klabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Klabu sita zaingia katika vita kubwa ya kutaka kumsajili Aguero

    Everton imejiunga na Chelsea, Leeds United, Tottenham, Barcelona na Inter Milan ambao wanataka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Sergio Aguero, ambaye atapatikana kwa uhamisho huru atakapoondoka Manchester City msimu wa joto. (Daily Star on Sunday). Mshambuliaji wa Misri Mohamed Salah...
  2. JamiiForums Tanzania Meya aagiza mabosi Moshi klabu kukamatwa

    Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza kukamatwa kwa wajumbe wa bodi ya wadhamini ya kiwanja cha gofu cha klabu ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro na kuwekwa ndani kwa madai ya kutolipa Sh26 milioni za kodi ya ardhi tangu mwaka 2013. Pia, ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwamba Naona Sasa Ameamua Kuwa Mpenzi wa Klabu ya Chelsea

    Sura maarufu sana na iliyozoeleka Nimeikuta hiyo picha sehemu nikaona itapendeza nikiwaletea na nyie muione japo sina uhakika na usahihi wa sura na hiyo jezi Naambiwa huyu mwamba kumbe asili yake ni Mahuta Newala Mkoani Mtwara
  4. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Latige Camara aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Hafla FC ya nchini Ghana afariki akiwa mazoezini kutokana na uchovu

    Mchezaji wa Klabu ya Soka ya Hafla FC ya nchini Guinea Latige Camara amefariki dunia leo asubuhi baada ya kudondoka uwanjani akiwa mazoezini. Taarifa za awali kutokea nchini humo zinataja chanzo cha kifo chake kuwa ni uchovu unaotokana na jufanya mazoezi huku akiwa amefunga.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…