Majira ya Saa Saba mchana wa leo, itafanyika droo ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/2026 kwa hatua ya awali.
Droo hiyo itafanyika nchini Tanzania katika studio za AzamTv.
Wawakilishi wa Tanzania kwa Ligi ya Mabingwa ni Simba na Yanga huku upande...
Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
RS Berkane ana uhakika asilimia 💯 kuchukua ubingwa
1. Kesho saa 1 kamili asubuhi kombe litatua Dar es Salaam, na kupokelewa na mashabiki wao wa Tanzania.
2. Parade la ubingwa kuelekea viwanja vya jangwani, kupitia mitaa ya Msimbazi
3. Viongozi, wachezaji na mashabiki wa Simba watapata fursa...
FT: Simba SC 1-1 RS Berkane (Agg: 1-3) |
Ni kufa au kupona.
Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika.
Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0.
Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili.
Mchezo ni saa 10:00 jioni kwa...
Nianze kwa kusema....asante sana Timu yangu ya Simba kwa kufika hapa fainali ki ukweli hatuwadai/siwadai kwani malengo ilikua ni nusu fainali...ila imewezekana mpaka kufika fainali...
Kwa mambo yanavyoendelea... huko CAF kuko corrupt...kuweza kutoboa hapo kwa hao waarabu ambao wanapambaniwa...
Hizi hapa takwimu za Berkane Vs Simba kuelekea mchezo wa Fainal ya kwanza hapo Jumapili.
Kubwa la kuzingatia ni kuwa Berkane kafungwa mchezo mmoja tu na kuruhusu magoli mawili tu msimu huu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho.
Mimi ni mmoja wa watu wachache sana ambao tuliitabiria makubwa Simba kabla hata msimu huu haujaanza. Kwa maana hiyo mimi ni mmoja wa watu wachache ambao tuna kibali cha kuona na kutafsiri kwa usahihi sehemu ambapo klabu au timu imeteleza.
Wakati timu ikijiandaa kwenda Morocco kwa ajili ya mechi...
Najua mahaba ni makubwa mno kiasi kwamba hawapendi kabisa kuambiwa ukweli, lakini wakati utaongea vizuri.
Mechi ya fainali inaishia Morocco na kuna mtu anaenda kula kono la nyani
Hii kitu ndio itawatia uvivu kwenda uwanjani mechi ya pili kwani uwezekano wa kupindua meza autakuwepo kabisa...
Kikosi cha Simba SC kwa msimu wa 2024/2025.
KILICHOFUZU KUCHEZA FAINALI ZA SHIRIKISHO BARANI AFRICA CAFCC 2024-205.
kinajumuisha wachezaji kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya wachezaji na nchi zao:
GOLIKIPA
1. Mussa Camara🇬🇳
2. Aishi Manula 🇹🇿
3. Ally...
Kombe la shirikisho limefutwa rasmi.
https://www.jamiiforums.com/threads/caf-kuyafuta-mashindano-ya-kombe-ya-shirikisho.2309878/
Simba ina chance ya kulihitimisha kombe hili kwa kuiheshimisha nchi kwa kushinda na kuwa timu ya kwanza nchini kuleta kombe la kimataifa la CAF.
Yanga waliwahi...
Mimi naomba nipingane na mashabiki wote wa simba na wachambizi wa mchele hapa Bongo wanaojiita wachambuzi wa soka.
Kibu, Mpanzu na Ahoua hawa watu wanatabia moja ya kupenda sifa, mapicha picha, camera na ujiko
Uchezaji wao ni kama wa boka au kibwana shomari tena afadhali boka na kibwana maana...
Naona kejeli zimekuwa nyingi. Hivi Yanga haijawahi kushiriki mashindano ya Kombe la shirikisho CAF?
Tena Yanga si ilishiriki shirikisho kama Luza (looser) toka mashindano ya Klabu Bingwa ilikoshindwa kufuzu kwenda hatua ya Makundi Klabu Bingwa?
Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na kubeba ubingwa wa shirikisho, huu ndo utabiri wangu
Hakika Kundi A la Kombe la Shirikisho ndio kundi lililokuwa na timu ngumu na imara.
Timu mbili kutoka kundi hilo, Simba ya Tanzania na Costantine ya Algeria zote zimetinga hatua ya nusu fainali.
Na kuna uwezekano zikakutana zenyewe tena kwenye fainali kama watashinda mechi zao za nusu fainali...
Mnakumbuka alikuwa mdhamini wa timu zote mwaka juzi, Yanga ikafika fainali kwa kubebwa na ma arajiga wa CAF.
Mwaka huu kaidhamini Al Masry ili itukwamishe. Kamara kapewa hela pia.
Mimi ni mzee wa Simba.
Habari!
Kwa mfumo wa soka la Bongo hapa hakuna mabishano na ukibisha labda tu uamue ila ki uhalisia Kwa soka la Bongo linavyoendeshwa Kwa Hisia Kali za Mashabiki Tena kuangalia upande mwingine wanawasema vipi.
Tegemeeni Fadlu kufurushwa endapo atapata matokeo Mabovu vs Yanga na akatolewa na Al...
Jioni ya leo pale Mjini Doha nchini Qatar kutafanyika droo ya robo fainali kwa mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika.
Kwa upande wa michuano ya Kombe la Shirikisho la CAF (CAF Confederation Cup) msimu wa 2024/2025 timu zilizofuzu kwa droo hii ni:
Simba SC...
Kikosi kazi cha Utopolo bado kinaendelea kuhakikisha kuwa umoja unapungua ama kufa kabisa ili tuanze kucharurana na hatimaye mwezi Machi washushe maangamizi mengine kwetu, sasa hivi kikosi chao kinasubiri kujua nani amepangiwa kucheza na simba hatua ya robo ili wamalize shughuli kwa kushirikiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.