Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Iramba Magharibi Dkt. Mwigulu Nchemba, amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka rasmi katika mbio za kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
#KaziNaUtuTunasongaMbele.
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Namtumbo Dkt. Juma Zuberi HOMERA, Tarehe 26 Agosti, 2025 amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka rasmi katika mbio za kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025...
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Vunjo Enock Koola, leo Agosti 26, 2025 amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Khamis Mbeto, ametangaza rasmi ratiba ya mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, akieleza kuwa mgombea husika atakwenda kuchukua fomu ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM.
Amesema siku ya zoezi hilo muhimu...
JIMBO LA VUNJO JAMBO NI MOJA TU LEO...ENOCK KOOLA KUCHUKUA FOMU!!
Wana Vunjo wote na Watanzania kwa ujumla, jambo kubwa limewadia! Leo tunapiga mbiu ya mgambo: Kipenzi cha Wanavunjo, Enock Koola, kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Wananchi mbalimbali na wanachama wa chama cha mapinduzi wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza mgombea ubunge kupitia chama hicho kwa ajili ya kwenda kuchukua fomu kwa ajili ya Ubunge.
Hata hivyo sherehe hizo zimepambwa na vyakula ikiwemo nyama na ng'ombe 200 wamechinjwa kwa ajili ya kusherekea.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Salma Kikwete, amewasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Lindi Mjini kwa ajili ya kuchukua barua ya utambulisho.
Barua hiyo inamwezesha kuelekea katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi mkoani humo kuchukua fomu ya kugombea...
Zoezi la uchukuaji wa fomu nafasi za Ubunge na Udiwani, limeanza leo rasmi kwa baadhi ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu, wilayani Mbarali, mkoani Mbeya, huku uteuzi wa wagombea Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chaumma ukisubiriwa kwa hamu kujua watakaoteuliwa rasmi kugombea nafasi...
Wafuasi wa Chama Cha United Democratic Party, UDP wakiingia ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kumsindikiza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho, Saumu Hussein Rashid leo, Agosti 15,2025
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameambatana na mgombea mwenza wake Devotha Minja kufika kwa mbwembwe katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu za uteuzi wa Rais na...
Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Kijamii INEC wakimsindikiza mgombea wa nafasi ya Urais, David Mwaijojele na mgombea mwenza, Masoud Ali Abdalla katika uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025 katika ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) leo Agosti 12, 2025
Anaandika Afande sele ,✍.
Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳
Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika au Dunia nzima✊🏽
Inaonyesha ni kwa kiasi gani baadhi ya wanasiasa wamejaa tamaa na ubinafsi hata...
Wafuasi wa mgombea wa nafasi ya Urais wa Chama Cha UMD wakimsindikiza mgombea wao Mwajuma Mirambo akiwa na mgombea mwenza Mashavu Alawi Haji kuingia ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Kwa ajili kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo.
Source EATV...
09 Agosti 2025
Mtaa wa Kajificheni
Intaneti
HUMPHREY POLEPOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA RAIS SAMIA KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO 09 AGOSTI 2025
https://m.youtube.com/watch?v=u2E3mF2fqQo
Mubashara kwa kustukiza Humphrey Polepole mambo matatu
Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais
Kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais.
Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
Wakuu,
Tume ya CCM, INEC ilikuwa imejitayarisha kurusha tukio la mgombea wa CCM kuchukua fomu ya Urais pamoja na mgombea mwenza wake, lakini wameifuta bana.
Kwanza mlianza kusema Uchafuzi badala ya Uchaguzi mlipotangaza tarehe ya kupiga kura, leo mmefuta live ya tukio mlilokuwa mrushe. Mnazidi...
Wakazi wa Dodoma wako hapa wamekusanyika wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais kwa awamu nyingine.
Wakuu,
Hili ni tukio la kichama, katika shughuli ambayo kama atafanikiwa basi acc hizo za ikulu ndio zitatumika kirusha matukio yake.
Kwanini zinatumika leo Samia akienda kuchukua fomu kama mgombea wa CCM, ni kwamba wameshapitisha kwamba yeye ameshakuwa Rais?
Vyama vingine vikienda kuchukua...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Mtekelezo jirani na makao makuu ya chama hicho kwa lengo la kumpokea Mgombea Urais wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anachukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.