Ni kama vile DC Magoti anaona kama wananchi wanadhani yeye sio DC, lakini kawadhihirishia kwamba yeye sio DC wa Mpeche Mpeche, ni DC wa kimataifa, na kwamba wasidhani kwa umbile yeye ni mtoto, bali ni mtu mzima, na Rais kamteua.
N.B: nadhani anaweza kufanya tukio kubwa, pengine baya, ili...