kesi ya mpina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    GE2025 Hukumu kesi ya Mpina yaahirishwa sababu majaji wanaendelea kutafakari na kutaka kuandika vizuri

    Mahakama Kuu Masijala Kuu Dodoma imesogeza mbele hukumu ya kesi ya Luhaga Mpina dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na sasa itasomwa Oktoba 15,2025. Mwenyekiti wa jopo la majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo Jaji Fredrick Manyanda ametaja sababu kuu mbili zilizopelekea kuahirishwa...
  2. Waufukweni

    GE2025 Hukumu ya kesi ya Mpina dhidi ya INEC kusomwa Oktoba 10, 2025

    Hukumu ya kesi ya Luhaga Mpina dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) itasomwa Oktoba 10,2025. Kesi hiyo namba 23617, ipo mbele ya majaji watatu wakiongozwa na Frederick Manyanda , Abdallah Gonzi na Sylvester Kainda. Leo Jumatatu Oktoba 6,2025 Mpina amefika mahakamani akiongozana na...
  3. S.M.P2503

    GE2025 INEC mmepuyanga kwenye kesi ya Mpina na sasa hamna uhalali wowote kuendelea na zoezi lenu la uchaguzi

    Kwa maneno ya Jaji aliyesikiliza shauri hili mjini Dodoma leo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilimnyima haki ya msingi ya kusikilizwa Mheshimiwa Luhaga Mpina, jambo ambalo ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 13(6)(a), inayotamka wazi kuwa “Wakati haki ya mtu...
  4. Roving Journalist

    GE2025 Kesi ya Mpina kuzuiwa kugombea Urais Kupitia ACT inaendelea leo Septemba 8, 2025 Saa 8 Mchana Mahakama Kuu Dodoma

    Kesi ya Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi ya kuzuiliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia ACT Wazalendo, itaendelea Leo Saa 8 mchana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma. Chama cha ACT kimesema Waandishi wa Habari wanakaribishwa Kuhudhuria...
  5. tonicimmobility

    GE2025 Mapingamizi ya INEC kesi ya Mpina yatupwa, kesi ya msingi kusikilizwa Septemba 8

    Kesi ya kupinga kuenguliwa kwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2025), iliyofunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Luhaga Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Tume Huru ya...
  6. R

    Kwa KATIBA hii ya sasa, hakuna Jaji anayeweza kutoa maamuzi ya haki hasa pale "anapopigiwa simu" na EXECUTIVE

    1. Ujaji ni "fadhilia" ya Executive arm 2. Bado kwa nyakati za KATIBA hii, hakuna jaji anyeweza kutoa maamuzi dhidi ya Bunge. Lazima apigiwe simu kama alivyosema Rostam. 3. Kuna kesi nyingi duniani from common law jurisdiction, ambazo mahakama iliingilia bunge ilipothibitika kuwa Spika...
  7. Suley2019

    Mpina agonga mwamba Mahakama kuu Kesi ya Spika/ Mapingamizi ya Serikali yakubalika kwa Jaji

    Wakili Makore ambaye ni miongoni mwa Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina waliokuwa mstari wa mbele kumsimamia kwenye kesi aliyokuwa ameifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania ,Waziri wa Kilimo na Mwanasheria Mkuu wa...
  8. Cute Wife

    Kesi ya Mpina dhidi ya Bashe na Spika Tulia imeanza kusikilizwa Mahakamani leo Agost 28, 2024

    Kesi iliyofunguliwa na Mbunge Luhaga Mpina dhidi ya Waziri Bashe, Spika , Mwanasheria Mkuu wa Seriikali na wengine imeanza ksikilizwa leo Agosti, 28, 2024 katika Mahakama Kuu Dar Es Salaam. Pia soma: Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni...
  9. Heparin

    PreGE2025 Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni kinyume na Sheria

    Mawakili wa Luhaga Mpina wanazungumza na waandishi wa habari muda huu. https://www.youtube.com/watch?v=a5iWi_n2I8M Pamoja na nambo mengine, mawakili hao wamesema mojawapo ya kesi zilizofunguliwa ni ile anayomshtaki Spika wa Bunge na Mwanasheria mkuu wa Serikali kwa kunyang'anywa na kunyimwa haki...
  10. S

    Mawakili 18 waomba kusimamia kesi ya Mpina

    PIA SOMA - Wakili Mwabukusi kumsindikiza mh Mpina atakapoenda Kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Maadili
Back
Top Bottom