kifo dereva wa heche

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Amani Golugwa: Kama chama tuna mashaka na kifo cha Maradufu

    Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA, Amani Golugwa amesema kuwa chama kinatilia mashaka kuhusu kifo cha aliyekuwa dereva wa John Heche Mama mjane na wana Tarime naomba niwaambie jambo moja. Na mnisikilize kwa makini mtuelewe. Sisi kama chama, tuna mashaka na kifo cha Suezi Maradufu. Tumefanya...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Bashiri Abdallah: Nimepata taarifa kuwa 'Wasiojulikana' wapo hapa kwenye mazishi ya Suezi, hii ni Tarime, ukija hautoki

    Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Tarime Mjini, Ndugu Bashiri Abdallah amesema kuwa amepata taarifa kuwa 'Wasiojulikana' wapo hapa kwenye mazishi ya Suezi, hii ni Tarime, ukija hautoki Soma pia TANZIA - Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma Nimepata taarifa kwa usalama wa chama...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Simon Sirro: Kwa uzoefu wa askari wetu kifo cha dereva wa Heche kilikuwa cha kawaida

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro, amesema kuwa kwa mujibu wa uzoefu wa askari na wataalamu wa serikali, kifo cha dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, kinaonekana kuwa cha kawaida. "Kwa uzoefu wa askari wetu, inaonekana kifo chake ni cha kawaida. Lakini unajua tena...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kigoma kuhusu kifo cha dereva wa John Heche

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Deogratius Mahinyila, amesema ni muhimu taarifa zote kuhusu mazingira ya kifo cha marehemu Maradufu kuwekwa wazi ili kuondoa sintofahamu. Mahinyila ameeleza kuwa marehemu alikutwa na fedha taslimu kiasi cha Tsh. 428,000 ambazo alikabidhiwa, huku pia akibainisha kuwa...
Back
Top Bottom