kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri kwa maslahi mapana ya Simba kocha Didier Gomes arejeshwe Msimbazi haraka

    Wadau Nawasalimu Nimeona nitoe ushauri kwa kuzingatia maslahi mapana ya Klabu yangu ya Simba Didier Gomes arejeshwe kundini haraka Tunamuhitaji sana kuliko wakati wowote ule Hakukuwa na sababu ya kuachana naye
  2. P

    JamiiForums Tanzania Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

    Leo tarehe 23/04/2022 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, vinara wa ligi Dar Young Africans almaarufu kama Yanga watashuka dimbani kuikaribisha timu ya Namungo FC kwenye mechi la NBC Premier League Nitakuwa nawe kukuletea yatakayojiri kwenye uwanja huo, mpira utaanza saa moja kamili usiku kwa saa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama Kocha Mzawa mwenye Akili Tanzania nzima Mecky Mexime Kaichambua Simba SC vizuri hivi Wewe ni Kibushuti gani umpinge?

    "Nilishatabiri mapema tu kuwa Simba SC inacheza Fainali ya Shirikisho. Na hata hiyo Jumapili nakuhakikishia Simba SC anaenda Kumfunga Orlando Pirates FC na kwenda Nusu Fainali ya Shirikisho. Simba SC ina Wachezaji wakubwa, wazuri, wanaofika na wanaweza Kukimbizana. "Nimewaona Orlando Pirates FC...
  4. JamiiForums Tanzania Simba Sc yatoa tamko shombo la kocha wa Orlando

  5. M

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Oscar Oscar wa EFM: Malalamiko ya Kipuuzi ya Kocha wa Orlando Pirates FC hayayahusu Simba SC hata kidogo na popote pale

    "Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu kupata Usumbufu Uwanja wa Ndege hayo ni ya UHAMIAJI na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kucheleweshwa Barabarani hayo ni Masuala ya Jeshi la Police na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu Hoteli...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Matola, Boss wako Pablo na Benchi lenu zima la Ufundi ni kwamba Orlando Pirates FC yenyewe ni ile ya kuanzia dakika ya 70 hadi ya 93 ya Mchezo

    Baada ya kuona hawana cha Kupoteza na Wameshafungwa Orlando Pirates FC waliamua kucheza Mpira wao halisi ( halisia ) ambao waliuanza katika dakika ya 70 hadi ya 93 nikimaamisha ile ya 90 na zile 3 za Nyongeza. Hivyo kwa Mapenzi mema na Klabu ya Simba nawaomba Wahusika Wote katika Benchi la...
  7. JamiiForums Tanzania Kocha wa Orlando Pirates aapa kulipiza kisasi kwa hujuma alizofanyiwa na Simba

    Hawaja tu-treat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Kiufupi hawakustahili kushinda lakini Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo watajisikiaje? Kocha wa Orlando Pirates, Mandla Cinkazi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kabla ya Saa 7 Kamili Mchana leo mniambie mnataka Kocha Pablo aanze na Kikosi kipi Kati ya hivi Viwili viifuatavyo?

    Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Henock Inonga 6. Jonas Mkude 7. Pape Ousmane Sakho 8. Rally Bwalya 9. Kibu Denis 10. Meddie Kagere 11. Bernard Morrison Kikosi B 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Pascal Wawa 5. Henock...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mechi ya Yanga SC na Namungo FC imelazimishwa ili Kocha Nabi atumikie Red Card yake na Mechi ya Derby awepo Benchini?

    TFF tambueni kuwa wakati nyie mkijifanya kuwa mna Akili tambueni kuwa kuna Watanzania wenye Akili kuwazidi halafu ni Wajanja kuliko nyie. Kwahiyo Matajiri wa Yanga SC wamewashawishi kwa kila namna huku wakiwapa chochote kitu ili muwapangie Mechi kabla ya kukutana na Simba SC ili Kocha wao Mkuu...
  10. JamiiForums Tanzania Mtego Muhimu kwa Kocha wa Simba SC Pablo ambaye pia anatakiwa sana na Orlando Pirates FC wasio na Kocha Mkuu kwa sasa

    Akiivusha Simba SC kwenda Nusu Fainali ya CAFCC dhidi ya Orlando Pirates FC atakuwa ameponya Kufukuzwa (kuwa Sacked) Msimbazi, ila tayari Matajiri wa Orlando Pirates FC nao wameshampa Ofa (tena Kubwa tu) kama akikubali kutua Kwao muda wowote kuanzia sasa. GENTAMYCINE ningekuwa ndiyo Kocha Pablo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Asante kocha pablo kukataa offer ya orlando pirates

    Amini usiamini Pirates wamefanya vizuri kwenye kundi lao lakini mashabiki wao hawana imani na wachezaji wengi team na haswa kocha wao sasa kumbe CEO wa pirates alikuwa busy kumpa offer nono Bwana Pablo ambaye kakataa akiamini analo jukumu la kukamilisha simba Siku nasikia kocha huyu wa zamani...
  12. JamiiForums Tanzania Kocha Pablo apewe Simba kwa muda mrefu

    Hii ni kwa viongozi wa SIMBA. Nimeangalia style ya simba nimegundua kuwa PABLO ni kocha mzuri. Aliikuta wachezaji wakicheza individual na sio team work. Taratibu naona simba wanavyocheza pasi na soka la haraka. Simba hapo ilipo inahitaji tu aina fulani wa wachezaji then aweze kuwaunganisha...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashangaa Tanzania kuwa na wachambuzi wengi wa mpira huku haina kocha hata mmoja anayefundisha nje

    Waziri Mkuu akiongea katika kikao cha maafisa Utamaduni na maafisa michezo Jijini Dodoma, alishangaa kwa nini Tanzania haina kocha hata mmoja anayefundisha nje ya nchi, hata Burundi au Rwanda lakini yenyewe ikiwa inachukua makocha wa kigeni kutoka nchi hizo. Kinachoshangaza zaidi ni Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Ningekuwa ndiyo Kocha Pablo kwa Mechi Muhimu ya Leo wala nisingepoteza muda badala yake 'ningejilipua' tu 'mazima' na Kikosi changu hiki...

    Kikosi cha Kuanza (cha Maangamizi) 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Henock Inonga 5. Joash Onyango 6. Jonas GENTAMYCINE Mkude 7. Pape Ousmane Sakho 8. Rally Bwalya 9. Kibu Denis 10. Meddie Kagere 11. Peter Banda Wa Akiba wawe hawa 1. Beno Kakolanya 2. Israeli...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa 'Visa' ambavyo Kocha Nabi anawafanyia Yanga SC sasa niseme tu Kocha Pablo 'out' na Yeye 'Msimbazi' kunamkaribisha

    Kila kukitokea tu 'Break' ya FIFA Calendar Kocha Nabi atataka Kuondoka kwenda Kwao au Ubelgiji na huwa hahitaji Yanga SC imlipie Tiketi ball kuna Mtu Mmoja upande wa Pili ndiyo humgharamia. Mara kwa mara Kocha Nabi amekuwa akiombwa Kujikita zaidi na Yanga SC Kimafunzo ila Yeye kila ambapo Klabu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Simba tusipobadilika ni ngumu sana kuvuka kwenda Robo Fainali na huyu kocha aambiwe

    SIMBA WASIPOBADILIKA ni ngumu sana kuvuka kwenda Robo Fainali. Lakini Pia hata wakivuka wanakazi ya kufanya inaonekana mechi za away hawawezi kuzuia hili ni janga kwao. Mimi niwashauri wanapocheza away au na timu yenye vijana wengi wamchezeshe LWANGA + KANOUTE PAMOJA UPANDE wa Tshabalala akae...
  17. JamiiForums Tanzania Rasmi: Kocha Pitso Mosimane asaini mkataba mpya wa miaka miwili Al Ahly

    Kocha Mkuu wa Klabu ya Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane (57) raia wa Afrika Kusini ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi msimu wa mwaka 2023/24. Mosimane alitangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Oktoba mwaka 2020 akitokea ya Mamelodi Sundowns ya...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya Chelsea kuwekwa sokoni, kocha apata hofu wachezaji kuikimbia klabu

    Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amekiri kuwa ana hofu kuwa kuna uwezekano wa wachezaji ambao wanaelekea kumaliza mkataba klabuni hapo wanaweza kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Hatua hiyo inakuja baada ya mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kutangaza mpango wake wa kutaka kuiuza klabu hiyo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Masoud Djuma, Kocha Mpya Dodoma jiji

  20. JamiiForums Tanzania RT wataja Wanariadha 15 Jumuiya ya Madola, Suleiman Nyambui Kocha Mkuu

    Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Limewatangaza Wanariadha 15 wa mbio Ndefu watakaoingia Kambini (West Kilimanjaro) Kwa kujiandaa na Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanayotarajiwa Kufanyika Birmingham, Uingereza mwezi Agosti 2022. Wanariadha waliotajwa ni Pamoja na Wana Olimpiki walioshiriki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…