kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Morocco atoa ushauri kwa Afrika

    Kocha wa timu ya taifa ya Morocco Walid Regragui mzaliwa wa Ufaransa ameitaka Afrika kuachana na dhana au fikra ya kufikiria kucheza mechi tatu tu kwenye mashindano ya kombe la dunia na kupigana dhidi ya hiyo fikra
  2. JamiiForums Tanzania Ningekuwa kocha wa Brazil ningechukua kombe la dunia mapema asubuhi

    Wachezaji ambao nisingewaita ni kama Neymar, Paqueta, Richarlison, Fred, Raphinha na Anthony. World cup sio kwa ajili ya mabishoo na wavivu. Ningembadilisha Martinelli ili acheze winga ya kulia, kushoto angekaa Vinicious halafu namba tisa angesimama Firmino huku namba kumi ningempa Gabriel...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Msiyempenda Kocha Msaidizi Matola bado yupo sana tu Simba SC hivyo mtanuna mno

    Kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola aliyekuwa visiwani Zanzibar kusoma kozi ya ukocha Leseni A ya CAF iliyokuwa ikifundishwa na wakufunzi kutoka nje ya nchi ametua jijini Dar akiwa amemaliza siku zake 10 za kwanza darasani na kusema anakisubiri kikosi cha timu hiyo kitoke mkoani Tanga baada...
  4. JamiiForums Tanzania Mwinyi Zahera ateuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania

    Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa mkataba wa miezi 6 mpaka mwisho wa msimu. Hivi sasa Mwinyi Zahera anatambuliswa kwa wachezaji wa Maafande hao wa Polisi Tanzania.
  5. JamiiForums Tanzania Wachambuzi, Watangazaji na Kocha Msaidizi wa Yanga SC Kaze hili la Yanga SC kuwa na Fatigue mlijua baada ya Kichapo cha Ihefu FC leo?

    Wanafiki na Wapuuzi wakubwa nyie. Yanga SC ingeifunga Ihefu FC leo mngekumbuka kusema kuwa Wachezaji walikuwa na Uchovu (Fatigue) kama mnavyosema sasa kila Mkichambua, Mkitangaza na Mkihojiwa na Waandishi wa Habari? Na kama Yanga SC mlijua Mbeya ni mbali kwanini hamkuwahi kwenda huko ili pia...
  6. JamiiForums Tanzania Kolo Toure raia wa Ivory Coast ateuliwa kuwa kocha Wigan Athletic

    Wigan Athletic wamemteua beki wa zamani wa Ivory Caost, Arsenal na Manchester City, Kolo Toure kuwa meneja wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 41 anachukua nafasi ya Leam Richardson baada ya kutimuliwa na klabu hiyo ya Championship mapema mwezi huu...
  7. JamiiForums Tanzania Kocha Mwambusi acha Uyanga utawatoaje akina Mwalyanzi na Tegere ambao ndiyo Wanaisumbua Yanga SC?

    Kocha Juma Mwambusi najua umewatoa Wachezaji muhimu wa Ihefu FC ili Kuidhoofisha Timu na Yanga SC yako ( Unayoishabikia ) warudishe Goli na wapate hata Ushindi. Mnafiki mkubwa sana tu Wewe JM!!!
  8. JamiiForums Tanzania Nikiwa nasema Simba SC kuna Tatizo, Mgunda siyo Kocha na Yanga SC Bingwa tena Msimu huu muwe mnanielewa sawa?

    Leo katika Uzi huu nawaomba wale Mashabiki Mbumbumbu ( Fools ) wa Simba SC ambao kila mara GENTAMYCINE nikianzisha hapa Threads za Kuyasema yanayoitafuna Simba SC yetu ( yangu ) huwa Wananishambulia waje tena na leo waniambie je, yale ambayo Malaika Mimi wa Kizanaki, Kitutsi na Kimakuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri: Wapenzi wa Yanga acheni kumpangia kocha timu!

    Mwaka huu ni mwaka wa Yanga nyumbani na kimataifa! kitu kimoja kinachonikera sana ni ile tabiatimu ya wapenzi wa yanga kutaka kocha afanye watakavyo. Kocha Nabi aliisha jifunza kupoteza mechi na al hilal kwa kufunguka mapena mchezoni na kuruhusu goli lililotutoa makundini mwa klabu bingwa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Lamine Ndiaye anaweza kutangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Simba

    Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, kocha wa Horoya anayemaliza mkataba wake, Lamine Ndiaye anaweza kutangazwa muda wowote kuwa kicha mkuu wa Simba. Ameshawahi kufundisha TP Mazembe, Cotton Sports, Leopards na hata Senegal National Team. Ngoja tuone kama watafikiana makubaliano na Simba.
  11. JamiiForums Tanzania Simba yatambulisha Kocha Mpya wa Viungo

    Klabu ya Simba imemtambulisha Kelvin Mandla kutoka Afrika Kusini kuwa kocha wa viungo (Fitness Coach) wa timu hiyo.
  12. JamiiForums Tanzania Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya

    Kocha wa makipa simba mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine. Sambamba na boss wa Cambiaso ================ Kocha huyo, Mwalami Sultan ni kati ya watuhumiwa 9 akiwemo Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif wanadaiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kocha Mgunda nae sio mfanyakazi wa Simba kwasababu wamemweka kwa muda?

    MUHIMUL Hauhusiani ni unga Je kocha akiwekwa kwa muda sio muajiriwa wa klabu?
  14. JamiiForums Tanzania Kocha wa zamani wa Brazil, Scolari amethibitisha kustaafu

    Luiz Felipe Scolari, ambaye aliiongoza Brazil kunyakua taji lake la mwisho la Kombe la Dunia 2002 na kuipeleka Ureno hadi fainali ya Ubingwa wa Uropa mnamo 2004, amethibitisha kustaafu ukufunzi wa Soka. Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 74 aliaga baada ya ushindi wa nyumbani wa Athletico wa 3-0...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kocha apanga kumuuza Maguire ili akusanye fedha za usajili

    Inadaiwa kocha huyo, Erik ten Hag wa Manchester United anataka kumuuza nahodha wake lakini kikwazo ni kiasi ambacho wanatakiwa kukipata kutoka sokoni Beki huyo aliyesajiliwa kwa Paundi Milioni 80 mwaka 2019 hana uhakika wa namba katika kikosi cha kwanza cha United na Ten Hag hafurahii kasi ya...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Yanga sc na wana Yanga wote kwa ushindi mnono huko Tunis. Yanga dumuni na Kocha Nabi atawafikisha mbali

    Igweeee igweeee!! Napenda kwanza kukiri kuwa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba Sc, timu ambayo ni mahasimu wakubwa wa klabu ya Yanga hapa nchini Tanzania. Bila ya kupoteza muda, napenda niwamwagie salamu za pongezi timu ya Yanga SC, viongozi na mashabiki wake kwa ujumla kwa kufanikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC msituzingue tafadhali tunamtaka Kocha mpya upesi Mgunda hamna Kitu na ni Samjo Samjo tupu

    Kocha gani Wewe muda Wote tu ni Kukenua Kenua Mimeno huku Timu yako ikiwa inabadilika mara kwa mara Kimfumo? Wenye Simba SC yetu na Mafia wa Soka la Bongo (Tanzania) tunajua ni Juhudi gani zilifanyika ili Kocha Mgunda alipotua Simba SC akawa anashinda mfululizo mpaka Mechi za Kimataifa. Hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Niliposema tena kwa Kujiamini 100% kuwa Kocha Nabi atafukuzwa Yanga SC nilikuwa ninamaanisha

    Nilisema kuwa akikoswakoswa katika Derby ya Kariakoo (Simba na Yanga) basi atanasa katika Matokeo ya Mechi ya awali ya Club Africaine kama akifungwa au akitoka Sare na asiponaswa hapo anaenda Kuchinjiwa mazima kwa Matokeo ambayo anaenda kuyapata Jijini Tunis nchini Tunisia katika Mechi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC ama itafungwa au hata kutoka Sare na Club Africaine Kesho, tayari Kocha Nabi ameshatoa Utetezi Leo

    "Nchi zingine zote Vilabu vyao vikiwa vinashiriki Michuano ya Kimataifa huwa hawachezi Ligi Kuu zao mpaka wazimalize ila kwa hapa Tanzania ni kinyume hivyo sijui Kesho itakuwaje kwani tuna Majeruhi wengi muhimu Kikosini" Nasredinne Nabi Kocha Mkuu wa Yanga SC. Chanzo: Spoti Leo ya Radio One...
  20. JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya Club Africain, Kocha Nabi aweweseka

    Hapa mashabiki wa Yanga wanaandaliwa kiakili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…