Kuna malalamiko kuhusu baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya Mbandе, kilichopo Wilaya ya Kongwa, Dodoma, kutembea na dawa kwenye mabegi na kuwalazimisha wagonjwa kuzinunua.
Aidha, watumishi hao wanawajibu wagonjwa kwa lugha isiyo ya staha wanapouliza kuhusu upatikanaji wa dawa, wakiwaeleza kuwa...
Anonymous
Thread
afya
dawa
dodoma
kituokituochaafya
kongwa
mabegi
uozo
wagonjwa
wake
watumishi
wilaya
wilaya ya kongwa
Tunashukuru uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kufika katika Kituo cha Afya Fumagila wiki iliyopita na kutoa maagizo kuhusu changamoto zilizokuwa zikilalamikiwa, hususan suala la utoaji na upokeaji wa fedha kwa wagonjwa.
Hata hivyo, baada ya viongozi hao kuondoka, hali inaonekana...
Anonymous
Thread
afya
control
control number
fedha
kituokituochaafya
number
uchunguzi
wagonjwa
Kuna mzee jirani yetu siku nimeonesha mwanaharakati Mdude ametekwa na video ya ushahidi pia akasema ooh hakuna kitu kama hicho huyo mdude ni kijana mdogo sana hawezi kutekwa ni chadema tu wanatafuta umaarufu.
Ila kwa bahati mbaya, kipindi cha MO29 mwanae alipigwa risasi kwenye kibanda chake cha...
Mke wangu amekuwa akihudhuria kliniki ya ujauzito katika Kituo cha Afya Kinyerezi. Kila anapokwenda kwa ajili ya huduma za kliniki, amekuwa akitozwa Shilingi 6,000 bila kupewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya malipo hayo.
Pia, anapougua huendelea kutozwa fedha za kumuona daktari pamoja na...
Ndugu Watanzania, kumekuwa na malalamiko kuhusu ukiukwaji wa haki za wajawazito kupata huduma za afya, ambapo baadhi yao wanalazimishwa kulipia vipimo ambavyo vinapaswa kutolewa bila malipo.
Vipimo vinavyodaiwa kulipishwa ni pamoja na:
Hemoglobin (HB) – kipimo cha kiwango cha damu.
ABO/Rh –...
Kituo cha Afya Kadashi kipo Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Kata ya Maligisu Kijiji cha Kadashi kina Watumishi 12 ambao ni Co 3, NO 1, ANO 3, EN 2, MAT 2 na CA 1.
Mimi ni mmoja wao, nimeamua kueleza changamoto tunazopitia kwa sababu hali iliyopo imekuwa ngumu kwetu watumishi na inaweza...
Anonymous
Thread
afyakituokituochaafya
kufanya
mwanza
ukaguzi
ukaguzi kituochaafya
utendaji
viongozi
waje
wilaya
Mimi ni mdau wa afya ila kitu kinanikwaza kutoka Kituo cha Afya Mbezi, kituo hakina kompyuta za kutosha, vyumba vitatu vya madaktari chenye kompyuta nzima ni kimoja tu.
Tupo hapa tumelundikana kusubiri huduma uongozi hata hautoi mwafaka wanapitapita tu, kuna daktari mmoja, wengine wanazunguka...
Katika Kituo cha Afya Nyarugusu, Geita Vijijini, kuna muuguzi na mtaalamu wa usingizi anayeitwa Fredrik Lugay ambaye anadaiwa kufanya upasuaji kwa wajawazito na wagonjwa wengine, huku akitoza fedha zaidi ya kiwango kilichowekwa na mfumo wa serikali.
Inadaiwa kuwa mfumo wa serikali unatoza...
Hello wanajukwaa,
Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa afya na uzima anaotupa kila siku, pia niwashukuru jamiiforums kwa kuwa karibu na wananchi kwa kupeleka kero zetu mahali husika na utatuzi kutolewa kwa wakati(Asante Team JF). Mwezi wa tatu ilipostiwa kero kuhusu kituo Cha afya Kigamboni...
Anonymous
Thread
afya
jamiiforums
kigamboni
kituokituochaafya
mrejesho
taarifa
tarehe
Napenda kuwasilisha malalamiko kuhusu yanayoendelea katika Kituo cha Afya Makurumla (zamani Mianzini) kilichopo Mburahati, Dar es Salaam.
Kwanza, kuna changamoto kubwa ya malipo ya overtime kwa watumishi. Tulilipwa mara ya mwisho mwezi Oktoba 2025, na tangu Novemba hadi sasa hatujalipwa kabisa...
Kituo cha afya cha Magoma wilayani Korogwe mazingira yake sio safi Wala salama kwa jamii inayohudumiwa kwenye kituo hichi.
Wagonjwa wanalalamika hali chafu ya mazingira ya kituo, mda wa kazi manesi hawapo eneo la kawaida kuhudumia wagonjwa na kero ya maji safi na salama hamna kwenye kituo cha...
Mimi ni mmoja wa watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa magumu kutokana na mwenendo wa katibu wa kituo chetu.
Sisi watumishi tunafanya kazi kwa muda wa ziada (overtime), lakini malipo yake hayafanyiki...
Anonymous
Thread
afyakituokituochaafya
mambo
mambo ya
sawa
serikali
uongozi
watumishi
yombo vituka
Sisi wananchi wa eneo la Kindimbachini, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, tunaomba kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu vitendo vinavyodaiwa kufanywa na mmoja wa wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya Kindimbachini.
Mhusika huyo amekuwa akiwaambia wagonjwa kuwa baadhi ya dawa muhimu hazipatikani...
Anonymous
Thread
afya
dawa
kituokituochaafya
mbinga
mtumishi
mtumishi wa umma
taasisi
umma
Ninaishi Iselemagazi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu huduma zinazotolewa katika Kituo cha Afya Nindo.
Katika kituo hicho, wanawake wajawazito wanaoanza huduma za kliniki hutakiwa kulipa shilingi 10,000, na wakati mwingine fedha hizo hukusanywa bila...
Anonymous
Thread
afya
fedha
halmashauri
kiti
kituokituochaafya
pesa
risiti
shinyanga
wagonjwa
wajawazito
wanawake
wanawake wajawazito
wilaya
Je, ni kawaida kwa mwanamke mwenye ujauzito kuwa anatapika frequently kiasi kwamba hakuna chochote anachoweza kula iwe ni maji ama chakula ni lazima atapike?
NI ujauzito wake wa kwanza.📌
dawa zote alizopewa siku ya kuanza clinic hazimezwi sababu ya kutapika.
Kuna shida kwenye kituo cha Afya Kimara Mavurunza.
Mtoto chini ya miaka mitano hakishapatiwa huduma mzazi anaambiwa alipie dawa, na wakati mwingine huduma ni bure.
Hii ni sawa wakuu?
Soma Pia mijadala ya kero ya malipo kwa wajawazito
Wajawazito wanalipia huduma Kituo cha Afya Nyangoto na...
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Afya Nyangoto, kinapatikana Nyamongo Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime Vijijini, Kata ya Matongo ambapo amezungumza na Wagonja na uongozi wa kituo hicho.
Ziara hiyo imefanyika baada ya Mdau kuelezea...
UFAFANUZI JUU YA TAARIFA YA MALALAMIKO ILIYOTOLEWA NA MTANDAO WA KIJAMII (JAMIIFORUMS) JUU YA KITUO CHA AFYA MBANDE
Tarehe 03/05/2026 JamiiForum imechapisha taarifa ya malalamiko kutoka kwa Mdau wa JamiiForums.com akitoa Wito kwa Mamlaka kufanya uchunguzi katika Kituo cha Afya Mbande kwa kuwa...
Mimi ni Mtumishi katika Kituo cha Afya Kigamboni (Ferry karibu na Kituo cha Polisi Mzizima), uongozi kutumia vibaya madaraka yao kwa kujilipa stahiki zisizo sahihi mfano; wanajilipa hela za doctors OnCall allowance wakati hawaingii hizo call (viongozi hao ni mganga mfawidhi, Katibu wa Afya...