo vyao, sasa hivi wapo vizuri na mama. Rais Samia kaonesha leo ni mtu wa visasi sana, ukionesha kitabia cha kumchallenge tu unafinywa fastaaa. Naona safari ya Tanga ilikuwa maalum kwaajili ya kutoa msamaha🌚. Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia...
  18. PreGE2025 Mgombea urais NCCR Mageuzi kujulikana Aprili 30

    Hekaheka za uchaguzi mkuu zinaendelea kushika kasi huku vyama vya siasa vikiendelea na mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi ya urais. Kwa upande wa NCCR Mageuzi, Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni na Utawala wa chama hicho, Florian Mbeo, akizungumza leo Jumatatu, Februari 24, 2025 na Mwananchi...
  19. U

    PreGE2025 Wizi wa Kura, Uvunjaji katiba, Covid 19, Jeshi na Jeshi la Upendeleo Vyote vinafanywa na CCM

    Ukiangalia kwa undani, CCM na serikali yake kila kitu kinachohusu wananchi wanataka watumie dola na ubabe kifanyike, wananchi wanajua kabisa CCM kupitia serikali wanaiba kura, na kwasababu ccm inalazimisha watumishi wa serikali kuwa wao ni waajiriwa wa CCM hivyo lazma kiwatumikie, Vivyo hivyo...
  20. PreGE2025 Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu: Rais Samia ajitathimini

    Maazimio ya Halmashauri Kuu Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida jana tarehe 23 Februari 2025 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya Chama). Kikao hicho kilipokea na kujadili Taarifa ya Uvurugaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…