kmc complex

The City Sports Complex, previously KMC Sports Complex, is located at Kashmir Road, in Karachi, Sindh, Pakistan.
Various sports are played at the Complex, including skating, swimming and basketball. The Complex has also hosted boxing and tennis matches for various countries. In summer 2011, the CSC has undergone renovation of its tennis courts, which have also been repainted. However, the squash courts are in a state of neglect. A tennis coach is available in the morning and evening. In addition, CSC plays host to many tennis events organized by the STA (Sindh Tennis Association) every year.
Membership is available quite easily. Starting fees are Rs 8000, and then about Rs 1000 per month. However, the timings for playing tennis are limited: just 7am to 10am and 5pm to 8pm, leading to crowding, especially in the summer holidays.
There is a mosque in the premises where people from the vicinity come for prayers. Also there is a jogging track that is accessible to all. In order to generate additional revenue, the premises of CSC are frequently used for wedding ceremonies.

View More On Wikipedia.org
  1. Full Time: Yanga 5-0 JKT Tanzania | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025

    Yanga 5 VS JKT Tanzania 0 | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025 Mechi ipo live Salama zinatumwa Game over Yanga asimamisha Mnara wa 5G kwa JKT Tanzania Magoli ya Yanga yamefungwa na Mohamed Hussen, Depu, Dube, Mudathir na Shekhan
  2. FT: KMC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 11,2026 | Saa 1:00 Jioni

    Baada ya kuaga rasmi mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Simba SC sasa wanarejea kwenye majukumu ya Ligi Kuu ya NBC, wakitarajiwa kukipiga dhidi ya KMC, maarufu kama Watoza Ushuru wa Manispaa ya Kinondoni. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 1 usiku katika dimba la KMC...
  3. FT: NBC PL | Young African SC 3 - 1 Dodoma jiji FC | 27.01.2026 | KMC complex

    Mabingwa watetezi kunako ligi kuu Tanzania bars(NBC PL) watashuka dimbani leo saa moja usiku kupepetana na walima zabibu kutoka Dodoma. Je nani kuibuka na ushindi?
  4. W

    FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

    Simba 1 - 0 Singida Black Stars (⚽ MUKWALA 42' ) LIGI: NBC premier League βš½πŸ† Game: Simba SC v/s Singida Black Stars SC Tarehe: 28-05-2025 Uwanja: KMC Complex Muda: Saa kumi jioni ni mechi ya kiporo yenye mvuto wa kipekee, Simba SC wataingia dimbani kwenye uwanja wa KMC Complex kuchuana vikali...
  5. FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

    Litakufa Jitu Leo... #nguvumoja# VIKOSI VYA LEO 1. SIMBA 2. MASHUJAA FC Updates... Dk 04' Simba wanafanya shambulizi kali , inakuwa kona. Inapigwa haileti madhara. Valentino.. DK 05' Goooooooal Mashujaaa Wanaweka chuma cha Kwanza. Hapa 0-1 HT Simba 0-1 Mashujaa. 2nd Half Simba wamefanya...
  6. Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

    NBC Premier League leo Ijumaa Saa 10:00 jioni, Simba SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Dodoma Jiji. Hii ni mechi ya kiporo je ni Mnyama Simba ama Walima Zabibu nani kukitafuna kiporo hiki? Vikosi vya timu zote Mechi imeanza (KickOff) 09' Milango bado haijafunguka pande...
  7. Yanga SC 3-1 Coastal Union | CRDB Federation Cup | 12.03.2025 | KMC Complex | 10:00 Jioni

    Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP, YOUNG AFRICANS SC watakuwa dimbani leo majira ya saa 10kamili jioni,wakimenyana vikali na Coastal Union ya Tanga. Timu ipi kusonga hatua inayofuata katika mashindano haya? Ambatana nami mwanzo hadi mwisho kukuletea updates/yanayojiri moja...
  8. FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

    Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars. Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi? Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa Vikosi vinavyoanza...
  9. Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

    KMC FC Vs Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025 πŸ•– 10:15 Jioni Updates.. Dakika, 27 Bado Yanga wanaongoza goli 2 Dakika, 29 Yanga wanapata freekick Dakika, 31 wamepata freekick lakini wanakosa kutumia nafasi Dakika, 38 KMC wanapata freekick Dakika, 39 KMC...
  10. Tetesi: Wanaodhani kuwa ni Yanga wakamatwa na ushirikina huko KMC Complex

    Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC. Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
  11. Full Time: Simba SC 3-0 Tanzania Prisons | NBC Premier League | KMC Complex | 11 Februari, 2025

    Simba SC VS Tanzania Prisons | NBC Premier League | KMC Complex | 11 Februari, 2025 Saa 10:00 Jioni VIKOSI VYA TIMU ZOTE Mechi imeanza 1' Simba SC 0-0 Tanzania Prisons 2' Simba wanapata Kona na inapigwa na Mpanzu 3' Simba wanapiga Kona ya pili 4' Sabiyanka anaoneshwa kadi ya Njano 7' Simba...
  12. FT: KMC 2-0 Singida BS; KMC Complex, Ligi Kuu ya NBC

    FT KMC 2-0 Singida BS Ikumbukwe pia jana Azam alipigika kwa Pamba Jiji
  13. FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025

    Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
  14. Songoro: Hatujapokea barua ya Simba SC kutaka kuondoka KMC Complex

    Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge amezungumza na kituo cha Redio, E Fm kufuatia taarifa za Simba kutaka kuhama katika Uwanja wa KMC Complex. Soma, Pia: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex
  15. Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

    πŸ”° πŒπ€π“π‚π‡ DayπŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šFountain Gate πŸ“† 29.12.2024 🏟 KMC Complex πŸ•– 10:00 Jioni #Daimambelenyumamwiko# Gusa achia, twende kwao, tukawafunge nyingi. KIKOSI CHETU CHA LEO Updates Mechi imeanza DK 1 Mpira unaanza kwa kasi. Yanga wanaumiliki mpira, 0-0 DK 12 Game...
  16. FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

    Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande? Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD Usikose uhondo huo
  17. FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šMashujaa FC πŸ“† 19.12.2024 🏟 KMC Complex πŸ•– 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
  18. Mechi ya kiporo ya Simba dhidi ya JKT Tanzania kuchezwa Disemba 24, KMC Complex

    Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao awali ulihairishwa baada ya mpinzani wetu kupata ajali sasa umepangwa kuchezwa Disemba 24, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo huu awali haukuchezwa kutokana na JKT Tanzania kupata ajali ya gari na baadhi ya wachezaji wao...
  19. Uwanja wa KMC Complex kufungwa camera, taa na AC kabla ya Januari 2025

    Mwenyekiti wa Bodi KMC na Meya wa Kinondoni, Songoro Khamis Mnyonge, amesema uwanja wao wa KMC Complex, umekamilika kwa asilimia 95 na matamanio yao kwa sasa ni kuufunga Camera, Taa pamoja na AC kabla ya Januari, 2025. Hivi karibuni timu ya Yanga ilitangaza kuhamia uwanja wa KMC complex kutokea...
  20. Ali kamwe: Uwanja wa Chamazi viti vilikuwa vidogo kama vya watoto wa Primary

    Muwe na Siku njema
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…