kisamvu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu anamshangaa muislamu mwenzake anayekula nguruwe wakati yeye anakula kisamvu cha kopo.

    Nguruwe na kisamvu cha kopo vyote haramu ila angalau nguruwe amehalalishwa kuliwa kwa kiasi kidogo kama hapo ulipo umekosa kabisa chakula na nguruwe ndo nyama pekee iliyopo inalusiwa kula kidogo ila usishibe ila kisamvu cha kopo hakirusiwa kuliwa na umuoni mtume.
  2. Kwanini nyuki wanaogopa konokono na kisamvu?

    Naomba kujua kwanini nyuki wanaogopa ule utando unaoachwa na konokono anapopita? Na kwanini pia nyuki anaogopa kisamvu kilichopondwapondwa?
  3. Watoto wanaojihusisha na mambo ya michezo michafu ni nani anadili nao?

    Juzi usiku nilikuwa kijiweni kwangu nikitoa huduma kama kawaida, mara akaingia dada mmoja ambaye namfahamu akiwa ameambatana na wadada wengine ambao nao sio wageni pamoja na watoto wakiume wawili. Mtoto mmoja namfahamu ni wahuyo dada nikajua wamekuja kwa ajili ya matibabu zaidi maana Siku 2...
  4. Mtaalam: Msidanganyike Kisamvu ni kile kile tu duniani kote ila ukiwa Mshamba na hujui Kuutwanga vyema na Mchi utauona ni tofauti

    Nina Visamvu Viwili vya kuchukua Mwenge na Ubungo ngoja nivifuate nije nivitwange na Mchi Mmoja niliouandaa ili nione kama hakuna tofauti au Mtaalam ndiyo Kakosea na Katudanganya.
  5. I

    Biashara ya kuuza mboga ya kisamvu

    Habari Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu, uaandaaji, uuzaji, n.k nitashukuru sana kwa mawazo yenu Asanteni
  6. M

    Waliogundua pasi, chanuo, baiskeli na kisamvu wanachukuliwa poa ila ni magenius

    Kwamba kisamvu kikitwangwa ndio kitalika this is fantastic. Mnaojua kuendesha baiskeli mtakubakiana na mimi kuwa hakuna chombo kigumu kujifunza kama baiskeli, Kwamba pasi ikipata moto itanyoosha nguo iliyojikunja. Chanuo nae aliyegundua alikuwa genius Kibao cha mbuzi na kukuna nazi Supu...
  7. A

    Usiku wa kisamvu cha kopo

    Wakuu naomba muongozo, nimekuta haya matangazo kadhaa mitandaoni yakiongozwa na bidada Al-maaruf Mariam Biriani yene jina la USIKU WA KISAMVU CHA KOPO. Kwa kweli hilo jina na hizo picha za matangazo zimenisisimua kidogo. Kuna nini huko naomba kujua, kama nini nijiandae tu
  8. Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

    Duniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu Kisamvu ni mboga, mizizi yake ni chakula na hata shina lake huweza kutumika kama kuni Lakini siri kubwa iliyopo katika mti huu ni kuwa, majani yake yana uwezo mkubwa wa kukufanya uwaone...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…