kuchukua fomu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Simiyu wachukua fomu, wasema "Safari hii hatutakimbia, watakimbia wenyewe"

    Pazia la kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika mwaka huu 2024 limefunguliwa Jana Oktoba 26, 2024 kwa mujibu wa TAMISEMI. Zoezi hilo ambalo litafanyika kwa siku Saba, Hadi Novemba 1, 2024, litaambana na kurudisha fomu kwa wagombea...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

    Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama...
  3. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ileje wamchangia Dr Ntimi Mtawa gharama za kuchukua fomu 2025

    Wananchi wa Ileje kutoka Ikinga, Isongole, Ngulilo, Ndola, Luswisi na Itale kwa pamoja wameonyesha uzalendo wao kwa kumchangia gharama za kuchukua fomu ya ubunge. Msomi Dr Ntimi Mtawa ili agombee nafasi ya ubunge katika uchaguzi mkuu ujao wa 2025. Ikumbukwe mwaka 2020 kijana huyu msomi alijaribu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kama leo hii mwanamke atatwezwa utu wake, watawezaje kwenda kuchukua fomu ya uchaguzi?

    KAMA LEO HII MWANAMKE ATATWEZWA UTU WAKE, WATAWEZAJE KWENDA KUCHUKUA FOMU YA UCHAGUZI? "Serikali mwaka huu inaingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi mkuu, wapo watu mbalimbali watagombea wenye jinsia ya kike, kama leo hii watatwezwa na kudhalilishwa, nani mtoto wa kike...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 A-Z ya kinachoitwa michango ya kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukua fomu ya kugombea Urais 2025

    Wana bodi, ni tumaini langu unaendelea vizuri na sherehe za pasàka pili. Baada ya kusikia Kwa muda mrefu suala la watu tofauti tofauti kujitokeza na kudai watamchangia Mama pesa za kugombea Urais mwakani, binafsi nilianza kufanya uchunguzi. Leo asubuhi nimesikia redioni katika Moja ya vipindi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Godfrey Nyange Kaburu kabla ya Kuchukua Fomu ya Uongozi Simba SC umewaomba Radhi wana Simba SC?

    Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya Ismail Aden Rage Kuingilia kati na Kumsihi. Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka : Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wanaohitaji Ubunge wa EALA "East African Legislative Assembly "sasa ruksa kuchukua fomu.

  8. JamiiForums Tanzania Uchaguzi CCM: Marufuku kuchukua fomu kama huna Cheti cha Taaluma

    Siku chache baada ya kuripotiwa sakata la kukatwa ovyo kwa Majina ya wagombea ndani ya CCM bila kufuata utaratibu huko Ilala mapya yaibuka. Inaelezwa kwamba Makatibu wote wa Mikoa na Wilaya "wamepewa Maagizo" na Katibu Mkuu Chongolo kuhakikisha kila anayegombea anaambatanisha Kopi za Vyeti...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya Tulia Ackson kuchukua fomu ya kuomba Uspika, kwanini nafasi ya Naibu Spika nayo isitangazwe kuwa wazi?

    Katika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika, limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson, kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika, na ndio maana anauomba Uspika kamili, na bila shaka ameondoka kwenye ofisi ya Naibu Spika kwa lengo la kuepusha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…