kidato cha tano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Historia na maadili kitabu cha kidato cha tano

    Kitabu hiki ni muhimu.... a compulsory subject kwa kidato cha Tano Historia ya Tanzania na Maadili Academic Communication
  2. Kuhusu selection za kidato cha tano

    Naomba kujua hivi mwanafunzi akichaguliwa comb ya art (mchepuo wa sanaa) anaweza kufika shule akabadilisha akasoma comb ya sayansi (mchepuo wa sayansi) mfano amechaguliwa HGL akabadilisha akasome CBG? , ufaulu wake n sawa kwa masomo yote ya arts na sayansi yaani hakuna utofauti
  3. Majina waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati mwaka 2025

    Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema jumla ya wanafunzi 149,818 sawa na asilimia 69.96 wakiwemo wasichana 76,491 na wavulana 73,327 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika shule za sekondari za serikali 694. Akitoa taarifa kwa umma Ijumaa Juni 6, 2025...
  4. Serikali Imetoa Mwezi Moja Kwa Wanafunzi Wa Kidato Cha Nne 2024 Kubadilisha Machagua Ya Tahasusi Kidato Cha Tano

    SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu stahiki katika maisha yao ya baadaye. Utaratibu huo umeanza Machi 31 hadi Aprili 30 mwaka huu. Akizungumza na...
  5. PreGE2025 Kagera: Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wamshukuru Rais Samia kutenga bilioni nne ujenzi shule ya wasichana

    Wakuu uchawa unapandikizwa kwa nguvu mpaka kwa wanafunzi, hizi kauli za mitano tena kwa hawa watoto na za kumezeshwa na watu wasiojitambua. ==== Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera...
  6. The sentence in sentence case is: Anaandika Malisa GJ kuhusu kuahirisha utekelezaji wa mtaala ulioboreshwa wa kidato cha tano

    Wakati mnaanzisha combination zenu zisizoeleweka, tuliwauliza mmejiandaa? Mlipounda tahsusi kama vile Arabic, Music & Sports (ArMS) tuliwauliza serikali imeandaa walimu wa Arabic, walimu wa Music na walimu wa michezo wa kutosha? Tuliuliza kwa sababu tunajua vyuo vyetu haviandai walimu wa masomo...
  7. Shule nzuri ya private kidato cha tano

    Msaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB. Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze. Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu.
  8. A

    KERO Mtaala mpya wa kidato cha tano hauleweki

    Suala la mtaala mpya kidato cha tano 2024 bado ni mkanganyiko lipi tamko la serikali juu ya hilo. 1. Kuna baadhi ya shule walishapewa semina juu ya utekelezaji wake lakini shule zingine bado. 2. Kuna baadhi ya shule hazijapewa semina hivyo wanatekeleza mtaala bila uhakika zaidi. 3. Kuna baadhi...
  9. Je, kuna walimu waliopata mafunzo ya mtaala mpya kidato Cha Tano na Sita?

    Napenda kufahamishwa kama Kuna mkoa au wilaya wamepewa mafunzo ya mtaala mpya kwa kidato Cha Tano na SITA.
  10. A

    DOKEZO Baadhi ya wakuu Shule za Kidato cha tano wanatoza pesa ili kupata nafasi za kuhamia

    Baadhi ya wakuu wa shule hasa zile kongwe na zinazofanya vizuri katika mitihani ya taifa ambazo ni za umma wamekuwa ni kero kubwa sana. Wamekuwa wakiwatoza fedha baadhi ya wanafunzi wanaotaka kuhamia kwenye shule hizo. Baadhi yao wanawatoza wazazi shilingi Laki 1 hadi Laki 5 ili waweze kupata...
  11. TAMISEMI acheni tabia hii. Ni Kama uhuni

    Hivi karibuni TAMISEMI wametoa chaguzi za kidato cha tano, na za Vyuo vya Elimu ya Ufundi. Kwa upande wa kidato cha tano, tarehe wametoa mapema, sijajua upande wa joining instruction, ila upande wa walio pangiwa Vyuo vya Elimu ya Ufundi, ni mtihani. Waziri wa TAMISEMI aliyasema haya wakati...
  12. Serikali yaweka ukomo michango kujiunga kidato cha tano. Yaelekeza wanafunzi kutokataliwa kisa michango

    Serikali imenuia kupunguza mzigo wa gharama za michango kwa wazazi wa wanafunzi wanaojiunga na masomo ya kidato cha tano. Serikali imeweka ukomo wa michango kuwa Sh80,000 kwa shule za bweni na Sh50,000 kwa shule za kutwa. Hatua hii ni sehemu ya utekelezaji wa sera ya elimu na mafunzo ya mwaka...
  13. J

    Ushauri kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Wanaomaliza Kidato cha Nne

    Ushauri kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Wanaomaliza Kidato cha Nne Kwanza kabisa, ninawapongeza wanafunzi wote ambao wamefanikiwa kumaliza kidato cha nne na kuchaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano, au wale waliopata nafasi katika vyuo mbalimbali. Safari yenu ya elimu ni muhimu na...
  14. N

    Msaada kwa anayeifahamu Shule ya Sekondari ya Wasichana Machame

    Habari zenu?, Naombeni msaada WA TAARIFA Kwa anayeifahamu machame girls, kuna ndugu yangu anaishi iringa, kachaguliwa huko form five HGL huko., Sasa htajaifahamu vizuri performance yake. Tunajiuluza aende huko machame au akasone private tu.
  15. M

    Mzazi ananilazimisha kwenda kidato cha Tano

    Naombeni msaada wa mimi mwenyewe : ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21 nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha nifanyaje sasa ili niweze kwenda college kwasababu nataka nisome mambo ya designing
  16. B

    SoC04 Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa Mujibu wa Sheria kwa wahitimu wa kidato cha nne wasio na vigezo vya kujiunga kidato cha tano na vyuo shirikishi

    UTANGULIZI Vigezo vya watahiniwa wa kidato cha nne kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano ama vyuo shirikishi ni ufaulu wa kuanzia daraja I hadi III hivyo ni wazi kuwa idadi kubwa ya watahiniwa waliofanya mtihani wanakosa vigezo vya kujiunga na elimu ya kidato cha tano pamoja na vyuo shirikishi...
  17. Nafasi ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2024 zinatoka lini? Mbona kama zimechelewa? NECTA mnasemaje?

    Jamani naomba kuuliza! wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023, lini majina ya kujiunga kidato cha tano yatatoka? Necta au wawakilishi wao watuambie lini?
  18. Ninayo sababu kupinga mpangiliao wa Tahasusi mpya Kidato cha tano na sita

    1. Serikali haishirikiani na viongozi wa dini kwa upande wa imani bali madhehebu ya dini (institutions) kwa upande wa huduma za jamii, sheria, compliance with secularism na kadhalika (tangibles). 2. Unazungumzia dini kama taaluma au dini kama imani? 3. Secular state haiwezi kujiingiza kwenye...
  19. Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49 kutoka 16 zilizokuwepo awali na kufanya tahasusi za kidato cha tano kufikia 65. Akiongea leo...
  20. Kutakiwa kulipa ada ya kidato cha tano

    Wanafunzi wa kidato cha sita waliomaliza Shule ya Sekondari Mbweni Teta iliyopo kata ya Mbweni wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam wanapitia changamoto ya kunyimwa Result slip zao kwa kutakiwa kulipa Ada ya kidato cha tano ambayo Ilifutwa na serikali Ndipo wapewe slip hizo za matokeo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…