kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Wito wa Gen Z wa Kenya kwa vijana wa Afrika

    Anaitwa Julius! Ni Gen Z kutoka nchini Kenya. Amewaasa vijana wa Afrika kuwa njia pekee ya kuleta MAGEUZI ni kupinga maovu yanayofanywa na Serikali zao. Katoa wito huo alipokuwa mahakamani kwa tuhuma za kusababisha uvunjifu wa amani. Baada ya kusomewa shaka lake na kutakiwa kujibu kama ni...
  2. IGP Kenya Maandamano yamemng'oa Ofisini. Wakwetu matukio ya utekaji yatamng'oa lini?

    Tumesikia wote kuwa mkuu wa Polisi Kenya kaamua kuwajibika kutokana na matendo ya polisi wakati wa maandamano ya GEN.Z na kupisha wengine. Je, wa kwetu yeye anasubiri nini kwa matukio haya yaliyo shamiri ya utekaji na utesaji huku basdhi ya vituo vya polisi vikitajwa kuhusika na matukio hayo...
  3. International Monetary Fund (IMF) apologises to Kenyans ‘who have lost their lives

    International Monetary Fund (IMF) apologises to Kenyans ‘who have lost their lives, lost loved ones or suffered injuries’ in anti-government protests. The International Monetary Fund (IMF) has apologised to Kenyans who were adversely affected by the anti-government protests that saw the...
  4. W

    IGP Koome ajiuzulu, Ruto aridhia kujiuzulu kwake

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, IGP Japhet Koome amejiuzulu. Rais wa Kenya, William Ruto ameridhia kujiuzulu kwake. ===== NAIROBI, Kenya July 11, 2024 – Kenya’s Police Chief Japheth Koome has resigned following mounting pressure over police brutality during recent protests that rocked...
  5. T

    Voice from the people of Kenya - What is your take?

    By Citizen TV - The minds of Kenyans have shifted towards we will not wait to question things after they have been done, we are going to start to be involved in the process from the beginning. We have now entered the era of a co-presidency and it is a co-presidency between President William...
  6. Ruto kuvunja baraza la mawaziri lakini bado kinachoendelea kenya kufanya mauwaji kimya kimya kwa vijana gen-z

    Vijana wa gen-z wanazidi kuuliwa kwa kasi huko kenya japo maandamano kupungua na ruto kukubari kuvunja baraza la mawaziri. ila idara inayomlinda inaonekana kudili na wote walionekana kuwa mwiba kwa ruto. Miili ya watoto inazidi kuokwota uko kenya picha zinatisha ila kinacho onyesha ruto hata...
  7. Kama Katiba ya Kenya Inaruhusu, William Rutto Ajiuzulu Tu

    Alifuta Finance Bill last week then akasaini sheria mpya ya IEBC. Still Gen Z hawakuridhika. Leo amefuta cabinet yote ya Kenya na kumbakiza DP na CS. Ningekuwa mshauri wa William Rutto ningemuambia asome Katiba na aangalie Ibara/kifungu kinaymchomruhusu kujiuzulu na AKABIDHI kwa mamlaka...
  8. J

    William Ruto avunja Baraza la Mawaziri Kenya

    Breaking news Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya Citizen TV ====== Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake, kufuatia shinikizo kutoka kwa vijana wa kizazi cha GenZ waliotaka mabadiliko. Katika kutangaza mabadiliko...
  9. DENZEL OMONDI ambaye kwenye list ambayo walishirki kujipost bungeni huko kenya naye amefariki na kutupwa

    DENZEL OMONDI alionekana kutrend kwenye mitandao ya kijamii kwenye mgomo huko kenya naye ni muwanga ambaye alipotea na wengine ambao walionekana kujipost bungeni.
  10. Wakati Rais Ruto wa Kenya akiwataka Maafisa wa Serikali wenye Umri wa miaka 60 Kustaafu, mwingine duniani anawapa Uteuzi ili wamsaidie Kumdanganya

    Rais Ruto anatakiwa aje kujifunza nchini Tanzania ambapo Maafisa wote wenye huo Umri wa miaka 60 hakuna aliyeko bado Serikakini katika Utumishi wa Umma na kwamba Waajiriwa wote Tanzania ni Vijana watupu wa kuanzia miaka 25 hadi 45 walioko huko. Na ndiyo maana Utawala wa Rais Samia unafanya...
  11. AFCON 2027 : Mechi za ufunguzi na fainali kufanyika Kenya ni failure kwa viongozi Tanzania

    Nimesikitika sana kuona nchi ambayo kwa siku za karibuni haijashiriki wala haina perfomance nzuri katika michuano ya soka kimataifa kupewa kipaumbele mbele ya Tanzania ambayo miaka ya karibuni imefanya vizuri kimataifa, hususan barani Afrika. Je, viongozi wetu wamelala tu wala hawahangaiki au...
  12. R

    Comparative analysis of gen z demonstrations

    “Insights from Kenya and Tanzania” Introduction Recently, Comrade Amos Makalla, Secretary of the Central Committee of Ideology, Publicity, and Training of Chama Cha Mapinduzi (CCM), commented on the Generation Z (Gen Z, typically is defined as individuals born from the late 1990s to the early...
  13. Tanzania inawezekana? Ruto asitisha ununuzi wa Magari ya Serikali kwa mwaka mzima, Mashirika ya umma 47 yafutwa hayana tija

    Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali. ====== Rais Ruto ametoa hatua zifuatazo...
  14. T

    Bei ya sukari Tanzania ni zaidi ya 3000 wakati Msumbiji, Malawi, Kenya, Uganda na Zambia haizidi 2500. Kwani sisi dhambi yetu nini?

    Sio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu. Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama...
  15. Dokta Mwaka: Wanawake kufungua Miguu tu pekee haitoshi, jiulizeni na nyie mmewafanyia nini Wanaume? Acheni kutaka kufanyiwa kila Kitu

    "Na isitoshe pamoja na kufanyiwa kila Kitu na Wanaume ikiwemo hadi Kuridhishwa maradufu bado tena Wanaume hao hao Wanawajibika katika Kuwatunzeni lakini pamoja na yote haya utakuta Wanawake wao hawarudishi Uwajibikaji huo kwa Wanaume na wanadhani Kufungua Kwao Miguu kila Siku ndiyo Upendo wa...
  16. Kwanini Rais hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Kwa mara ya kwanza nimeona kenya

    Kwanini rais wetu mpendwa hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Shida ni nini hasa?? Nishamuona akihojiwa na BBC!! Nao wanadai wamemuomba na kusubiri muda mrefu mpaka kukubaliwa!! Je hii ndio kusema Vyombo vya habari havina uwezo au Mkuu wa nchi haoni haja ya kuhojiwa na...
  17. Number Of Missing, Killed Youths Continue To Increase After Protests

    The number of Kenyan youths killed by police during the anti-finance bill protests continues to rise, as families of missing loved ones find their bodies in morgues. In Mombasa County, one family discovered the body of their kin at the Coast General Hospital Morgue. Joash Ombati was allegedly...
  18. A

    Wananchi Kenya wadai wabunge wao wananunuliwa kama wanawake

    Wananchi wa Kenya , wamewalaumu wabunge wao Kwa kununuliwa kama wanawake ili kupitisha bajeti ya Mwaka huu 2024/25
  19. U

    Video: Rais William Ruto wa Kenya na funzo kwa viongozi wa Afrika hususani Tanzania. Uongozi wa nchi ni kusikia na kuelewa. Sio ubabe na maguvu..

    Rais wa Jamhuri ya Kenya amekubali kushindwa.... Amekubali kuwa yeye ni kiongozi wa serikali lakini kubwa zaidi ni kiongozi wa wananchi wa Kenya... Amekubali kuwa sauti ya umma ni sauti ya Mungu... Amekataa na kutambua kuwa uongozi si kutumia nguvu na mabavu bali ni kuwa na sikio la...
  20. WAFANYA BIASHARA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA KUTOKA KENYA, KUTIMKIA TANZANIA KUKWEPA ATHARI ZA MAANDAMADO YASIYOKOMA KENYA.

    wanajipanga na kukusudia kuhamishia mitaji yao nchi jirani Africa Mashariki zenye amani ikiwa ni pamoja na Tanzania, kukwepa uharibifu wa uwekezaji woa huko kenya ambao baadhi yao kwa kiasi tayari wameathirika, kutokana na kukosekana usalama wa kutosha... Je, hii ni fursa muafaka ya kiuchumi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…