Wakuu nachofanya mimi ni uchambuzi wangu huru ,TUTAFAKARI!
Ni wazi mabadiliko ya mkuu wa nchi ni hatari na neema kwa makundi mbalimbali maslahi kimaslahi ,Mfano leo wapinzani kwa mara ya kwanza wanapata wasaa wa kutoa dudku duku zao mbazo wasingepata fursa hiyo kwa muongo mzima wa JPM hapo...