The Kenya national women's cricket team is the team that represents the country of Kenya in international women's cricket. Their first matches were in January 2006 when they played a triangular series against Kenya A and Uganda.
https://youtu.be/NOoBaOwO6g8?si=_q8xG3hw918zLpm7
Mwana-umajumui wa Uafrika kutoka Kenya katoa maoni yake kwenye chaneli ya Fanya Mambo Afrika kuhusu mambo yaliyojitokeza wiki iliyopita hapa Tanzania kuhusu baadhi ya wanaharakati waliokuja nchini kwa ajili ya kesi haramu inayomkabili Tundu Lisu...
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
Katika kujadili tofauti kati ya Kenya na Tanzania, ni muhimu kuangazia masuala ya elimu na uwezo wa kufikiri. Kenya imejijengea sifa ya kuwa na mfumo mzuri wa elimu ambao unachochea ubunifu na fikra huru. Hii inawawezesha Wakenya kufikiri kwa kina na kuchukua hatua zinazoendana na maendeleo ya...
Kisa Cha migogoro isiyokwisha nchini Kenya ni wivu wa Maisha mazuri kwa Watanzania.
Miongoni mwasababu za GEN Z kuandamana mpaka kupigwa risasi ni kutaka maisha ya Kenya yafanane na maisha ya Watanzania,
Je, sisi Tanzania tunajua haya?
Sikiliza huyu Mkenya akitoa Siri,
#Mama Samia Mitano tena
Tujenge mfumo rafiki na unaotabirika wa kodi,Utahamasisha ulipaji kodi kwa hiari kwa kuwa utachochea ukuaji mitaji,tuumize akili Tanzania inufaike na nafasi yake ya kijiografia kujenga uchumi unaozalisha,aidha tujiulize wanaostahili kulipa kodi ni watu milioni 27 lakini wanaolipa kodi sasa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.