kizza besigye

Warren Kizza Besigye Kifefe (; born 22 April 1956), known as Colonel Dr. Kizza Besigye, is a Ugandan physician, politician, and former military officer of the Uganda People's Defence Force. He served as the president of the Forum for Democratic Change (FDC) political party and was an unsuccessful candidate in Uganda's 2001, 2006, 2011, and 2016 presidential elections, losing all of them to the incumbent, Yoweri Museveni, who has been president of Uganda since 26 January 1986. The results of the 2006 elections were contested in court, and the court found massive rigging and disenfranchisement. Besigye allowed an early internal FDC election for a successor president, which took place on 24 November 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Archival Sense

    Dr. Besigye, Lutale set to appear before court

    Veteran opposition leader Kizza Besigye and his associate Hajji Obeid Lutale Kamulegeya are expected to appear before court today, 12 March, as legal proceedings in their case continue. According to a post shared by the People’s Front for Freedom (PFF), the two are scheduled to be produced...
  2. Eronda

    Holy Mass for Dr. Kizza Besigye Postponed

    A holy mass that was organized to take place Monday 23rd February, 2026 today at Rubaga Cathedral has been postponed for unclear reasons. Winnie Byanyima a wife to Dr.Besigye said that she was informed that President Yoweri Museveni asked the church not to proceed with prayers for Dr Besigye...
  3. DuaZaMama

    Kizza Besigye apelekwa hospitali akiwa mahututi, Afya yazidi kudorora

    Chama cha People’s Front for Freedom (PFF) kimetoa tahadhari kali kuhusu hali ya afya ya kiongozi wake, Kizza Besigye, kikisema kuwa hali yake imedhoofu zaidi akiwa kizuizini. Kwa mujibu wa chama hicho, Besigye akiwa mahututi alihamishwa usiku wa manane kutoka gereza la Luzira kwenda kituo cha...
  4. R

    Kiongozi wa Upinzani Uganda, asusia kusikiliza kesi yake ya uhaini akimtuhumu Jaji kwa upendeleo

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, amegomea kuanza kusikilizwa kwa kesi yake ya uhaini Septemba 1, 2025, akimtuhumu Jaji Emmanuel Baguma kwa upendeleo. Besigye na mshirika wake, Obed Lutale, walisusia kesi baada ya jaji kukataa kujiondoa kwenye kesi hiyo. Mawakili wake wanasema...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Shangwe Katika Mahakama ya Uganda Baada ya Kesi ya Kizza Besigye na Hajji Obeid Lutale Kupelekwa Mahakama Kuu

    Wafuasi wa Dkt. Kizza Besigye na Hajji Obeid Lutale walilipuka kwa shangwe nje ya Mahakama ya Nakawa baada ya Hakimu Mkazi Mkuu Christine Nantege kutoa uamuzi kuwa mahakama hiyo haina tena mamlaka ya kusikiliza kesi yao, kufuatia kesi hiyo kuhamishiwa rasmi katika Mahakama Kuu. Uamuzi huo...
  6. M

    Hakuna kiumbe yoyote duniani aliyewahi kupambana na Serikali na akashinda, kama unabisha mtafuteni Dkt. Kizza Besigye yuko wapi sasa hivi au Bob Wine

    Kama kuna mtu anadhani yupo kiumbe duniani anaweza kuisumbua serikali anajidanganya, makelele ya wanasheria kuwa haki itashinda cjui nn hayo ni maneno tu, kesi ya uhaini ni kesi ngumu sana kuliko tunavyodhania, baada ya mwezi tu mshtakiwa wenu atabadilika rangi na mtamuonea huruma wenyewe, jela...
  7. Mindyou

    Kiongozi wa upinzani Kizza Besigye agoma kula gerezani ili kupinga kuendelea kushikiliwa

    Kiongozi wa upinzani wa Uganda, Dkt. Kizza Besigye amegoma kula chakula katika gereza la Luzira, Mjini Kampala kwa madai ya kupinga kuendelea kushikiliwa pamoja na kuhofia maisha yake. Dkt. Besigye ambaye alikuwa daktari binafsi wa Rais Yoweri Museveni alikamatwa tangu Novemba mwaka jana, na...
  8. Li ngunda ngali

    Besigye, mwanaume anayeteswa na Museveni kwa sababu ya ugomvi wa mwanamke

    Biblia inapotukumbusha tuishi na wanawake kwa akili, siyo bahati mbaya, humaanisha. Wanawake ni viumbe hatari mno hapa Duniani! Chanzo cha ugomvi wa wawili hao ni mke wa Kiza dada Winnie ambaye awali alikuwa mpenzi wa Museveni wa ujanani. Museveni, kwa hiari yake mwenyewe, aliamua kuachana na...
  9. Waufukweni

    Wakili wa Besigye ahukumiwa kifungo cha miezi 9 jela kwa kudharau mahakama

    Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemhukumu wakili maarufu, Eron Kiiza, kifungo cha miezi tisa jela kwa kosa la kudharau mahakama. Kiiza ni wakili wa mwanasiasa wa upinzani Kizza Besigye. Kesi hiyo ilichukua sura mpya baada ya vurugu kutokea mahakamani kufuatia kukamatwa kwa mmoja wa mawakili wa...
Back
Top Bottom