kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Heche, Katibu Mkuu CHADEMA John Mnyika amekamatwa na Polisi

    Katibu Mkuu wa CHADEMA,John Mnyika amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo Aprili 24,2025 katika eneo ya Fire akielekea Makama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kila Mtu huru kusikiliza

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam Inayoketi Kisutu Shauri la Jinai namba 202504102000008606 Jamhuri dhidi ya Tundu Antipace Lissu mbele ya Mhe. Geofrey Mhini, Hakimu Mkazi Mwandamizi. Tafadhali tumia kiungo (link) kifuatacho kuendela na shauri ya njia ya mtandao>>> JoT - Virtual Court...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche akamatwa na polisi, apelekwa kituo cha polisi Oysterbay

    Wakuu, Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn umezuiwa na Jeshi na Polisi muda akiwa maeneo ya Selandar Bridge usiende Mahakama ya Hakimu Mkazi kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @HecheJohn leo tarehe 24, 2025 na kupelekwa Kituo cha...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinachojiri kuelekea Kesi ya Lissu leo Aprili 24, 2025

    Wakuu, Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025. Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake...
  5. JamiiForums Tanzania Kwani kesi ya Lissu haiwezi kurushwa na vyombo vya habari?

    Sheria inasemaje? Kesi kurushwa live... Mahakama haiwezi kuingiza mamia ya watu ila wakii-stream kesi hata tulioko vijijini tunaangalia. Sijui sheria inasemaje? Au vyombo vya habari havijawahi kuona umuhimu wa kurusha kesi! Au sheria inaruhusu wanahabari wanahofia kuwa blackmailed na dola...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chalamila awaonya wanaopanga 'kukinukisha' kwenye kesi ya Lissu, tarehe 24

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewaonya wale wote wanaojianga 'kukinukisha' tarehe 24/04/2025 siku ambayo Lissu atapelekwa mahakamani. Chalamila ametoa rai hiyo pia kwa watu ambao wameshaanza kufika mkoani Dar es salaam kwa ajili ya kesi hiyo kuwa moto wa kisheria utashuka kwa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Zuio la polisi kesi ya Lissu haina uhalali kisheria, kimantiki

    Adv. E. Kilatu, LLB & LLM (Const. & Admn. Law) Utangulizi Siku chache zilizopita Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam alitoa Tamko linalotishia watu kufika mahakamani ili kushuhudia kesi ya kihistoria inayohusu kiongozi wa kisiasa kutuhumiwa na kosa kubwa kabisa la uhaini. Ni ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tarehe 24/04/2025, Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP) anaweza kufuta kesi ya Lissu kwa mshangao wa wengi

    Wakati watu wakiwa na shauku ya kufuatilia kesi ya uhaini inayomkubali Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini(DPP) anaweza kuja na uamuzi wa kutoendelea na kesi ya uhaini kwa mshangao wa wengi na hata zile kesi nyingine zinazomkabili Lissu zinazohusu makosa ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kwenda kusikiliza kesi ya Lissu, 24.04.2025

    Napendekeza utaratibu/mpangilio ufuatao. 1. Watatangulia Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Wachungaji, Mapadre, Manabii, Mitume na viongozi wengine wa Dini. 2. Watafuata Mabalozi wa Nchi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi/Mashirika ya kimataifa na kikanda. 3. Waumini wa Dini zote na Watanzania wote kwa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA waijibu Polisi kuzuia wananchi kukusanyika Mahakamani siku ya kesi ya Lissu, wasema ni kudhoofisha Demokrasia

    Wakuu,
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa kuwa Kesi ya Lissu Ina masilahi kwa umma na wananchi wengi hawawezi kuhudhuria mahakamani basi kesi iendeshwe LIVE kwenye TV ya taifa

    Baada ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kutoa onyo kwa raia watakaokusanyika kwenda Kisutu kushuhudia kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, ni wazi kuwa tukio hili lina mvuto mkubwa kwa jamii. Kwa kuwa kesi za uhaini ni nadra sana kushuhudiwa nchini, hasa kwa kizazi cha vijana...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi latoa onyo wanaopanga kufanya vurugu siku ya kesi ya Lissu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeonya wananchi kutojitokeza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24,2025 wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo, likisisitiza atakayejitokeza atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria. Katazo la Jeshi la Polisi...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche awataka wananchi kuunga mkono msimamo wa 'No Reforms No Election'

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili kufanya siasa safi na kushiriki uchaguzi ambao watapatikana viongozi bora na watakaoleta mabadiliko kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Balile: Tukimsikiliza Dkt. Nchimbi, kesi ya Lissu itafutwa

    Kama una muda wa kutsha soma alichokiandika.......uchawa mtupu but worthy of reading! Ona anavyonjudge Lisu ka dhihaka! Extract from the story: Niseme mapema kuwa hata siku nilipofanya mahojiano na Lissu pale ofisi za CHADEMA Dar es Salaam, nilimpa tahadhari juu ya “kamdomo”. Hakunisikiliza...
  15. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu, harakati za ukombozi; CHADEMA kuweni macho na mamluki, "katika viwalavyo, na nguoni mwenu, vimo!"

    Hili ni angalizo la usalama kwa mustakabala mwema wa harakati za ukombozi na Mh. Lissu mikononi mwa watesi wetu: Kama huyu ni wakili msomi akiiwakilisha CHADEMA na mwamba kwa kipindi chote: "ama?!" Kwa hakika jopo la utetezi, mipango na mikakati nyeti ya mapambano haiwezi kuwa bwerere kwa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu yaiweka Chadema njiapanda

    Hatua ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kufunguliwa mashitaka ya uhaini na uasi inakiweka chama hicho njiapanda, hasa ikielezwa kuwa kiongozi huyo ameonyesha ujasiri mkubwa kuikabili Serikali katika kampeni yake ya No Reforms No Election (Hakuna Mabadiliko Hakuna Uchaguzi). Lissu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…