kikao cha bunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Ashiriki Kikao cha Bunge

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI MKUTANO WA BUNGE Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 31, 2026 ameshiriki Kikao cha Nne cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Kikao cha Bunge leo wakosa wachangiaji JF

    GT inshangaza tangu saa 3 asubuhi hadi sasa sakumi kuna views 158 na replies 6 tu
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Demokrasia itaanza na wajasiriamali siyo Wanasiasa

    Ameandika ndugu mmoja muathirika wa udikteta wa Belarus kuwa, Kwa miongo kadhaa nchini Belarus, kulikuwa na kauli ya kwamba: “Usiguse mamlaka — na mamlaka haitagusa biashara yako.” Lakini baada ya mwaka 2020, maelfu ya wajasiriamali waligundua kuwa hali ya kutokujihusisha kisiasa haipo tena...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 45 Juni 12, 2025 Dodoma

    Leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba atawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026, nini vitakuwa vipaombele vya serikari? Matarajio ya Wanachi, Taasisi na Asasi za Kiraia yatafikiwa? Kabla ya kuwasilisha hotuba hiyo, Bunge linapitisha hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi yaomba kuidhinishiwa TSh. Trilioni 2.28 kwa mwaka wa Fedha 2025/2026

    Bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 05 Mei, 2025 kushiriki vikao vya Bunge la Bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ambapo leo atawasilisha Mpango na makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa mwaka wa Fedha 2025/2026. Waziri Ulega amefuatana na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 3 Aprili, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 10, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine, kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali Serikali. Wizara zitakazoulizwa maswali kwa siku ya leo ni pamoja na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 2 April, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 9, 2024 Jijini Dodoma ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atasoma hotuba ya bajeti ya ofisi yake na taasisi zake kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026. Taarifa mbalimbali za kamati za kudumu za Bunge nazo zitawasilishwa ikiwemo; Taarifa ya Kamati ya...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 13 Februari 13, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 13 Februari 13, 2025 https://www.youtube.com/live/cyc6U2sR8Lo?si=DI-aIFTZ23kTvpdk
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 11 Februari 11, 2025

    Wakuu Katika mkutano wa 18 wa Bunge unaoendelea Jijini Dodoma, leo katika kikao cha 11, wabunge watasikia na kujadili taarifa za kamati mbili za kudumu za Bunge kwa kipindi cha kuanzia Februari mwaka jana, 2024 hadi Januari mwaka huu baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu. Kamati hizo ni ile...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 10 February 10, 2025

    Wakuu Baada ya mapumziko ya mwisho wa wiki, leo mkutano wa 18 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kikao chake cha 10 linaendelea ambapo baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu itakuwa ni zamu ya kamati nyingine mbili za kudumu za Bunge kuwasilisha taarifa zao kwa kipindi cha...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 7 Februari 5, 2025

    Wakuu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kikao chake cha saba, mkutano wa 18, leo Februari 5, 2025, litapokea taarifa, maoni na maazimio kutoka kwa Kamati ya Utawala, Katiba na Sheria pamoja na Kamati ya Sheria Ndogo. Hatua hiyo itakuja baada ya kumalizika kwa Kipindi cha Maswali...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 2 Januari 29, 2025

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Januari 29, 2025 linaendelea na mkutano wake wa 18 ambapo, pamoja na Kipindi cha Maswali na Majibu, linatazamiwa kujadili miswada miwili ya sheria. Muswada wa kwanza ni wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na. 3) wa Mwaka 2024 na kisha...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha Tano Novemba 4, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=IKQDv45V3VY Bunge linapokea na kushauri kuhusu mapendekezo ya mpango wa maendeleo unaokusudiwa kutekelezwa na serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/26. Majadiliano yanaendelea… Shamsi Vuai Nahodha: Nitaongea hoja nne kuhusu mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa...
Back
Top Bottom