kiredio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Hali ya kiredio si shwari, Kiredio akutwa na nini

    Habari kuhusu kusambaa kwa taarifa za mtangazaji na mwanamtandao maarufu nchini Tanzania, Kiredio, imeshika kasi kwenye mitandao ya kijamii kufuatia tukio la kutapeliwa kiasi cha shilingi milioni 60 za Kitanzania akiwa nchini China. Inaarifiwa kuwa Kiredio alisafiri kuelekea China kwa ajili ya...
  2. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Je Ni kweli kiredio ka palalaizi miguu, hawezi tembea mpaka abebwe, je chanzo ni yule demu kumuacha au?

    Video inayo sambaza MTANDAONI ina muonesha kiredio akibebwa kukalishwa Kwa wheel chair, tetesi ni kuwa kapalalaizi, sijui ni kiki sijui kweli ila wanadai kweli mana alialikwa juzi Kwa mondi hakwenda. Inasemekana chanzoni either demu kumuacha au either alitapeliwa 60 millions china, Tusbiri...
  3. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Niffer: "Kiredio Hayuko Sawa kwa sasa ila atarejea tu, Kwanini nifiche muombeeni"

    Mtengeneza maudhui maarufu nchini, anayejulikana kama kiredio, amezua wasiwasi miongoni mwa mashabiki wake baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kuchapisha maudhui yoyote kwenye mitandao ya kijamii. Hali hiyo imewafanya baadhi ya mashabiki kuonyesha kujali kwa kiwango cha juu, huku mmoja...
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kiredio; Siku kumiliki mwanamke mzuri mwenye shepu ni kujitafutia presha, sitarudia

    Mdau mmoja amemuuliza Kiredio kwanini siku hizi kaacha kabisa kazi yake ya kupost maudhui mtandaoni baada ya kuachana na aliye kuwa mpenzi wake, Vee Dollars. Kiredio ameshangaza wengi Kwa jibu alilo litoa, Kiredio amejibu kuwa; "Siku hizi kumiliki mwanamke mzuri mwenye Shepu ni kazi sana ni...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kiredio na Vee Dollar: Hivi Mapenzi Hufia Kwenye Mafanikio au Umasikini Ndio Unaounganisha Watu?

    Mtengenezaji wa maudhui maarufu mtandaoni, Kiredio, ameingia kwenye trending kufuatia madai ya kuachana na mpenzi wake, Vee Dollar. Baada ya taarifa hizo kuibuka, baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wameanza kusambaza video zao za zamani, zilizorekodiwa kipindi ambacho Kiredio na Vee...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Lokole; Kiredio anasema vee kabadilika hamsikilizi

    Mtangazaji na mwanamitandao maarufu nchini Tanzania, Juma Lokole, kupitia kipindi cha Wasafi FM, ameanika siri nzito na kuthibitisha kuwa mahusiano ya kimapenzi kati ya waundaji maudhui Kiredio na Vee Dollarz yamevunjika rasmi takribani miezi mitatu iliyopita. Lokole ameeleza kuwa amechoka...
  7. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
Back
Top Bottom