kitima ashambuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Megalodon

    PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

    Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI. Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia, hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia. Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual...
  2. Heparin

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Waraka unaosambaa mtandaoni haujatoka kwetu, tunaomba umma uupuuze

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) linakanusha vikali waraka wenye kichwa cha habari "WARAKA WA KICHUNGAJI KUSOMWA KATIKA PAROKIA ZOTE, VIGANGO, NA JUMUIYA NDOGONDOGO ZOTE NCHINI TANZANIA KWA WEEK 10 MFULULIZO". Tunapenda kuwatangazia Waamini na Watanzania wote kwa ujumla, kupuuza...
  3. Cute Wife

    Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima

    Wakuu, Safari hii wamebonyeza namba nyingine, kitaeleweka tu🌚. Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima. Wataka uchunguzi wa kina ufanyike na wahalifu kukamatwa na kuchukuliwahatua haraka. Wampa pole, na kumtakia heri apone haraka ili aendelee kupaza sauti kwenye...
  4. W

    Padri Chesco asema Fr. Kitima anaongea japo amefungwa 'bandeji' kichwa kizima, tumuombee

    Mahojiano na Padri Chesco Msaga Naibu katibu Mkuu wa TEC baada yakwenda kumtembelea Father Kitima baada ya kushambuliwa Padri Chesco amewahimiza Watu kumuombea Fr. Kitima ili arejee katika hali yake ya kawaida na kuendela na majukumu yake ndani ya kanisa. Pamoja na hayo ameomba Taifa taifa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    BAKWATA yalaani vikali tukio kushambuliwa Katibu wa TEC Padri Charles Kitima

    Katibu Mkuu BAKWATA Alhaj Nuhu Jabir Mruma amesema Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA), linalaani vikali tukio lililotokea jana la kushambuliwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Kwa mujibu wa taarifa maalum aliyoitoa leo Alhamisi jioni Alhaj Mruma amevitaka vyombo...
  6. peno hasegawa

    Maswali ya Kujiuliza Kuhusu Tukio la kuvamiwa nyumbani Padri Dkt. Charles Kitima wa Kanisa Katoliki Tanzania

    Tukio la kuvamiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Padri Dkt. Charles Kitima, limeibua maswali mengi miongoni mwa waumini na jamii kwa ujumla. Katika hali hii, ni muhimu kujiuliza maswali kadhaa kuhusu usalama wake na mazingira aliyokuwa akishi. 1. Usalama...
  7. Mkalukungone Mwamba

    KKKT Karagwe yalaani shambulio dhidi ya Fr. Kitima

    YAH: SALAAM ZA POLE. Kwa niaba yangu binafsi, na kwa niaba ya Dayosisi ninayoiongoza kwa neema, pokea salaam za pole kama Baraza, Kanisa na binafsi kwa Fr. Charles Kitima kwa tukio ovu lililofanyika na kumdhuru mtumishi wa Baraza. Shambulio hilo si la Fr. Kitima, si la TEC, wala la Imani ya...
  8. Poppy Hatonn

    Olengurumwa asimulia alichoambiwa na Padre Kitima baada ya kumtembelea hospitali

    Kwa mazungumzo niliofanya naye ni kwamba, jana aliweza kuitisha vikao kwa viongozi wa dini zote kwaajili ya kutafakari ya jumbe zao walizozitoa wakati wa Idd na Pasaka na walikuwa viongozi trakibani 100 na wakamaliza vikao vyao salama na ndipo baadae jioni wakati anakwenda msalani katika eneo la...
  9. Ojuolegbha

    CCM yalaani shambulio dhidi ya Padre Dkt. Charles Kitima

    YAH: KULAANI SHAMBULIO DHIDI YA PADRE DKT. CHARLES KITIMA Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, tukio lililotokea usiku wa Aprili 30, 2025, katika...
  10. N

    Rais wa TEC, Askofu Pisa apingana na polisi, asema taarifa yao kuwa Padri Kitima alikuwa anapata kinywaji wakati anashambuliwa ni Upotoshaji

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema Padri Charles Kitima ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kujeruhiwa kidevuni. Hata hivyo, amesema taarifa zinazoeleza kabla ya kushambuliwa alikuwa akipata kinywaji ni upotoshaji, badala yake...
  11. The Mongolian Savage

    Lazima kuna tukio linaandaliwa kupotezea ishu ya Fr. Kitima

    Kwa mtazamo Naona ''watamuapproach" Mwijaku (the national disgrace) na ahadi kadhaa za maokoto. Jamaa alivyo hana mshipa wa aibu yaani atakubali na kufurahia hilo deal. Tujiandae na matukio ya ajabu. Nyau de adriz
  12. Q

    Ujumbe wa Fr. Kitima baada ya kushambuliwa: Hatutakiwi kuogopa kulipa gharama katika kusimamia haki

    Boniface Mwabukusi. Rais na TLS ameandika kupitia ukurasa wake wa X: "Nimemtembele Father Dr. Charles Kitima. Hakika lilikuwa shambulio baya lenye lengo la kudhulumu maisha. Mungu ni mwema sana anaendelea vizuri. Huu ni Ujumbe wake kwetu.... Lazima Tuwe Imara kusimamia masuala ya Msingi...
  13. A

    Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

    Hofu kubwa imetanda kufuatia tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC) Padri Dkt.Charles Kitima. Kupitia mitandao ya kijamii, imeripotiwa kuwa watu Wasiojulikana walimvamia Dkt Kitima majira ya saa 3 usiku wa April 30, 2025 na...
Back
Top Bottom