Gary Neville has urged Manchester United not to appoint Michael Carrick as their permanent manager at the end of this season, insisting that they should go for the candidate with the best C.V. instead.
Carrick took over as head coach when Ruben Amorim was sacked in January on a contract that...
Huu uzi utunzwe.
Sababu ni umri mdogo sana, sio rahisi aweze kuhimili pressure kubwa ya mpira wa Tanzania.
Na hana mafanikio yoyote kimpira.
Labda kama Uto wamemleta kwa majaribio.
Hatoboi popote.
Ibenge na Faldu watamnyoa mapema sana!
Utopolo watamfukuza.
Tottenham Hotspur imemtangaza kocha Thomas Frank kuwa meneja wake mkuu kuchukua mikoba ya Age Postecoglou aliyetimuliwa hivi karibuni baada ya kuiongoza timu hiyo kutwaa taji la Europa League.
Frank ambaye alikuwa anainoa Brentford, anajiunga na Spurs kwa mkataba wa miaka mitatu baada ya...
Klabu ya Real Madrid imemtanganza Xabi Alonso kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo aliechukua mikoba ya Carlo Anceloti aliyehudumu klabuni hapo kwa muda mrefu.
Xabi Alonso amesaini Mkataba wa miaka mitatu na ataanza kazi rasmi msimu ujao.
Zinarudi zote na zinaweza kuzidi,
Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo, Mindset za wachezaji wanajua kocha mpya anatimuliwa muda wowote.
Unahitaji akili za kawaida kabisa...
Habari wakuu
Nimewahi kuleta nyuzi kadhaa humu jukwqani za utabiri mfano "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa
Mwanzo wa msimu niliandika huu uzi kuhusu JKT Nimeuelewa ukuta wa JKT unatisha...
Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni, inaelezwa hakusafiri na kikosi cha timu hiyo kuelekea Algeria kwa mchezo wa pili wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger. Inadaiwa kuwa Lagrouni hajasafiri kutokana na kutokubaliana na baadhi ya mazoezi na programu za kocha mpya...
Naomba niwe mtu wa kwanza kutofautiana na wengi wanaomponda kocha RAMOVIC.
Ni kawaida kwa kocha yeyote mpya kupoteza mechi ya kwanza japokuwa sio makocha wote.
Uchebe mwanzoni mwa pre season alikuwa anafungwa mpaka na Dodoma jiji kwenye friend match, pia Al Hilal ilimkanda kwenye CECAFA, Kocha...
Ule utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaki kupelekea wachezaji waaandamizi Aziz Ki na Mwamnyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya, inasemekana Mwamnyeto anamtuhumu Aziz Ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.
Hizo habari...
YangaSc Vs Al Hilal
NJE YA PICHI....
Kesho Yanga watakuwa uwanjani dhidi ya Al Hilal miongoni mwa mchezo ambao nafikiri utakuwa mzuri na mgumu sana kulingana na ubora na uzoefu wa timu zote mbili.
Msimu huu Al Hilal wanashiriki ligi kuu Mauritania ambako mpaka sasa wanaongoza ligi wakiwa...
Sasa itakuwaje wakuu.
Sead Ramovic kocha mkuu Yanga SC aliwahi kuzungumza katika moja ya mkutano na waandishi wa Habari Afrika Kusini alisema;
"Kwenye timu yangu sitaki Pombe, sitaki wachezaji kufanya party na pia sitaki mtindo wa maisha wa kutokujali na kama utataka kufanya haya nitakutoa."...
Ramovic alitangaza kujiuzulu nafasi yake kama kocha mkuu wa TS Galaxy kwenye televisheni baada ya timu yake kutoa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa ligi Kuu msimu huu.
Alipohojiwa na iDisk Times alisema kuwa anahitaji sehemu inayoendana na malengo yake kama kocha.
"Ni lazima niende sehemu...
Watu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!
Mpira umebadilika siku hizi…
Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena.
Vincent Kompany beki kisiki wa Man City, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio...
Sead Ramovic ni raia wa Ujerumani aliyezaliwa huko Stuttgart tarehe 14 ya Mwezi Machi mwaka 1979. Hivyo ana umri wa miaka 45. Pia, Kocha huyu ana uraia wa Bosnia.
Kocha huyu ana Leseni ya UEFA Pro na ana wastani wa miaka 3.13 katika kazi ya Ukocha. Pia anapendelea kutumia formation ya 4-2-3-1...
Wana Man Utd, Xavi au Nagelsmann yupi anafaa kuwa kocha mpya wa Man Utd?
Kipara ngoto kashaondoka.
Yupi anayefaa?
Pia soma > Erik Ten Hag atimuliwa Manchester United baada ya kipigo dhidi ya West Ham United
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.