Hilo linawezekana ingawa kuna gharama ila inawezekana kabisa kwa gari nyingi zilizopo hapa tanzania kubadilishwa mfumo ila lazima fundibawe mjuzi sana wanhizi mambo
Hii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana
CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake
Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo.
Britanicca
Baada ya kuona CAG alichosema, Tanzania tunapaswa kubadili kabisa mfumo wa utawala wa taifa letu ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kuboresha uwezo wetu wa kufikiri 🧠, kuuliza na kutenda. Mfumo huu mpya unapaswa kupunguza gharama za uendeshaji wa serikali, kuhakikisha usimamizi bora wa...
Mfumo ni muundo unaotumika kutofautisha, kutekeleza au kuonesha majukumu ya kikazi au majukumu, mfumo ni Mchakato wa Mda mrefu ambao huendesha taasisi fulani ni kwamba bila ya Mfumo hakuna Taasisi.
Mtu hua ni mtumwa/zao/kiungo katika mfumo hivyo mfumo unamuhitaji mtu ili kujiendeleza kuwepo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.