kodi kandamizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii Mwenyekiti wa Wapangaji Tanzania, hivi Mwenye nyumba wako anakubali kodi ya mwezi mmoja?

    Wakuu, Msikilizeni Abdallah Msagama mwenyekiti wa wapangaji Tanzania akizungumzia kuhusu wapangaji kulipishwa kodi ya miezi 6. "Sheria ya Kodi ya Nyumba ni mwezi mmoja mmoja, sio miezi sita kama ulivyo utaratibu wa baadhi ya wamiliki wa nyumba, na changamoto hii imechagizwa na madalali ambao...
  2. covid 19

    JamiiForums Tanzania Hili swala la kukusanya kodi mbona kama tunajichanganya wenyewe kama nchi

    Hivi, najiuliza, inawezekanaje serikali yenye watumishi wengi na wenye taaluma za hali ya juu bado inashindwa kutatua tatizo la kwa nini Watanzania wengi hawalipi kodi? Hadi inafikia hatua rais kuunda tume maalum ya rais kwa ajili ya kutoa ushauri juu ya masuala ya kodi. Mimi si mtaalamu sana...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hamad Chande: Serikali itapunguza wingi wa kodi na tozo

    Serikali imesema kuwa mwaka 2017 kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa biashara, ilitoa mwongozo wa pamoja wenye dhima ya kuunganisha tozo na kodi mbalimbali kwa nia ya kupunguza wingi wa tozo na kodi ili kuimarisha mazingira ya uwekezaji na ufanyaji biashara nchini. Hayo yameelezwa bungeni...
  4. Sajo

    JamiiForums Tanzania TRA na TANESCO, Kuzifungua mita za umeme kisa kodi ya majengo ni wizi na uonevu

    Jana usiku umeme uliisha kwenye mita yangu. Nikanunua wa shilingi elfu 9 kwa tigopesa, nashangaa muamala unasitishwa kila naponunua. (Ninatumia tarrif ya chini ile) umeme wa elfu 9 unanitosha kwa mwezi mzima. Ikabidi nipige simu tigo, wakaniambia kuwa mita inadaiwa shilingi laki 1 deni ya kodi...
Back
Top Bottom