kuchagua viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    PostGE2025 Rais Samia: Oktoba 29 mamilioni ya watanzania walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
  2. W

    Kamishna Mkuu TRA: Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam. Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania katika...
  3. Pascal Mayalla

    Katiba Ilidhamiria Watu Wawe Huru Kushiriki Uchaguzi kwa Uhuru wa Kuchagua Viongozi Wanaowataka na Uhuru wa Kugombea,Uhuru Huo Haupo!ni Dhambi Kubwa!

    Wanabodi Na leo ni kama jana mwendo wa Harusi ya Kana,nimekutana na kichupa kidogo kinaitwa Imagi!,hii kitu ni noma!nimezamisha kamoja tuu!kamenituma nishuke JF,natiririka tuu。。。 Mada ya leo ni kuhusu Katiba Ilidhamiria nini kuhusu haki ya kuchagua na kuchaguliwa。 Katiba ilidhamiria watu wawe...
  4. W

    PreGE2025 Afisa Tarafa Chang'ombe awasihi wananchi wakajiandikishe ili wawe na sifa za kuchagua viongozi

    Afisa Tarafa ya Chag'ombe Al Hajj Saadat Mtware amewahamiza wananchi kujitahidi katika kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ikiwa leo ni siku ya mwisho wa uandikishaji huo. Al Hajj Mtware akimuwakilisha Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe Sextus Mapunda katika Iftra maalum...
  5. upupu255

    PreGE2025 RC Mtwara atoa wito kwa viongozi wa dini kuwaelimisha waumini kuchagua viongozi bora 2025

    Viongozi wa dini mkoani Mtwara wametakiwa kuendelea kuwaambia waumini wao juu ya kuchagua viongozi bora watakaoleta maendeleo ndani ya mkoa na taifa kwa ujumka utakapofika uchaguzi mkuu mwaka huu 2025. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala wakati wa ghafla fupi ya...
  6. mwanamwana

    PreGE2025 Dkt. Mujwahuzi: Vyama vingine viige mfano wa CCM katika kuchagua viongozi

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dkt. Leonce Mujwahuzi amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa imara kutokana na kuwa na utaratibu mzuri wa kuchagua viongozi wake kwa utaratibu wa kuwabadilisha na kuchagua viongozi wapya kila baada ya muda fulani ambapo inapelekea...
  7. Waufukweni

    LGE2024 Arusha: Maoni ya Wananchi kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa

    Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu. Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha...
  8. Waufukweni

    LGE2024 Dar: Amos Makalla apiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla, amewasili mtaa wa TPDC Mikocheni B Jijini DSM kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa ikiwa Mwenyekiti pamoja na wajumbe wa Serikali za Mitaa.
  9. Waufukweni

    LGE2024 Tanga: DC Kubecha apiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa

    Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha leo Tarehe 27 Novemba 2024 Ameongoza Wananchi wa Wilaya ya Tanga kwenye zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Central kituo cha Raskazone.
  10. Roving Journalist

    LGE2024 Dkt. Tulia awataka wananchi kuchagua viongozi wenye uwezo

    Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini, Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi kuchagua Viongozi wenye uwezo wa kushughulika na changamoto zao kwa urahisi ili kuweza kuwaletea...
  11. Tlaatlaah

    LGE2024 Idadi kubwa ya wananchi wapo tayari kwa Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa na wengi zaidi wataichagua CCM

    Hamasa kubwa inatokana na wito wa mwenyekiti wa CCM taifa katika ziara zake maeneo mbalimbali nchini, na hivi karibuni akiwa mkoa wa Ruvuma, alitoa wito na kuwarai wananchi kwamba wanapaswa kuichagua CCM, kwasababu ndicho chama pekee nchini cha kuaminika ndani na nje ya nchi. Lakini pia ndicho...
  12. peno hasegawa

    Kuchagua viongozi mwaka 2020, bila kujali afya zao,umri na demokrasia limesababisha Vifo vya madiwani watatu mkoa wa Geita.

    Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020. Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho. Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee. Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani...
  13. J

    Kuna tofauti Kati ya kupiga Kura na Kuchagua Kiongozi, Afrika tunapiga Kura!

    Kupiga kura Kisiasa ni zoezi la kumuweka mtu au Kikundi Cha watu madarakani bila kujali kama Wana sifa ama la Kupiga kura mtu anashawishiwa na Vionjo mbali mbali mfano Rushwa, Ulaghai, Dhulma na Utapeli Lakini Kuchagua Kiongozi ni zoezi la kumchagua Mtu mwenye Sifa, Vigezo na karama ya Uongozi...
  14. P

    PreGE2025 LGE2024 Tuzingatie nini katika kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Wabunge na Rais kwenye chaguzi zijazo?

    Viongozi tunaowachagua tunawapa mamlaka ya kutuamulia mustakabali wa maisha yetu katika kipindi chote cha uongozi wao. Viongozi hawa wanatunga sheria na sera kwa niaba ya wananchi wote, wanachukua mikopo kwa niaba ya watanzania wote, wanasimamia matumizi ya pato (uchumi) la taifa, ulinzi na...
  15. Analogia Malenga

    Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali

    Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura. Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi. Aidha amesema...
Back
Top Bottom