kodi kwa wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. complex31

    Hakuna umuhimu wa kulipa kodi kwa wafanya biashara

    Habari, Naandika haya kutokana na mwenendo mbaya wa serikali ya Tanzania kukataa ama kugomea kusikiliza nini haswa walipa kodi wake nini hasa wanataka Kama walipa kodi ndio waendesha nchi walipa mishahara ya wabunge, mawaziri, samia pamoja na polisi ni kwanini serikali hii ikatae kusikiliza...
  2. Consultant_Silwano

    CHANGAMOTO ZA KIUHASIBU NA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYA BIASHARA KWA MTINDO WA KUAGIZISHA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

    Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
  3. Consultant_Silwano

    Changamoto za kiuhasibu na kodi kwa wafanyabiashara wanaofanya biashara kwa mtindo wa kuagizisha bidhaa kutoka nje ya nchi

    Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
  4. TRA Tanzania

    Bado siku 2 kumaliza mwezi Novemba, lipa kodi kwa maendeleo ya Taifa

    Bado siku 2 tu kumaliza mwezi Novemba. Wahi ulipe kodi yako kwa maendeleo ya Taifa.
  5. Mwande na Mndewa

    Kenya Wafanyabiashara Milioni 15 walipakodi milioni 8, Tanzania Wafanyabiashara Milioni 27 walipakodi milioni 4. Shida ni nini!?

    Tujenge mfumo rafiki na unaotabirika wa kodi,Utahamasisha ulipaji kodi kwa hiari kwa kuwa utachochea ukuaji mitaji,tuumize akili Tanzania inufaike na nafasi yake ya kijiografia kujenga uchumi unaozalisha,aidha tujiulize wanaostahili kulipa kodi ni watu milioni 27 lakini wanaolipa kodi sasa ni...
Back
Top Bottom