kudhalilika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya za Simba zimevuja, Kama ni kweli ndio zile ni nzuri sana ila bado watu wabaya hawajafa ndani ya timu yetu na tujiandae kudhalilika tena

    Baada ya wao kutoa jezi mbovu, zinizi na ubora wowote, inasemekana jezi mpya za Simba zimetoka, wanaozipost ni washabiki wa Yanga pamoja na mwandishi kanjanja İbrahim Ambokile. Kama kweli zile ni jezi za Simba nimezipenda na nitazinunua za rangi zote, ni jezi zenye Quality ya kutosha, yule Ali...
  2. JamiiForums Tanzania SADC na SAMIDRC zaufyata tena mbele ya AFC/M23. Mwaka wa kudhalilika na kuvuliwa nguo

    Siku za nyuma, SAMIDRC Mission ilifikia makubaliano na M23, ya kuirahisishia kuondoa wanajeshi wake huko mashariki mwa DRC. South Africa, kwa kuogopa kuzomewa kama walivyofanyiwa mamruki wa Ulaya, walipokuwa wakipita mpakani mwa Rwanda na DRC, waliiomba M23 kwa makubaliano(Hakika yalikuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Zipo nyakati za kudhalilika wakati wa kujitafuta

    MHADHARA (104)✍️ 1. Utaondoka nyumbani mweupe kwenda kutafuta, utarudi nyumbani ukiwa mweupe. Lakini usiwe mwisho wa kuendelea kupambana. 2. Biashara utakayoianzisha itayumba, au kufa kabisa. Lakini usiwe mwisho wa kuendelea kupambana. 3. Utakwama, utawapigia simu watu wako wa karibu kamwe...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM imekubali kudhalilika? Kwamba bandari imebaki na Kitenge na Mwijaku kama watetezi? Na tunaona tupo njia sahihi?

    Thamani ya rasilimali zetu imeshushwa chini kutoka kwenye utetezi wa watu makini hadi kutetewa na chawa; chawa hawana hoja wana matusi na tunaamini tutapiga hatua ? Ni fedhea kubwa sana kuona baraza la maaskofu na watetezi wengine wa rasilimali zetu wanakosa wasome wakuwajibu badala yake...
  5. JamiiForums Tanzania Naenda kudhalilika, nisaidieni kupata huduma ya TANESCO kwa haraka

    Habari wakuu, Watu hatuna STATUS sawa kwenye jamii ndio maana nimekuja kuomba msaada. Mimi ni mjasiriamali baada ya kuhitimu chuo mwaka jana nilikuwa nimejibana nikasevu pesa kidogo nikanunua Mashine za kukoboa na kusaga Mahindi (Mota na vinu viwili) ni miezi minne sasa tangu ianze kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…