kueleka 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    GE2025 Chini ya rais Samia mapato ya korosho yaongezeka mara nne (4)

    Mwaka 2021 wakati Rais Samia anaingia madarakani, Uzalishaji wa korosho ulifikia Tani 216,907 zilizoiingizia Tanzania $181M sawa na TZS452.5bn. Mwaka 2024/25 Tani 528,260 zilizalishwa na thamani yake ni $600M sawa na TZS 1.6Trilioni. Chini ya Rais Samia Mapato haya ya Korosho yameongezeka...
  2. Waufukweni

    GE2025 Baba Levo: Zitto sio mpinzani na hatoweza kunidhibiti

    Msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni Mtangazaji wa Wasafi FM, Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, na mtia nia Ubunge Jimbo la Kigoma mjini Kupitia CCM, amekea vikali kauli za Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe aliyoitoa kuwa Wasanii, Wachekeshaji na Watangazaji sio watu sahihi...
  3. technically

    Makonda, Gambo, Mwijaku,Mchengerwa, Omera wakamatwe kwa tuhuma kutumia madaraka yao vibaya sio kugombea ubunge

    Naongea haya kwa masikitiko makubwa Moja ya watu waliotuhumiwa kwa utekaji na Mambo mengine moja wapo ni Hawa watu Halafu leo wanagombea Tena ubunge na nchi hii ilivyo ya mazuzu wanawashangilia tu Hawa watu WANATAKIWA kukamatwa na takukuru na kohojiwa kwanza kwa kutumia madaraka yao vibaya...
  4. DuaZaMama

    GE2025 Shaffi Dauda achukua fomu kuomba ridhaa ya ubunge jimbo la Temeke

    Mkuu wa Mahusiano ya Kimkakati Clouds Media na Mchambuzi nguli wa habari za michezo nchini Shaffi Dauda ‘Digala’ leo tarehe 30 Juni , 2025 amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi CCM kuwania Ubunge jimbo la Temeke
  5. DuaZaMama

    PreGE2025 Mwanasiasa Fadhili Fabian Ngajilo, amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Iringa Mjini

    Mwanasiasa Fadhili Fabian Ngajilo rasmi amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa mara ya tatu kupitia chama cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza na waandishi wa habari Ngajilo baada ya kuchukua fomu hiyo kwenye ofisi kuu ya ccm wilaya ya iringa mjini amekishukuru chama cha...
  6. DuaZaMama

    PreGE2025 Monalisa ajitosa kwenye viti maalum kupitia UVCCM

    Kinyang’anyiro cha Ubunge wa Viti Maalum kundi la Vijana kinaendelea kukolea moto baada ya Monalisa Daniel, Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM. Monalisa ambaye amejijenga na kukubalika na...
  7. MANKA MUSA

    PreGE2025 Balozi Nchimbi: Maoni yoyote kuhusu amani ya Tanzania hayatapuuzwa

    BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA. Awahakikishia viongozi wa dini, taasisi za kijamii na kimila Awapongeza wanawake kusimamia amani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa maoni yoyote yanayolenga kuhakikisha...
  8. Idugunde

    Kuna mpasuko mkubwa kwa Wanachama wa CCM . Makundi yameibuka na msuguano mkubwa juu ya kupata wagombea ubunge na udiwani

    Sasa hivi kila jimbo la uchaguzi wanaCCM wanavutana nani awe Mbunge wao. Vijembe na mikwaruzano imeanza kutokea WanaCCM watauana safari hii sababu ya ubunge na udiwani.
  9. P

    PreGE2025 Toka mwaka uanze umeona gari la taka mtaani kwako mara ngapi? Wanasiasa na Mazingira ni kama kisogo na kisigino, viko mbalimbali!

    Wakuu, kama kichwa kinavyosema, toka mwaka uanze mpaka leo hii June 13 umeona gari la kuzoa taka mara ngapi mtaani kwako? Kwakweli toka mwaka huu uanze Mtaani kwangu kule Mbezi Beach sijaona gari la taka hata mara moja. Kwa wanaozalisha taka ndogo huwa zinachomwa tu na zile za kuoza zinawekwa...
  10. W

    PreGE2025 Wakuu kumbe kuna siku ya Samia na hatuambiani?

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ametangaza kuwa maadhimisho ya Siku ya Samia mwaka huu yatakuwa ya kipekee na ya kitofauti. Amesema kesho Juni 3, 2025, badala ya kukusanya watu wote ukumbini kama walivyokuwa wanafanya, kwa kesho siku hiyo itaadhimishwa kila kata katika Mkoa wa Dodoma...
  11. McLaren

    PreGE2025 Rais Samia: Watu wanaojileta Majimboni kusema wametumwa na Rais, wakateni mapema sana. Mimi na Mwinyi hatujatuma mtu

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye uzinduzi wa Ilani ya CCM 2025 ameonya wale watu ambao wanaenda majimboni na kuanza kusema kuwa wametumwa na Rais Samia pamoja na Mwinyi ili waweze kupitishwa na wajumbe kama wagombea wa CCM. Rais Samia amesema kuwa yeye na Mwinyi hawajatatuma mtu yeyeote...
  12. L

    PreGE2025 Kuna uwezekano Askofu Gwajima anamchafua Rais Samia kuelekea Uchaguzi na akitumika na wale watu waliotaka asiwe Rais

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa Kuwaambieni na kuwakumbusheni Ya Kuwa Pamoja na Katiba yetu kuwa wazi na kunyooka kabisa juu ya nini kinapaswa kufanyika pale Rais aliyepo madarakani anapofariki Dunia, Yaani Makamu wa Rais Kuapishwa na kuchukua Madaraka ya Urais kuongoza Nchi. Lakini ni...
  13. W

    PreGE2025 Shigongo awataka wananchi wa jimbo lake wasimchague kama hatowaletea Grader

    Yani bado wabunge wanatuchukulia poa kiasi hiki? === Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amewaeleza wananchi wa kata ya Illigamba kuwa tayari ameagiza vifaa vyake binafsi kwa ajili ya kutengeneza barabara katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo. Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika...
  14. Nipe Maji

    PreGE2025 Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) wafikia zaidi ya asilimia 85

    Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) umefikia zaidi ya asilimia 85 ya utekelezaji wake. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesomewa taarifa hiyo alipotembelea ujenzi huo ili kuona maendeleo yake. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 112.3, ni miongoni mwa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CHAUMA Tunaenda kuzindua oparesheni ya chopa siku 16, usiku na mchana

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza kuwa kitaanza oparesheni maalum ijulikanayo kama C4C Tusonge Mbele kuanzia Mei 30, 2025 jijini Mwanza, kwa lengo la kuwafikia wananchi wa mikoa yote ya Tanzania ndani ya siku 16 kwa kutumia usafiri wa helikopta (chopa). Tangazo hilo limetolewa na...
  16. A

    PreGE2025 Ni ngumu sana Sugu, Wenje, Mbowe kubakia CHADEMA hii yenye msimamo mkali ya Lissu na Heche

    Hawa makada wa CHADEMA niliowataja ni vigumu mnoo kuendelea kuwa wanachama wapigania mabadiliko ndani ya CHADEMA hii ya msimamo mkali wa kisiasa. Ni suala la muda tu. Kuna ambao wangetaka kuondoka wakati huu pia, ila mfumo unawabakiza hili kujua mipango na mikakati ya CHADEMA hasa wakati huu...
  17. Echolima1

    Raia wa Gaza sasa wanafunga virago vyao kupisha Operation ya kijeshi kutoka majeshi ya Israel

    Tako jana majeshi ya Israel yalikuwa yakitoa maelekezo kwa raia wa Gaza kutulia ndani ya majumba/Mahema yao huku wakisubiri maagizo mengine kutoka ngapi za juu za majeshi ya Israel. Mchana wa leo hii Majeshi ya Israel yametoa amri raia wema waondoke maeneo hayo waelekee kaskazini mwa Gaza na...
  18. McLaren

    PreGE2025 Mwenezi CCM Rombo aweka plate number yenye vifupisho vya jina la Rais Samia. Hivi kiutaratibu hii imekaaje?

    Wakuu, Hivi sheria zinasemaje kuhusu hizi plate number za kwenye magari? Ni kwamba mimi naweza tu kuamka asubuhi nikaweka jina lolote as plate number au kuna muongozo ambao inabidi ufuatwe? Vipi kwenye plate number nikaweka maneno yanayozua taharuki au nikaweka jina la mgombea Urais hasa...
  19. S

    PreGE2025 Ubinafsi umefanya vyama vya siasa kutotumia nafasi ya kukataa kutia sahihi kanuni za uchaguzi kuwalazimisha CCM kukaa nao mezani na kubadili kanuni

    Leo hii, kama vyama vyote vya siasa vingechukua msimamo wa kukataa kutia sahihi kanuni za uchaguzi, amini nawaambieni, sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo mengine kabisa. Vyama vya siasa havikuiona na kutambua kuwa hiyo ilikuwa nafasi ya kuilazimisha CCM kukaa nao mezani na hata kubadili kanuni...
  20. Mindyou

    PreGE2025 Kamati ya Bunge yaipongeza Serikali ukarabati wa soko la Kariakoo. Wafanyabiashara 1,002 tayari wamepangiwa maeneo

    Haya ndio madhara ya Bunge na Serikali vyote kutoka kwenye chama kimoja. Yaani hizi kamati za Bunge kazi yake imekuwa ni kupongeza tu. Sijawahi kuona hata mradi mmoja ambao hizi kamati zimesema kama hauendi vizuri. Tukisema hizi ni kampeni za Uchaguzi mtakataa...
Back
Top Bottom