kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kocha Miguel Gamondi atangaza kikosi cha Stars, amrejesha Kelvin John kikosini

    Kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars Miguel Gamondi ametangaza kikosi kitakachoingia kambini Oktoba 10 kwaajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya fifa dhidi ya Kuwait. Mchezo huo kati ya Tanzania na Kuwait utachezwa Oktoba 14 katika mji wa Cairo nchini Misri.
  2. JamiiForums Tanzania Gamondi Ateuliwa Kocha Mkuu Taifa Stars, Hemed Moroko Atimuliwa

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana huyu ndiyo atatambulishwa kuwa kocha wa Yanga

    I salute you kinsmen Wakuu Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon,De Agosto na timu ya taifa ya Angola,Pedro Valdemar Soares Gonçalves (49). Pira Ureno linakuja Jangwani,now kwamba Pedro Valdemar Soares Gonçalves ni kocha mpya wa Yanga✅ Ikumbukwe kocha huyo...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga ya pira "pira gusa moja moja tuondoke" ya kocha Romuard Rakotondrabe inakuja Simba wajipange

    I salute you kinsmen. Hatimaye sasa tumejua Romain Folz ametimuliwa na muda wowote kwanzia sasa tangazo litatolewa.. Ila kwa hapa viongozi wamecheza kama Pele Romuard Rakontondrabe ni kocha mwenye tactics kali sana Kizuri zaidi soka lake ni kama la yanga, ana identity kama ya yanga...
  5. JamiiForums Tanzania Saed Ramovic siyo kocha mzuri kwenye kujilinda, Yanga msifanye kosa kumchukua tena

    Viongozi wa Yanga tafadhari sana, tena sana msifanye kosa la kumrudisha Saed Ramovic. Kumbukeni jinsi Yanga yake ilivyo kuwa shambolic in defense ikifanyiwa counter attacking. Ilikuwa wapinzani wakifanikiwa kupora mpira na kupiga long balls zinazofika kwa usahihi basi lazima wakamsalimie Diarra...
  6. JamiiForums Tanzania Coastal Union Yasitisha Mkataba na Kocha Mkuu Ali Mohammed Ameir

    Uongozi wa Klabu ya Mpira wa Miguu - Coastal Union umefikia makubaliano ya pande zote ya kusitisha kandarasi na Kocha Mkuu Ali Mohammed Ameir. Klabu inamshukuru Mwalimu Ali Mohammed Ameir kwa mchango wake uliotukuka kwa kipindi chote alichoiongoza timu yetu. Uongozi wa Coastal Union...
  7. JamiiForums Tanzania Walimpa kocha nafasi ya kusajili na bado kawakimbia, simba bado wana akili za kitoto.

    I salute you kinsmen. Yaani Tanzania hii kuna team kutwa kutuaibisha tu, Wao mambo meusi yamejaa tele klabuni kwao nje ndani. Wao walijifanya eti wamempa ruhusa kocha alete wachezaji anaowataka. Hawajui kwa Africa hilo ni jambo impossible kabisa ila wakajifanya wapo Hispania la liga kumbe...
  8. JamiiForums Tanzania Rasmi kocha Fadlu Davis awaaga wanasimba

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram aliyekuwa kocha wa Simba Sc Fadlu Davis amewaaga wanasimba Kwa kuandika... "Ni kwa moyo mzito naiaga Simba SC. Tangu nilipowasili, nilihisi shauku ya klabu hii kubwa na upendo wa mashabiki wake wa ajabu. Pamoja tulipigana, tukasherehekea, na tukaimarika...
  9. JamiiForums Tanzania Wananchi mnachukuliaje kocha kuwaamnini Andambwile na Edmund John

    Najua Yanga wengi walikuwa na kikosi chao kichwani. Mara kocha mpya kaja na selection yake ambayo haikutegemewa. Edmund John Aziz Andambwile Leo wamecheza vizuri wote lakini bado hatujawaona mechi kubwa zenye presha. Vipi wananchi mmewaonaje awa mastaa wapya? Ni wa kuwategema kuvusha team?
  10. JamiiForums Tanzania Kocha Morocco unafeli wapi?

    Kocha Morocco binafsi nakukubali sana, mimi ni katika wale wachache walioamini utaipeleka timu Morocco na nikaposti uzi humu Jf, nimeona wachezaji wanakuelewa sana, tatizo lako kubwa kocha la Afcon ni kuogopa kufungwa kulikopitiliza, timu yetu ya taifa imeimarika, ina uwezo kwanini kila mechi...
  11. JamiiForums Tanzania Kocha Ten Hag afukuzwa na Bayer Leverkusen baada ya mechi mbili

    Kocha wa zamani wa Manchester United, Erik ten Hag, amehitimisha muda wake katika klabu ya Bayer Leverkusen baada ya mechi mbili tu za Bundesliga, ambapo klabu ya mabingwa wa zamani wa Ujerumani imeripotiwa kumalizana na kocha huyo Mholanzi baada ya kushindwa kwa kushangaza dhidi ya Werder...
  12. JamiiForums Tanzania Vp wana manyuuu wenzangu, bado mna imani na kocha amorim?

  13. JamiiForums Tanzania TFF tumieni muda huu huu wa kutolewa kwetu CHAN 2004/2005 kumfuta Kazi pia Kocha Hemed Suleiman Morocco kwani hakuna Kocha hapo

    Tuachaneni na huu Ushamba kuwa hata Makocha wazalendo wana Ubavu wa Kufundisha Timu zetu za Taifa. Afukuzwe.
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Mechi ya Leo na Umuhimu wake kama ningekuwa Kocha Watanzania mngenisamehe kwani Kikosi changu kingejaa wa Yanga, Simba na Azam tu

    Tusidanganyane na tusiwe Wanafiki wachezaji wenye Kucheza hizi Mechi za AFCON kiushindani ni wa Yanga, Simba na Azam tu pekee na kwa hao wengine tunabahatisha tu. Mpira wa sasa unahitaji Exposure hivi Wachezaji wa KMC FC sijui Mashujaa sijui Coastal Union SC na timu nyinginezo wana hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Kocha Moroko na kingereza😂🤣

    Oya kama unakubali kingereza Cha kocha Moroko weka msemo wake mmoja hapo chini
  16. JamiiForums Tanzania Kocha Florent Ibenge umefanya kosa kubwa sana na la Kiufundi kuja Kufundisha Soka Tanzania ambayo Ligi Kuu yake ina Makandokando mengi yasiyoelezeka

    Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Yanga watafute kocha mwingine Folz sio kocha

    I will be short Folz sio Kocha wa quality team Kama yanga . Kama vipi apewe mizogo yake mapema Asepe huyu sio Kocha wa quality team Kama Yanga . After few minutes huyu sio Kocha Folz out
  18. JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars Hemed Morocco iwe mwanzo na mwisho Kujaribisha Wachezaji kama PIPINO JR katika Mechi muhimu na za Maamuzi

    Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na huu Uzee wangu wote nikipasha kisawasawa kwa Wiki Mbili tu ukinipambanisha na huyu Mchezaji PIPINO JR aliyeniboa sana Juzi namchukulia namba na bado nazima viuri sana Dimba la Juu. Mpaka mnaona tunachambua Mpira na hadu kuwa Washindi wa Jukwaa la Michezo hapa...
  19. JamiiForums Tanzania TFF fanyeni jambo tumpate huyu kocha wa kenya

    Hii timu(kenya) haina wachezaji tishio sana lakini ukiangalia kuna kitu wanakionyesha , jamaa wapo kundi la kifo lakini wanaonesha upinzanI mkali sana. Huyu atatufaa sana kuelekea Afcon 2026
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kocha wa mchezo wa sarakasi wa Kenya afurahia uhusiano wa zaidi ya miaka 40 na China

    Wakati zaidi ya vijana 1,000 wakiwa wamepitia kwenye mafunzo yake, mwanasarakasi Mkenya Mathias Kavita alipokumbuka uhusiano wake wa miaka 41 na China uliostawi kwa muda mrefu na kuvuka mipaka ya kijiografia, uso wake ulikuwa wenye tabasamu la kujivunia. Muda mfupi tu kabla ya siku yake ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…