Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema keki ya taifa ni ndogo sana, hivyo wananchi wanapaswa kuchagua viongozi makini wenye uwezo wa kuipigania ili kuhakikisha maendeleo yanafika katika maeneo yao.
Akizungumza na wananchi wa Musoma, Mkoani Mara Julai 4, 2026 kwenye ziara ya Waziri...