Wakuu habari.
Kwa elimu yangu hii nimesomea A. Level na chuo maeneo ya kasikazini ila katika uzoefu niliojionea uko uchagani sio siri wanaume wa kisukuma wanapendwa sana yaana ukimwambia kabila tu kuwa mimi ni msukuma hapohapo kashakupenda sijui kwanini.
Swali langu kwa nyie wachaga mbona...
Katika kabila lenye matabaka mengi Tanzania ni la Kichagga.
Na lugha zinabadilika kulingana na eneo ndio mana unakuta ukianza Rombo mpaka Siha lafudhi ni tofauti japo tunasikilizana vizuri lakini huwezi kujibu kama ulivyosemeshwa.
Katika kutaka kujua historia kidogo kwanini Wameru wanaongea...
Wakuu nawasalimu.
Mimi ni mchaga niliyezaliwa na kukulia nje ya mkoa wa Kilimanjaro ambapo sikuwa na fursa ya kujifunza lugha ya kichaga.
Nimejaribu kuangalia resources mbalimbali kwenye mtandao sijapata ya kuniwezesha kujifunza kichaga.
Kama kuna yeyote anayeweza kutupia hapa somo for the...
Mshiki: Dada
Mamkwe: Mtoto wa Pili wa Kike katika Familia
Haikaelly: Asante Mungu - Jina la kiume
Haika: Asante,Jina la kike
Finyaelly: Nguvu za Mungu
Ndekarisho:
Ndekirwa:
Nderingo:
Elikunda: Mungu Kapenda
Kundaelly: Mungu amependa
Siaelly:
Wale wanajua maana waongeze hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.