kiti cha enzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yako Atta

    Tuliona Tulioyoyaona: Ukuu wa Kihistoria na Laana ya Kiti cha Enzi

    Tuliona tuliyoyaona Zimbabwe ya Mugabe wa ZANU PF na Morgan Tsvangirai wa MDC, tuliyajua pia ya Venuzuela ya Hugo Chavez kabla ya Nicolas Maduro na baada ya Nicolas Maduro-Venezuela: Populism, Petro-State na Mporomoko wa kiuchumi. Huenda tuliona ndivyo sivyo na pengine zilikuwa ni taswira zaidi...
  2. britanicca

    Mithali 1612 Wafalme wakitenda yasiyo haki ni chukizo; Maana kiti cha enzi huthibitika kwa haki

    ……… Kwa manufaa yake wenyewe siyo Umma Britanicca
  3. Pulchra Animo

    Samia na Kiti Cha Enzi Cha Sauti Zilizovunjika

    Ee Samia, uliyefunikwa kwa dhahabu iliyojaa damu, Ndoto gani mbaya zinazoishi ndani ya kimya chako? Chawa wako hukuimbia nyimbo za sifa kwa sauti tamu, Wapinzani hutekwa, huteswa na wengine hutoweka mitaani kama upepo. Buti, gereza, kilio kilichozibwa—Gharama ya ukweli, bei yake—uongo. Lakini...
  4. Beira Boy

    Nimeota ndoto na kuona roho wa paka kwenye kiti cha enzi cha papa Francis wa kanisa la Roma

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Katika kufunga Kuna faida zake Huenda ukaendelea kufunga na ukaendelea kubaki masikin sana usiye na tumaini wala rafiki wa kweli, wala msaada wala mfadhili Usiye na cheo wala uchumi wa kueleweka Lakini BWANA huendelea kukaa pemben yako daima , huendelea...
  5. R

    Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

    Salaam, shalom!! ( Isaya 6:1-10), Mwanzo 1:26-28). (Matendo 9:4) Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere. Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu. Ni...
Back
Top Bottom