Habari za wakati huu wanajamvi! .
Naomba msaada wa kisheria au kimawazo . Mm hapa nilikuwa nimepangisha chumba lakn kwa bahati mbaya tulivunja mkataba na mwenye nyumba kabla ya kumaliza kodi yangu.
Na hiyo ilitokana na yey kutofanya mambo ambayo tumekubaliana kama kufanya marekebisho ya chumba...
Kesi ya madai namba 8323/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa chama hicho imeendelea tena leo, Alhamisi Agosti 28.2025 Mahakama Kuu ya...
Habari wana jamii.
Ningeomba kupata muongozo juu ya hili suala. Mnamo miezi kadhaa nyuma nilifanyiwa vurugu na mtu mmoja nyumbani kwangu na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali zangu.
Nilimripoti polisi na alikamatwa. Polisi walisema ninaweza kufungua kesi ya jinai au kufungua kesi ya madai...
Samahani wakuu naomba kueleweshwa nilifunguliwa kesi Kuhusu mirathi, kesi ya madai kuanzia mahakama ya mwanzo nikashinda, mdai akakata rufaa mahakama ya wilaya Napo akashindwa, akakata rufaa mahakama kuu, pia akashindwa.
Katika hukumu mahakama zote iliamriwa nilipwe gharama, lakini sikuweza...
Habari wadau naombeni msaada au ushauri.
Mimi sio mzoefu na mambo ya kesi na wala sijawahi kusimama kizimbani. Kuna mtu aliniomba nimsaidie kuna sehemu wanakopesha pesa bila dhamana yoyote yenye thamani isipokuwa mdhamini mmoja so akanambia ana shida na yeye amedhamini watu wengi pale kwahiyo...
Wanasheria wa CHADEMA wafungue kesi ya madai (defamation case) mahakamani.
1. Wahoji huo mkutano uliofanyika kwa njia ya mtandao (zoom) ulifanyika lini.
2. Polisi waonyeshe video clip ya mkutano huo.
3. Ni viongozi gani wa CHADEMA walihusika.
4. Hao Vijana 20 wanaoandaliwa kuvamia vituo vya...
Naona kuna watu wanadanganyana kwamba wanaweza kumshitaki kwa jina lake Afisa wa serikali anayetekeleza majukumu ya serikali.
Mwanasheria Mkuu wa serikali anaweza kuomba kuingila katika kesi yoyote ile ya madai kama kuna maslahi ya umma ili kuondoa matumizi mabaya ya mifumo ya haki
Ni taarifa tu
Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter) Kiongozi wa Chama Mstaafu kutoka ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameandika "Nitashangaa sana kushindwa hii kesi. Kampuni ya PAET, mtoto wa ORCA, alipokuja nchini mwaka 2001 alikuta tuna gesi imeshavumbuliwa. Hawakuwekeza hata senti tano nyekundu kutafuta Gesi...
◾Serikali ya Tanzania kwa mara nyingine tena imeshutumiwa na kampuni ya wawekezaji wa kigeni kwa kukiuka masharti ya mkataba wa uwekezaji baina ya nchi mbili (BIT)
◾Haya yanajiri wiki chache tu baada ya Tanzania kukubali kulipa dola milioni 90 kwa kampuni ya Australia kutatua kesi ya usuluhishi...
dola
energy
gesi
ikulu
kampuni
katika
kesikesiyamadai
kutoka
madai
mgogoro
samia
tanzania
uwekezaji
waziri wa katiba na sheria
wizara ya fedha na mipango
Mkazi wa Dar es Salaam, Denis Mfumbulwa mwenye miaka 44 wa Goba Kulangwa amefikishwa mahakama ya mwanzo ya Kariakoo akidaiwa kujipatia malazi na chakula kwenye hoteli ya Serena kitapeli vyenye thamani ya milioni 21.4
Baada ya kupata huduma, mdaiwa alitokomea kusikojulikana. Mfumbulwa alikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.