Kwenye katika mpya sio Raisi tu kiongozi yeyote ambaye ataonekana alitumia mamlaka vibaya ashtakiwe na kama kufungwa afungwe .
Wenye nafasi za uongozi wekeni data vizuri kuna mda itafika katiba itahitaji viongozi wa juu kabisa ambao walitumia mamlaka vibaya kushatakiwa na kufungwa baada ya...
Je, Katiba yetu inaruhusu Rais aliyepo kupeleka mswada Bungeni na kuliomba Bunge kuondoa kinga ya Rais ya kutokushtakiwa ili Rais afikishwe Mahakamani kwa makosa yake na mwishowe kuhukumiwa?
Najua Rais anaweza kumwondolea ulinzi Rais, niliona Kenya, vipi kuhusu kushtakiwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.