kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Ushauri Kocha wa Yanga hana sifa atafutwe kocha mwingine

    Amekosa mbinu za ushindi, Yanga haikabi wala haina kasi kama zamani Nashauri atafutwe Kocha mwingine haraka i ukweli hana uwezo kuivusha timu na ni Muda muafaka aachwe
  2. JanguKamaJangu

    Gary Neville aiambia Man United iajiri kocha mpya mwenye uzoefu kuliko Michael Carrick

    Gary Neville has urged Manchester United not to appoint Michael Carrick as their permanent manager at the end of this season, insisting that they should go for the candidate with the best C.V. instead. Carrick took over as head coach when Ruben Amorim was sacked in January on a contract that...
  3. I

    Kumbe kocha wetu ana kamdomo buana 🤣

    Chelsea’s manager, Liam Rosenior, says he should already be considered among the top five Premier League managers of all time.
  4. M

    Wakati nyie mnamcheka Kabudi kujitambulisha ameaoma St Augustine. Mimi nasoma Cv ya kocha wa Yanga

    Mpira wanaouche Yanga unatisha
  5. Uhuru24

    Wengi wanaomlaumu kocha wa SENEGAL ni kundi liloweka mikeka(BETTING )na kumpa mwarabu

    Nimetuliza kichwa na kufuatilia mijadala kila kona hasa hapa bongo,naona kuna kundi la asilimia fulani humlaumu kocha kwa kitendo cha kutaka/kutoa timu uwanjani. Ila kwa utafiti wangu kidogo nimegundua wengi waliweka mikeka na kumpa mwarabu,hivyo baada ya mazonge ya mchezo basi wao shutuma zao...
  6. Bawabu wa pili

    Senegal: Serikali yawatunuku vyeo vya juu Kocha na wachezaji wa timu ya Taifa

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Tuzo hiyo...
  7. DonDonald

    Manchester United yamfukuza kazi Kocha Amorim kwa kuwasema ‘mabosi’ vibaya

    Club ya Manchester United imetangaza kumfukuza kazi aliyekuwa kocha wao Amorim Hatua hiyo imekuja baada ya kikao kilichofanyika leo asubuhi kati ya uongozi na kocha huyo ====== Manchester United imefuta kocha mkuu Ruben Amorim, baada ya kupewa kibarua hicho Novemba 2024. Amorim aliiongoza...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    Vituko AFCON: Timu ya Cameroon yaita vikosi viwili tofauti, kimoja cha kocha aliyetimuliwa, kingine kaita Etoo kama Rais wa Shirikisho

    Afrika kivyetu vyetu. Huko Cameroon kuna vituko vinaendelea kwa timu yao ya taifa. Kocha wa timu hiyo Marc Bris, aliyefukuzwa kazi na Samuel Etoo amegoma kuachia ngazi baada ya kusikika akisema kuwa yeye ameajiriwa na Wizara ya Michezo ya Cameroon na sio Etoo. Akaenda mbali zaidi akatangaza...
  9. William Mshumbusi

    Kama viongozi hawamtaki Mo basi wamfukuze tu. Kutuletea kocha wa ovyo na kumpangia kikosi sio

    Kagoma, kibu, chamue na kante sio wakuwekwa benchi na akina maema, budo, kamara, na wengine. Kiukweli kama Dp world anataka timu mpeni tu. Huyu budo tunae mwaka sasa hana chochote basi tu. Mnatukosea sana washabiki.
  10. DuaZaMama

    Kocha Miguel Gamondi atangaza kikosi cha Stars, amrejesha Kelvin John kikosini

    Kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars Miguel Gamondi ametangaza kikosi kitakachoingia kambini Oktoba 10 kwaajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya fifa dhidi ya Kuwait. Mchezo huo kati ya Tanzania na Kuwait utachezwa Oktoba 14 katika mji wa Cairo nchini Misri.
  11. Inside10

    Gamondi Ateuliwa Kocha Mkuu Taifa Stars, Hemed Moroko Atimuliwa

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
  12. Its Pancho

    Tetesi: Inasemekana huyu ndiyo atatambulishwa kuwa kocha wa Yanga

    I salute you kinsmen Wakuu Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon,De Agosto na timu ya taifa ya Angola,Pedro Valdemar Soares Gonçalves (49). Pira Ureno linakuja Jangwani,now kwamba Pedro Valdemar Soares Gonçalves ni kocha mpya wa Yanga✅ Ikumbukwe kocha huyo...
  13. Its Pancho

    Yanga ya pira "pira gusa moja moja tuondoke" ya kocha Romuard Rakotondrabe inakuja Simba wajipange

    I salute you kinsmen. Hatimaye sasa tumejua Romain Folz ametimuliwa na muda wowote kwanzia sasa tangazo litatolewa.. Ila kwa hapa viongozi wamecheza kama Pele Romuard Rakontondrabe ni kocha mwenye tactics kali sana Kizuri zaidi soka lake ni kama la yanga, ana identity kama ya yanga...
  14. Titicomb

    Saed Ramovic siyo kocha mzuri kwenye kujilinda, Yanga msifanye kosa kumchukua tena

    Viongozi wa Yanga tafadhari sana, tena sana msifanye kosa la kumrudisha Saed Ramovic. Kumbukeni jinsi Yanga yake ilivyo kuwa shambolic in defense ikifanyiwa counter attacking. Ilikuwa wapinzani wakifanikiwa kupora mpira na kupiga long balls zinazofika kwa usahihi basi lazima wakamsalimie Diarra...
  15. DuaZaMama

    Coastal Union Yasitisha Mkataba na Kocha Mkuu Ali Mohammed Ameir

    Uongozi wa Klabu ya Mpira wa Miguu - Coastal Union umefikia makubaliano ya pande zote ya kusitisha kandarasi na Kocha Mkuu Ali Mohammed Ameir. Klabu inamshukuru Mwalimu Ali Mohammed Ameir kwa mchango wake uliotukuka kwa kipindi chote alichoiongoza timu yetu. Uongozi wa Coastal Union...
  16. Its Pancho

    Walimpa kocha nafasi ya kusajili na bado kawakimbia, simba bado wana akili za kitoto.

    I salute you kinsmen. Yaani Tanzania hii kuna team kutwa kutuaibisha tu, Wao mambo meusi yamejaa tele klabuni kwao nje ndani. Wao walijifanya eti wamempa ruhusa kocha alete wachezaji anaowataka. Hawajui kwa Africa hilo ni jambo impossible kabisa ila wakajifanya wapo Hispania la liga kumbe...
  17. DuaZaMama

    Rasmi kocha Fadlu Davis awaaga wanasimba

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram aliyekuwa kocha wa Simba Sc Fadlu Davis amewaaga wanasimba Kwa kuandika... "Ni kwa moyo mzito naiaga Simba SC. Tangu nilipowasili, nilihisi shauku ya klabu hii kubwa na upendo wa mashabiki wake wa ajabu. Pamoja tulipigana, tukasherehekea, na tukaimarika...
  18. sonofobia

    Wananchi mnachukuliaje kocha kuwaamnini Andambwile na Edmund John

    Najua Yanga wengi walikuwa na kikosi chao kichwani. Mara kocha mpya kaja na selection yake ambayo haikutegemewa. Edmund John Aziz Andambwile Leo wamecheza vizuri wote lakini bado hatujawaona mechi kubwa zenye presha. Vipi wananchi mmewaonaje awa mastaa wapya? Ni wa kuwategema kuvusha team?
  19. Moshi25

    Kocha Morocco unafeli wapi?

    Kocha Morocco binafsi nakukubali sana, mimi ni katika wale wachache walioamini utaipeleka timu Morocco na nikaposti uzi humu Jf, nimeona wachezaji wanakuelewa sana, tatizo lako kubwa kocha la Afcon ni kuogopa kufungwa kulikopitiliza, timu yetu ya taifa imeimarika, ina uwezo kwanini kila mechi...
  20. Chachu Ombara

    Kocha Ten Hag afukuzwa na Bayer Leverkusen baada ya mechi mbili

    Kocha wa zamani wa Manchester United, Erik ten Hag, amehitimisha muda wake katika klabu ya Bayer Leverkusen baada ya mechi mbili tu za Bundesliga, ambapo klabu ya mabingwa wa zamani wa Ujerumani imeripotiwa kumalizana na kocha huyo Mholanzi baada ya kushindwa kwa kushangaza dhidi ya Werder...
Back
Top Bottom