Tarehe 11 April, jijini Dar Es Salaam huko Tanzania, kilifanyika kikao cha dharula kinachohusu hatma ya jeshi la SADC, Mission (failed) ya SAMIDRC.
Kikao hicho kiliwahusisha:
-General Rudzani Maphwanya (SA National Defence Force),
-General Jacob Mkunda (Tanzania People’s Defence Force- TPDF) na...