Straika wa zamani wa Brazil, Ronaldo Nazario De Lima ambaye pia amewahi kuchezea Klabu za Barcelona, Real Madrid, InterMilan, AC Milan ametaja kikosi chake bora cha muda wote wakiwemo Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.
Hiki ndio kikosi chake; 1. Gianluigi Buffon 2. Cafu 3. Roberto Carlos 4...