kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Hivi zimbwe alimkosea nini kocha Da Rosa

    Order ya u captain simba ilikuwa ni Boko,zimbwe,nyoni,kapombe,manula Ila kwa sasa ni Boko, kapombe, Nyoni, manula...... Kijana wetu Zimbwe alikosea wapi, kama nidhamu anayo lugha anajua au labda ule ukimya wake uwanjani ni shida? leo Dodoma kepteni ni manula na zimbwe yuko ndani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa ameanza Kuugua Uwendawazimu tafadhali akimbizwe upesi Mirembe au Lutindi kwa Matibabu ya haraka

    Hivi inakuingia Akilini kweli unamuacha Beki halisi namba Tatu Bench Mohammed Hussein Tshabalala na unamuanzisha Mtu mwenye uwezo wa Kucheza Beki namba Mbili Israel Patrick Mwenda? Hivi inakuingia Akilini kweli ndani ya Mechi Tatu unaona kabisa Kiwango cha Beki Shomary Kapombe kinashuka halafu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Kitendo cha Kocha wa Kagera Sugar FC Baraza Kupiga Picha leo na Makocha wa Yanga SC Nabi na Kaze, kuna haja ya Kusubiria Matokeo?

    Naomba Mdau yoyote yule mwenye Picha za Makocha wa Timu za Ligi za Ulaya au hata tu za Misri na Afrika Kusini ambao wakiwa wanacheza Kesho yake basi hukutana kwa kupiga stori Mbili Tatu na kama pia Kimchezo huwa inaruhusiwa. Asante sana Kocha Mkuu wa Kagera Sugar FC Baraza kwa Kutuandaa mapema...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Upuuzi wenu akina Mo Dewji, CEO Barbara, Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu ndiyo unatufanya wana Simba SC tuteseke, Kesho mtanitambua hapa JF

    Nitakuwa Mpumbavu na siyo Mwanamichezo kama nisipowapongeza Watani zangu Yanga SC kwa Ushindi wao wa Kipigo dhidi yetu Simba SC wa Goli 1 la Nguruwe linalouma sana. Vile vile nadhani Mightier nitakuwa ni Mwendawazimu kabisa kama nisipowapongeza Wachezaji wa Yanga SC kuanzia Yanick Litombo...
  5. JamiiForums Tanzania Kama Patrick Phiri alivyorudi Simba Mara Mbili, Je Cedric Kaze hastahili kurudi?

    Kuhusu Ujio wa Cedrick Kazelona. Kuna maoni na mtazamo wa kiduwanzi sana baada ya kuona Prof Nabi anapata Msaidizi mwenye viwango vya juu kabisa vya CAF. Ni watu ambao juzi juzi tu kocha wao mkuu alipokea barua kutoka CAF kuwa anatakiwa kurudi MEMKWA akatafute cheti. Cha kushangaza zaidi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Aliyemleta kocha mpemba simba queens ni muhujumu uchumi

    What a waste liooooongoooo kama yule mpemba aliywfukuzwa mtibwA
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanayanga epukeni propaganda zilizoanzishwa na wajinga wachache kuhusu kocha Nabi

    Kumezuka kamjadala uchwala toka kwa waandishi uchwala kueneza habari za kipuuzi kuwa kocha nabi kapewa mechi 2, wapuuzi hawa wanajitahidi kupandikiza hiyo propaganda ili kumuondelea utulivu na kulivuruga benchi la ufundi, hakuna kikao chochote kilichojadili kitu Kama icho nikiwa mmoja wa wat u...
  8. JamiiForums Tanzania CAF naomba ichunguze upya vyeti vya kocha wetu huyu

    Kwa kweli nimeumia sana niwe mkweli, hawa Rivers nao ni wa kutufunga kweli? Sawa tulifungwa lakini makosa haya yamechangia 1: kocha alijua wazi na kuona namna mukoko na zawadi hasa hasa zawadi walivyopwaya, na bado hakuchukua hatua yoyote, matokeo yake tukawa tunakimbizwa tu kati na kina ukwe...
  9. JamiiForums Tanzania Simba: Kocha Gomez anasoma online course, tuna imani hadi mchezo wetu unachezwa atakuwa ameshamaliza masomo

    Baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kumtaja kocha mkuu wa Simba, Didier Gomes kukosa sifa za kukaa benchi la ufundi la Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa kutokana na kukosa sifa, uongozi wa timu hiyo umeibuka na kutolea ufafanuzi. Gomes ana (UEFA A Diploma) na kwa mujibu wa kanuni za...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huku Haji Manara ukiendelea Kubwabwaja Wasafi FM kuhusu Sakata la Kocha Gomez, hatimaye mwana Yanga Maulid Kitenge amemgeuka

    Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala ya Yanga SC yake. Wakati akiendelea Kubwabwaja kutokana na Uwendawazimu unaomsumbua huku akiwa hana...
  11. JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba, Didier Gomes inawezekana kutokuwa sehemu ya benchi la Ufundi katika mechi za CAF

    Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika timu zao kwa kukosa vigezo vya leseni ya CAF A na UEFA PRO. Didier ambaye ana diploma ya UEFA A, hajakidhi vigezo vilivyowekwa kwa kocha Mkuu kuwa na leseni ya CAF A ama...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Samatta huwa anafanya makusudi au ishu ni kocha?

    Yule samata wa jana hata angekutana na Italy angewasumbua sana ,jamaa alikuwa moto sana najiuliza ni kwa sababu mzungu alimuweka kushoto? nashangaaaa sana labda alikuwa anatufanyia makusudi akiwa aston villa, Genk na uturuki karudi Royal antwerp anatuonyesha kwamba uwezo nao, siku zote...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kocha Nasreddine Nabi alalamikia uongozi muda wa pre-season

    Kwa mujibu wa gazeti CHAWA la HOME SHOPPING CENTRE ni kwamba kocha mwarabu toka Tunisia haridhiki na maandalizi, yaani wazungu wanasema WRITING ON THE WALL. Mwarabu alianza kusema UTOPOLO FC itachukua siku 90 kuunganika, akataka kabla ya kukutana na washindi wa pili wa ligi ya nigeria THE...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumfelisha kocha Nabi kuhusu kambi leo hitaji lake jingine linafeli usiku huu

    Mwarabu wa Tunisia anachonifurahisha kuna maagizo anayatoa wenye masikio na wasikie wenye macho na waone, sisi yetu macho na masikio Mwarabu ameagiza kipa wa Mali yule anayedaka mabomu, gololi na mishale pamoja na Aucho wapewe ndege faster waingie usiku huu baada ya mechi kati ya Uganda na mali...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Senzo vipi tena? Plan za kocha Nabi hazitawezekana

    Kocha nabi anataka wachezaji wake wafanye mazoezi kwa siku mbili katika uwanja wa Mkapa. Sasa CEO genius anafeli wapi jamani maana tarehe 7 ni Taifa stars vs Maurtania ina maana tarehe 6 kisheria lazima Maurtania wafanye mazoezi. Tarehe 7 mechi yenyewe, tarehe kumi biashara vs wa djibout ina...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga kufungwa na Zanaco kumerahisisha kazi ya kocha Nabi

    Yanga kufungwa na Zanaco wachezaji kumeondoa mapema kiburi cha wachezaji na kujiona mafundi. Sasa hivi kocha ana kazi rahisi kwenye mazoezi maana wachezaji wote walishushuliwa mbele ya halaiki ya wanayanga. Nadhani wachezaji watakuwa makini kumsikiliza mwalimu ili kuepuka aibu kama Ile...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi alia na muunganiko kasema anahitaji miezi 3

    Haa walahi kudadeeeekiiii hapa hata takataka za redioni zilizokouwa blinded na bahasha za khaki za wakwepa kodi hawataweza kulizungumzia kabisa. Kocha mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi ametua nchini jana na kutamka kwamba bado hajapata muunganiko katika timu yake licha ya kuwa nchini Morocco...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Yanga yamkwamisha kocha

    Hawa jamaa bana dah walikuwa wanaringia magorofa eti wako mjini siyo vijijini, jamani ushamba mzigo sana HALI YA HEWA YAGEUKA KIKWAZO KWENYE MAZOEZI YA YANGA Kwa mujibu wa kauli ya Afisa habari wa Yanga, Hasan Bumbuli amedai kocha atalazimika kubadili utaratibu wa mazoezi kutokana na joto kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mikel Arteta kuwa kocha wa kwanza kufutwa kazi EPL msimu huu

    Huyu hajawahi kuwa kocha , bali aliwahi kuwa msimamizi wa mazoezi wa Man City . leo hii Vibonde waliopanda ligi kuu Brentford 2 -0 Arsenal , ufunguzi wa EPL
  20. JamiiForums Tanzania Mo Dewji akutana na kuteta na kocha Gomes

    SIMBA leo wana jambo lao kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam wakati watakapotangaza ubingwa wao wa 22 katika Ligi Kuu Bara, lakini inaelezwa kipigo cha bao 1-0 ilichopewa na Yanga bado kimewavuruga mabosi wa klabu hiyo. Simba leo itavaana na Coastal Union ikihitaji pointi moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…