kesi ya uhaini ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Tundu Lissu: Nakwenda kuwashughulikia huko huko Mahakama ya Rufaa

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu iliyokuwa inaendelea Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka pale shauri la mapitio lililowasilishwa Mahakama ya Rufaa na jamhuri kukamilika. Leo Februari 24, 2026 baada ya...
  2. Waufukweni

    Kesi ya Lissu: Mawakili wa Jamhuri hawajarudi kwenye chumba cha Mahakamani kuendelea na Kesi

    Wakuu Inadaiwa mawakili wa Jamhuri hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani mpaka muda huu. Karani amesimama na kuseeleza kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa msajili wa mahakama na atarudi kuleta mrejesho. Mwenendo wa Kesi > Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi...
  3. Waufukweni

    Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi la Jamhuri la kuongeza ushahidi

    Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo. Yaliyojiri Mahakamani; Kesi ya Lissu: Mahakama kujadili ombi Jamhuri kuongeza ushahidi wa...
  4. Manyanza

    Umoja wa Mataifa wataka Serikali ya Tanzania kumuachia Tundu Lissu. Wasema kushikiliwa kwake ni batili

    Kundi Kazi la Umoja wa Mataifa kitengo kinachoangazia, Kuwekwa Kizuizini Kinyume cha Sheria ( Arbitrary Detention ), limeeleza kuwa kufungwa kwa Kiongozi wa Upinzani Tanzania, Tundu Lissu, ni kinyume cha sheria na limetaka aachiliwe mara moja. Katika maoni yake yaliyopitishwa katika kikao cha...
  5. Q

    Tundu Lissu: Mahakama ikikubali kupokea Notisi inayoongelea mauaji ya 29/10, itabidi watuambie nani aliruhusu Watanzania kuuawa

    Waheshimiwa Majaji, Wanataka tuzungumze mambo ya October 29 mtakuwa mmefungulia balaa jingine na isije ikawa shida. Mkifungua huo mlango tutaenda huko. Tutazungumzia mauaji ya kimbali na tutaulizana nani aliyeua watanzania. Hii kitu haina mashiko. Are they ready? Mimi niko tayari. Isiruhusiwe...
  6. Waufukweni

    Kesi ya Lissu: Mahakama kujadili ombi Jamhuri kuongeza ushahidi wa ziada leo Februari 23, 2026

    Leo Februari 23, 2026 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ambapo kwa leo upande wa mashtaka unatarajiwa kuwasilisha maombi ya ushahidi wa ziada kisha ushahidi kuendelea. Tayari Lissu...
  7. McLaren

    PostGE2025 Wakili Mkude: Kesi inajadiliwa kwenye mitandao ya kijamii, mashahidi wanaitwa waongo. Hatukatazi kesi ijadiliwe lakini isiathiri mwenendo wa kesi

    Wakuu, Baada ya media kuanza kuripoti kinachoendelea mahakamani na statements wanazotoa mashahidi kuchekesha na kuonekana ni za ajabu ajabu jamaa wameona sasa waanze kubana na kukataza hizo proceedings za kuripotiwa Jamaa wanakaba kila sehemu ========= Mhe Lissu: Siku ya jana tuliambiwa...
  8. Waufukweni

    Tundu Lissu atinga na bakuli la chakula Mahakamani

    Wakuu Leo Lissu ametinga na chakula kizimbani na kusema maneno haya, "Una chakula cha kutosha kila kheri" Wakili Peter Kibatala akizungumza na Lissu kabla ya kesi kuendelea hapa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam.
  9. Waufukweni

    PostGE2025 Heche: Watu wanahoji maridhiano, unaridhiana na nani? CHADEMA siyo tuvyama hutu twa mfukoni

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema watu wengi wanahoji kuhusu masuala ya maridhiano, akiuliza, “Unakaa na nani? Nakaa na mtu ambaye amemkamata mwenyekiti wako kwa kesi ya uongo.” Kauli hiyo ameitoa akielezea msimamo wa chama chake kuhusu wito wa...
  10. Waufukweni

    Kesi ya Lissu | Shahidi wa Siri (P6): Lissu alisema tunakwenda kuvuruga uchaguzi na kukinukisha

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, ljumaa Februari 13, 2026 inatarajiwa kuendelea na Kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu katika kesi ya uhaini inayomkabili Kesi Yenye Na. 19605/2025 inayosikilizwa mbele ya jopo la Majaji watatu...
  11. Manyanza

    Tundu Lissu aachiwe huru sasa!

    Tanzania ilijengwa juu ya misingi ya haki, usawa, na heshima ya uhai wa binadamu. Lakini ni lazima tujiulize kwa ujasiri: Je, bado misingi hiyo inaheshimiwa? Je, Taifa linaweza kusonga mbele wakati haki inapokanyagwa, sauti kunyamazishwa, na uhai kudharauliwa? Leo, suala la kuachiwa huru kwa...
  12. Waufukweni

    Ni uoga wa Oktoba 29, 2025 au nini kimebadilisha ukatili wa polisi kwa wafuasi wa CHADEMA Mahakamani?

    Tofauti na mwaka 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na baadaye Mahakama Kuu jijini humo, mwaka 2026 kesi hiyo imeanza bila vitendo vya ukatili wa polisi kwa wafuasi wa chama hicho wanaohudhuria. Lissu alikamatwa...
  13. Waufukweni

    PostGE2025 Kesi ya Lissu: Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho, kilichosababisha Kesi kuahirishwa

    Wakuu Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone Fuatilia mwenendo wa kesi...
  14. Waufukweni

    PostGE2025 Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026

    Mahakama imetoa uamuzi kuhusu mapingamizi matano dhidi ya Jamhuri yaliyowekwa na mshtakiwa Tundu Lissu mnamo Novemba 12, 2025, ikiwemo pingamizi kuhusu utaratibu wa usikilizwaji wa shahidi wa siri. Lissu alidai mahakamani kuwa, hata kama sheria ya ulinzi wa mashahidi ingekuwa na uhalali wa...
  15. Waufukweni

    PostGE2025 Kesi ya uhaini ya Lissu, mahakama kutoa uamuzi wa mapingamizi leo Feb 11, 2026

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatano, Februari 18, 2026, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi yaliyowekwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili. Katika kesi hiyo namba 19605/2025...
  16. Waufukweni

    PostGE2025 Baada ya takribani miezi mitatu, kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 9, 2026

    Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Kupitia taarifa Rasmi iliyotolewa na CHADEMA jumapili jioni Februari 08, 2026...
  17. Waufukweni

    Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta Taifa pamoja na Kiongozi wa Upinzani yuko Gerezani

    Mwanasiasa mkongwe Prof. Anna Tibaijuka, akizungumza na Salim Kikeke kwenye Kikao Na Kikeke, anaeleza kuwa ni ngumu kulileta pamoja taifa wakati kiongozi wa upinzani akiwa gerezani.
  18. Waufukweni

    PostGE2025 Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kuendelea Februari 9 hadi Machi 6, 2026

    Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano, Brenda Rupia ametoa taarifa hii iliyotolewa na Gaston Galubindi, Mkurungenzi wa Sheria CHADEMA Taifa, kuhusu Kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Chadema inawafahamisha kwamba kesi ya uhaini dhidi ya Mhe Lissu...
  19. Waufukweni

    PostGE2025 Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama akihoji ukimya wa kesi yake

    Imeelezwa kuwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam akihoji ni lini hasa kesi yake ya uhaini inayomkabili itaendelea kusikilizwa, baada ya kushuhudia 'ukimya wa muda mrefu' bila...
  20. R

    PostGE2025 Jaji Mkuu, kesi ya Uhaini ya LISSU kulikoni? Umma wa Watanganyika Mahakama uieleweje?

    Tukisema judiciary is 100,000,000% compromised mnasema tunawasema vibaya! Katika hali ya kawaida, kesi hii ilibidi iwe imeisha Mtu akisema with certainity kuwa you are operating under instructions atakuwa mwongo? Why all this injustice? Basi ufahamishe umma kuna nini kinazuia kesi isiendelee!
Back
Top Bottom