kitima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Serikali iweke wazi matumizi ya miradi ili kudhibiti Rushwa

    Padre Dkt. Charles Kitima amesema nchi inahitaji kuweka wazi ripoti za mapato na kazi inazozifanya zinazogusa maisha ya watu ili kuwezesha wananchi kupima na kuiwajibisha Serikali na si wabadhirifu pekee. Pia, Katibu Mkuu huyo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ameeleza kuwa wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Unafiki na kusifia kila jambo ili kupata vyeo kutaliua Taifa

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima ametahadharisha unafiki wa kisiasa unaoendelea miongoni mwa Watanzania kwa sasa kwa kupenda kusifia kila jambo kuwa utaliua taifa. Amesema tabia hiyo inaendelea kupata mashiko nchini kutokana na upeo mdogo wa watu...
  3. JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Vijana hawatavumilia milele, ipo siku wataleta mapinduzi

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC) Padri Charles Kitima amewaasa wanasiasa kujirekebisa kwani ipo siku vijana wataleta mapinduzi miaka michache ijayo. Ameyasema haya kwenye mjadala wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Septemba 15, 2022. "Msipo jirekebisha ninyi...
  4. JamiiForums Tanzania Padre Kitima: Uchaguzi wa Tanzania hauna sifa ya huru

    Katibu wa balaza la Maaskofu TEC bwana Padre Kitima amehoji ni kwa sababu zipi uchaguzi wa Tanzania haufanyiki kwa uhuru na haki? Msikilize hapo kuanzia dakika ya nne na kuendelea.
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Fr. Kitima: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na vifo vingi kuliko chaguzi nyingine zote

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Tanzania (TEC), Fr. Charles Kitima ambaye aliwahi kuwa Vice Chancellor wa SAUT amekosoa wizi wa kura na kusema ni dhambi kwa Mungu kwa sababu ni uongo lakini pia inapelekea kuwa na viongozi wabaya. Amesema kwa miaka sita iliyopita...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kukutana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) leo Juni 25, 2021 Rais atakutana nao katika Makao Makuu ya TEC, Kurasini ========== 5:30 Asubuhi: Rais Samia Suluhu ameshafika na kuimbwa wimbo wa Taifa, kinachoendelea kwa sasa ni utambulisho wa...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya laitaka Serikali kuruhusu chanjo zote za COVID

    Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Kenya limeitaka serikali ya Kenya kukubali na kuruhusu kuruhusu chanjo zote halali za COVID-19. Kwamba kanisa katoliki limeruhusu mtandao wa hospitali zake zote nchini Kenya kkutumika kama vituo vya chanjo za COVID-19 --- Catholic Bishops have now...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…