kimbunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    UPDATES: Kimbunga JOBO hakipo

    Kimbunga Jobo chawa dhaifu baada ya kukaribia kuingia Tanzania Madhara ya kimbunga hicho sasa kupungua hivyo tuendelee kuchukua tahadhari Mungu ni Mungu Aksanteni kwa Maombi yenu Watanzania TMA UPDATES
  2. Kimbunga Katrina kilikuwa na speed ya 174MPH, Kimbunga Jobo kitapiga kwa speed ya 30MPH, je , kuna haja ya kupoteza muda kukijadili?

    Ni ukosefu wa kazi za kufanya au ni nini? Picha ni kama zinavyojieleza hapo chini.. Update: https://www.jamiiforums.com/threads/updates-kimbunga-jobo-chafikia-kilometa-76-mashariki-mwa-mafia-chasafiri-kwa-kilometa-20-kwa-saa.1863353/...
  3. Kimbunga kimekuja tarehe za Mshahara

    Kimbunga tajwa kimekuja tarehe pendwa za Mshahara. Tutarajie Guest houses kujaa. #Kerege_Moja#
  4. Kimbunga JOBO: Uzi maalum kupeana Updates za kimbunga hiki

    Tumeambiwa kimbunga hiki hakijatokea eneo la ukanda wa Afica mashariki kwa takribani miaka 70. Hapa ni sehemu maalum kuhabarishana yanayojiri hasa mliopo fukwe huko. Tukumbushane pia tahadhari za kuchukua maana siku yenyewe ni leo na kesho tu kwa mujibu wa mamlaka za hali ya hewa.
  5. D

    Mashirika na taasisi mmejipangaje na tahadhari ya kimbunga ili kuondoa usumbufu na hatari kwa wateja wenu?

    Matamko na Tahadhari zinapotolewa na wataalam; Serikali za kiafrika hasa Tanzania kumekuwa na kasumba ya baaadhi ya mamlaka/mashirika kujitoa kuwajibika ipasavyo kwa watu wake! Je, tahadhari hii ya kimbunga awamu hii Taasisi na mashirika mmejipangaje kupunguza hatari ya kimbunga kiafya na...
  6. Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

    Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi. Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
  7. Ubalozi Marekani watahadharisha raia wake nchini Tanzania kuhusu kimbunga Jobo

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam. Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
  8. Kimbunga kizito kinakuja kutandika Dar es Salaam Jumatatu ijayo. Mjitahadhari

    Majirani mjitahadhari dhidi ya Kimbunga Kikali kinachokuja kubamiza Dar juma tatu ijayo. Kimbunga kitakuwa na upepo unaovuma at 100 kph Rare tropical cyclone is approaching one of Africa's most populated cities By Pedram Javaheri, CNN Meteorologist Updated 7:51 PM EDT, Thu April 22, 2021...
  9. I

    Tahadhari: Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani ya Tanzania

    Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani yetu hususan miji ya Lindi,Mtwara,Dar es salaam,Unguja,Mombasa,Malindi Chanzo kinasema upepo huo unatarajiwa kati ya tarehe 21/4/2021 na 26/4/2021. Hivyo tuchukue tahadhari na bahari kwa siku hizi,na kufuatilia utabiri...
  10. Kimbunga cha JOBO chazidi kuikaribia Lindi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “Jobo” kilichopo bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Kimbunga Jobo kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya nchi yetu ambapo leo usiku wa kuamkia tarehe 23/4/2021 kimbunga hiki...
  11. Lindi na Mtwara zatahadharishwa kimbunga cha Jobo

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA) imetahadharisha mikoa ya mwambao wa Bahari ya Hindi hasa mikoa ya Lindi na Mtwara kuhusu kimbunga cha Jobo ambacho kipo kaskazini mwa Madagascar Kimbunga kitasababisha ongezeko la upepo na mawimbi katika bahari ya Hindi. TMA wanaendelea kufuatilia kuangalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…