kinyume na maumbile

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile. Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

    Habarini wana JF, Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu. Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni...
  3. the numb 1

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
  4. aise

    JamiiForums Tanzania Amekuwa akifanya mapenzi kinyume na maumbile, sasa anataka kubeba mimba

    Tulianza kama mchezo, kuitana popobawa na hatimae tigo ikaliwa. Huo mchezo umeendelea na hatima ameona ni muda wa kuzaa sasa. Changamoto iliyopo ni madhara "tunayo sikia sikia" Kuwa kama ulikuwa unafanya huo mchezo ni ngumu kuzaa kwa hali ya kawaida. Isitoshe jambo la kusikitisha mimba yake ya...
  5. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Njia za kujiepusha na mapenzi haramu

    Mapenzi haramu ni jambo baya kiafya na hata kiimani. Tukifanya mapenzi kulingana na utaratibu uliowekwa wa kibinadamu basi kuna faida nyingi ikiwemo. Kupata watoto na kujenga familia jambo ambalo ni baraka. Zipo baadhi ya njia za kujiepusha na mapenzi haramu/mapenzi yanayofanyika pasipo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni yapi madhara ayapatayo mwanaume kwa kumuingilia mke kinyume na maumbile?

    nawasalimu kwa jina la jmt! Tumeona na kuelimishwa na nyuzi nyingi sana humu kuhusu madhara wayapatayo wanaoingiliwa kinyume na maumbile. Hebu leo tufahamishane kuhusu madhara ya kiafya kwa upande wa anayeingilia. Ahsante!
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mapenzi Kinyume na Maumbile ni hatari, usijirahisishe

    Habari yako, Kwa wakazi wa Bongo, neno Shivaz sio geni masikioni mwenu! Manka Mushi mie, mtoto wa kichaga huko na Mrina ndiyo yalikuwa machimbo yangu ya kujidai. Kiufupi nimeumbika, shepu mashallah! Msambwanda asilia nimejaliwa sio wezere la kuvalia kigodoro yaan nina kila kigezo cha kuitwa...
  8. goldcall

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa kuwa makini na hawa watu

    Kimemkuta jamaa fulani uko, kafunga ndoa na binti, kumbe binti anamchezo mchafu wa kutoa 0713, kizazi hiki kabla ya ndoa, hakikisha unafanya inspection ya mbele na nyuma, sina maana ushiriki uko nyuma, lakini jilidhishe mtu unaye mchukuwa vipi uko nyuma. Jamaa kaenda round about kwa baati...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

    kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile? Naomba mawazo yenu wana JF ------------------------------ Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile: KWA UFUPI Wakati idadi ya wanawake wenye maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ikiongezeka, asilimia...
Back
Top Bottom