kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Maziko ya Malikia UK uwenda yakatikisa soko la hisa la dunia siku ya kesho (Black Monday)

    Igweeee taarifa zisizo Rasmi kesho ni siku itakuwa ngumu kuanzia kwenye masoko ya hisa ya dunia sector ya mawasiliano. Taarifa zinasema uwenda system zika down kwa masaa kadhaa wakati wa mazishi ya Malikia wa UK. Kwa mataifa masikini soko la fx litakuwa sio zuri na uwenda kwa mtu anafanya...
  2. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Mzee Hafidh kuambatana na mama Samia kesho nchini Kenya

    Bila shaka nadhani kesho mama Samia aende na mzee Hafidhi katika sherehe za kuapishwa Rutto. Siti mbili zaidi kwenye ndege sio mzigo mkubwa Sana kwa taifa. Sio kwa sababu binafsi ila ni sababu za kidiplomasia zaidi. Uwepo wa Hafidhi utasaidia katika kufungua nchi.
  3. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wanawake na mitandao, leo kwake kesho kwa dada yako au mpenzi wako

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara zinazofanya vizuri katika matumizi ya mitandao ya kijamii. Ripoti ya takwimu za robo ya pili ya mwaka 2020 za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilionesha watumiaji wa intaneti wameongezeka hadi kufikia milioni 27.1 mwezi Juni...
  4. JamiiForums Tanzania Putin: Tutaifungulia gesi kwenda Ulaya 'kesho'

    Huyu jamaa sasa hivi akapimwe maana anakoelekea ni kituko, si alidai hatorudisha gesi hadi waondolewe vikwazo vyote. Now kikwazo ni turbine. Putin says Russia will restart Nord Stream 1 gas flows 'tomorrow' if it gets turbines, and blames sanctions for the shutdown Karen Friar State-owned...
  5. JamiiForums Tanzania Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

    Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi. Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wale wana Simba SC tuliomchoka CEO Barbara Gonzalez na Upuuzi wake tujuane ili Kesho tukaiteke Timu tumpe Mzee Bakhressa tupumzike na Kero

    Andika ID yako hapa au nifuate PM ili tukamilishe hili Zoezi kwani wana Simba SC tumeshavumilia vya kutosha kufanywa Wapumbavu na Fidodido Mifito Mingoko Mmoja tu. Imetosha sasa. Nina hasira sana!!!!!
  7. JamiiForums Tanzania Hata $ ilipanda kama mafuta na haikushuka mpaka kesho! Mafuta sokoni ni 1,375

    Petroli - Bei soko la dunia ni Sh1,375 kwa lita. Gharama ya uagizaji ni Sh.89 kwa lita. Hivyo, gharama mafuta kufika bandari ya DSM ni sh. 1,464. Lakini lita 1 petroli tunanunua sh. 3,600 vituo vya mafuta. Mteja analipa sh. 2,136 tozo za serikali. Tozo ni zaidi ya nusu ya bei ya bidhaa!
  8. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maana halisi ya Taifa la kesho na kuliandaa

    Moja katika rasilimali ya Taifa ambayo ni muhimu sana kuifahamu ni vijana, hawa ndio nguvu kazi ya Taifa Kwa muda wa sasa na hata wa badae. Lakini pia watoto ni nguvu kazi ya Taifa Kwa muda wa baadae. Hvyo watoto na vijana ni jamii ya watu watakaoishi baadae kwa uendeshaji wa maisha Yao Kwa...
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesho Kenya Mungu anapinduwa meza ya mzaliwa wa kwanza kama alivyofanya kwa Esau akampa Yakobo

    Igweeeeeee!!!! Habari zisizo rasmi ila zipo rasmi kwa manabii nikuwa kesho tarehe Nne mwezi wa Tisa huko Kenya Mungu anaenda pinduwa meza kama alivyo fanya kwa mzaliwa wa kwanza Esau... Nihivi kuna story moja kwenye Bible inatisha sana ambapo Mungu aliunyang'anya uzaliwa wa kwanza wa Esau...
  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Kuchochea hali ya kujiamini pamoja na elimu inayotolewa kwa vijana wa Kiafrika kama msingi wa kujenga ustawi wa taifa la kesho

    Kama ilivyo kwa sehemu kubwa duniani, Afrika pia ni sehemu ambayo inajengwa na nguvu kazi ya vijana kwa asilimia kubwa na kama inavyojulikana kwamba vijana ni watu wenye nguvu, akili na uwezo wa kutenda mambo mengi kwa sababu bado wapo imara. Lakini ni ukweli pia kwa miaka mingi sasa nchi nyingi...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania haifi kesho ipo milele

    Ni jambo la kushangaza sana eti tozo tulizobakiziwa ni kwa sababu ya ujenzi wa miradi ya kimkakati! Kwamba miradi hii inayokaridiriwa kugharimu zaidi ya trilion 30 yote inapaswa kukamilishwa kwa fedha za tozo. Mwigulu anapaswa kuambiwa kuwa Tanzania ipo milele haifi leo wala kesho hivyo ujenzi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Toa tozo nzuri au nikuandikie makosa yote maana kesho ya Kinana sijui kama nitakuwepo hapa barabarani - Trafiki

    Yamenikumba leo, nikatafakari nifanyeje maana gari ina makosa (ingawa si mengi) na nilimuunga mkono Comred Kinana kwa kero hizi za trafiki! Kilichofuatia ngoja nikiweke sirini. Nchi ya tozo, Tonzonia, sasa trafiki nao wana tozo zao, mwendo mdundo. johnthebaptist
  13. JamiiForums Tanzania Nasa artemis 1: Kesho kuanza safari ya kuelekea katika mwezi

    ROCKET YA MWEZINI KURUSHWA SIKU YA KESHO 29 AUGUST Shirika la uchunguzi na tafiti zinazohusu anga za juu kwa ujumla NASA kufanya majaribio ya rocket itakayoweza kutumika katika safari za kuwapeleka wanaanga na vifaa mwezini katika masiku yajayo kwenye mission mbalimbali za kwenda kwenye gimba...
  14. JamiiForums Tanzania Sensa: Kianalogia siku 1, kidigitali siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Kesho mwisho! Je, ambao bado hawajafikiwa watahesabiwa?!

    Wanabodi, Makala ya leo ni Swali Sensa za nyuma tulihesabiwa ki analogia na ilichukua siku 1 tuu, sasa tunahesabiana kidigitali inachukua siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Leo ni siku ya 6, kuna kaya hazijafikiwa, kesho ni siku ya 7 ambayo ndio ya mwisho. Je, kaya zote...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tupia moja ya Mbinu wanayoitumia hasa Wake / Mademu za Watu wakijua Kesho wanaenda 'Kukusaliti' na Mwanaume Mwenzako....

    Nizijuazo..... 1. Usiku ukirejea atakutafutia Kosa la Makusudi ili Mgombane na apate sababu ya Kukunyima Nyuchi yake. 2. Usiku atajifanya Kuumwa ghafla na hata Kulazimisha muende Hospitali ya Karibu ila Asubuhi atakupa Mrejesho kuwa anajisikia vizuri. 3. Ukiwa nae Unakula Sebuleni au...
  16. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya iliyo imara kwa Taifa la leo ndio msingi imara kwa taifa la kesho

    UTANGULIZI: AFYA:Ni hali kujisikia vizuri kimwili,kiakili,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Afya ya binadamu itakua njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya.Afya inajumuisha mambo yafuatayo. 1. Chakula chenye virutubisho vyote vikiwemo protini,wanga,na...
  17. JamiiForums Tanzania Jambo lipi ni muhimu kufanya ili kumuinua kielimu kijana ambaye ni taifa la kesho?

    Tumekua tukikalilishwa sana Watanzania kwamba elimu ni ufunguo wa maisha. NDIYO Elimu ni ufunguo wa maisha, lakini pia tukumbuke kwamba Elimu hiyo tunayowapa vijana wetu inawajenga vipi kifikra vijana wetu. Je, inawasaidia au ndio inawaharibu kisaikorojia? Tunajua hakuna jambo lenye faida tu...
  18. JamiiForums Tanzania Thamani kubwa iliyobebwa na samaki

    Ni matumaini yangu ulishawahi kusikia makundi mbalimbali ya vyakula kipindi unasoma elimu ya msingi. Ambapo ulijifunza kuwa kuna Kabohaidreti/wanga, protini, fati, vitamini na madini asilia. Katika kundi la protini ulisoma kuwa, ni vyakula vinavyosaidia katika ukuaji wa mwili pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Mshahara wa Agosti ungeingia leo ili kesho tutulie tuwasubiri Makarani

    Kama kichwa kinavyojieleza. Mzigo ungeingia leo, ili kesho tukae na familia zetu tunawangoja makarani waje watuhesabie. Sasa hadi sahivi bila bila, tunaodaiwa madeni kesho tutaweza kweli kukaa majumbani? Karibuni wazee wa kusema walimu mna njaa kweli kweli.
  20. JamiiForums Tanzania Sensa: Leo ni leo, Kazi ni Moja tu!, Kuhesabiwa!

    Wanabodi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…